Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yap they know you very well and how much you get form them in term tourist revenue but


we get much more while they didn't know us
Your Tourism revenue are from Kenyans. Ama hujui wakenya ndio watali wengi wanaokuja Tanzania?
 
1714221638276.png
 
Hivi kweli huyu yupo kwenye hili likonokono na ameshaexperience ukobe wake lakini yumo humu kutoa likes na support kwa bibi titi namna anavyoonesha hana akili zaidi ya maziwa kwa kulinganisha kifo na usingizi, unaejijua hii picture ni yako nakupa karipio kali ukiendelea nakuanika, leo nilikua na kazi 1 tu ya kukudukua na maisha yako yote ninayo kwenye gallery 😁

View attachment 2974850
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kumbe kijamaa NairobiWalker kinaishi maisha magumu namna hii? Miaka yote kinajishaua tu humu!
😂😂😂
Naona ni wengi humu nawaumiza daily Hadi wanawish nifanane nao. Mimi nimewai share picha zangu humu kwa hiari yangu na nikitaka nitazishare tena kwa hiari yangu. Hakuna mtu humu ambaye ana uwezo wa kuzipata picha zangu na kuzishare humu bila hiari yangu especially na hii tech knowledge yenu uchwara. Mtaokota picha za watu mitandaoni mkijifurahisha humu wakati Mimi nacheka tu.😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom