Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1714221638276.png
 
Hivi kweli huyu yupo kwenye hili likonokono na ameshaexperience ukobe wake lakini yumo humu kutoa likes na support kwa bibi titi namna anavyoonesha hana akili zaidi ya maziwa kwa kulinganisha kifo na usingizi, unaejijua hii picture ni yako nakupa karipio kali ukiendelea nakuanika, leo nilikua na kazi 1 tu ya kukudukua na maisha yako yote ninayo kwenye gallery 😁

View attachment 2974850
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kumbe kijamaa NairobiWalker kinaishi maisha magumu namna hii? Miaka yote kinajishaua tu humu!
😂😂😂
Naona ni wengi humu nawaumiza daily Hadi wanawish nifanane nao. Mimi nimewai share picha zangu humu kwa hiari yangu na nikitaka nitazishare tena kwa hiari yangu. Hakuna mtu humu ambaye ana uwezo wa kuzipata picha zangu na kuzishare humu bila hiari yangu especially na hii tech knowledge yenu uchwara. Mtaokota picha za watu mitandaoni mkijifurahisha humu wakati Mimi nacheka tu.😂😂
 
Huwa wanatamani sana kutujua😂😂.

Picha sisi ndio tunaamua kupost. Mimi tangu nianze kupost picha zangu waligive up doing guess work on me😂😂.

Na picha zangu zote huwa na za 5yrs kurudi nyuma. Hii yenye nimeweka profile picture ni ya 8yrs ago when I was in Campus. Picha zangu za 2024 ntapost in 2029 in case bado watakuwa alive😂😂. Kuna mwingine nilipeleka na akajianika huku, jamaa mapua na Maskio ni Kama Sinia alafu jamaa ni maskini hoehae 😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom