Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alichokufanya mchina ni kupaka rangi Tu nothing else ndio maana mchina anawatandika mpaka viboko kondoo nyinyiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mmezoea kununua SGR trains used unadhani Kenya ni Kama Tanzania. By the way Yemen kuna SGR?
 
Nganya inakula vikombe Tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View: https://twitter.com/maliks_88/status/1784307796810289273?t=4sE8u4AIuqQvkznAdnf07w&s=19
20240428_005732.jpg
 
Polisi wakileta ujuaji lazima wanyoroshwe kidogo. Wanadhani KDF ni raia wenye wanadhulumu kila siku.

Back to your poor and lazy army, what kind jokes are they doing in front of important dignitaries? Can’t you see how those jokers are embarrassing Tanzania?

Teh... Hujajua tu..

Sio ishara nzuri kiusalama hiyo. Hao wangepelekana kwenye ngazi za juu na kumalizana barracks. Kudhalilisha chombo cha ulinzi in public sio jambo la kufurahia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom