Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwa wanatamani sana kutujua๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Picha sisi ndio tunaamua kupost. Mimi tangu nianze kupost picha zangu waligive up doing guess work on me๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Na picha zangu zote huwa na za 5yrs kurudi nyuma. Hii yenye nimeweka profile picture ni ya 8yrs ago when I was in Campus. Picha za 2025 ntapost in 2029 in case bado watakuwa alive๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Kuna mwingine nilipeleka na akajianika huku, jamaa mapua na Maskio ni Kama Sinia alafu jamaa ni maskini hoehae ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wanaumia sana hawa jamaa. Ukiona mtu anasema unajishaua jua hapo ndio insecurity yake ipo - yani anajiona kuwa chini yako ndio akipewa reason yoyote kuwa uko chini, atataka kuikubali na roho yake yote ndio hizo insecurities zake ziishe.๐Ÿ˜‚
 
Kuna siku waliamka hapa na kusema ati KANAIRO ni dem mkamba while we all know tha KANAIRO ni mjaluo.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

They tried to force the issue on the guy hadi wakachoka. Iโ€™m waiting for them hile siku watakuja huku na majina na Mapuche ya ajabu ajabu ati ni mimi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wanaumia sana hawa jamaa. Ukiona mtu anasema unajishaua jua hapo ndio insecurity yake ipo - yani anajiona kuwa chini yako ndio akipewa reason yoyote kuwa uko chini, atataka kuikubali na roho yake yote ndio hizo insecurities zake ziishe.๐Ÿ˜‚
Wengi wao here are poor and they want to force Kenyans to be like them. Ukiona mtu anaiba picha za mwanaume mwenzake hili adanganye nayo watu just know the guy is really suffering in real life.
 
Ulitaka aje na ndege gani bro? That is the official presidential plane ya Kenya. Najua hapo kwenu Rais anatembelea ndege ya shirika. A very idiotic arrangement.
Imagine huyo ndiye role model ya watanzania in this thread๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Imagine huyo ndiye role model ya watanzania in this thread๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ Yani anakuja tu na argument yoyote. Interestingly, the Kenyan plane was the biggest among all the presidents that attended. Sasa sijui ni nini anajaribu kusema.
 
Acha upumbavu wewe sisi sio size yenu we have a Gulf stream G550 globe trotter ambayo nyie ndio mnafikiria kumnunulia raisi wenu sasa sisi tuliinunua 25 years ago.
And yet your President still uses a commercial airline in her businesses.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom