ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 45,536
- 52,564
Huwa wanatamani sana kutujua๐๐.๐๐๐
Naona ni wengi humu nawaumiza daily Hadi wanawish nifanane nao. Mimi nimewai share picha zangu humu kwa hiari yangu na nikitaka nitazishare tena kwa hiari yangu. Hakuna mtu humu ambaye ana uwezo wa kuzipata picha zangu na kuzishare humu bila hiari yangu especially na hii tech knowledge yenu uchwara. Mtaokota picha za watu mitandaoni mkijifurahisha humu wakati Mimi nacheka tu.๐๐
Utajuaje na hujaiona double stacking in your entire life?hiki nini?
Wanaumia sana hawa jamaa. Ukiona mtu anasema unajishaua jua hapo ndio insecurity yake ipo - yani anajiona kuwa chini yako ndio akipewa reason yoyote kuwa uko chini, atataka kuikubali na roho yake yote ndio hizo insecurities zake ziishe.๐Huwa wanatamani sana kutujua๐๐.
Picha sisi ndio tunaamua kupost. Mimi tangu nianze kupost picha zangu waligive up doing guess work on me๐๐.
Na picha zangu zote huwa na za 5yrs kurudi nyuma. Hii yenye nimeweka profile picture ni ya 8yrs ago when I was in Campus. Picha za 2025 ntapost in 2029 in case bado watakuwa alive๐๐. Kuna mwingine nilipeleka na akajianika huku, jamaa mapua na Maskio ni Kama Sinia alafu jamaa ni maskini hoehae ๐๐
Kuna siku waliamka hapa na kusema ati KANAIRO ni dem mkamba while we all know tha KANAIRO ni mjaluo.๐๐Wanaumia sana hawa jamaa. Ukiona mtu anasema unajishaua jua hapo ndio insecurity yake ipo - yani anajiona kuwa chini yako ndio akipewa reason yoyote kuwa uko chini, atataka kuikubali na roho yake yote ndio hizo insecurities zake ziishe.๐
Wengi wao here are poor and they want to force Kenyans to be like them. Ukiona mtu anaiba picha za mwanaume mwenzake hili adanganye nayo watu just know the guy is really suffering in real life.Wanaumia sana hawa jamaa. Ukiona mtu anasema unajishaua jua hapo ndio insecurity yake ipo - yani anajiona kuwa chini yako ndio akipewa reason yoyote kuwa uko chini, atataka kuikubali na roho yake yote ndio hizo insecurities zake ziishe.๐
Wamesema Teargas Rhaenyra Targaryen nairobae Nairoberry @Nixcie zote ni account zangu ๐๐
If you see them forcing an issue on you just know that you are thorn in their ass. Mimi siku hizi wananiita chizi and I really love it๐๐
Sasa umeandika nini hapa? Was it a must that you must write in English?You appreciate without Tanzania you can't savive
Kunyaland never stops to disappoint! Angalia ndege anatembelea Ruto!
View: https://youtu.be/E1HKAdsL3FU?si=yrH4JFMt9ZPx178F
Imagine huyo ndiye role model ya watanzania in this thread๐๐Ulitaka aje na ndege gani bro? That is the official presidential plane ya Kenya. Najua hapo kwenu Rais anatembelea ndege ya shirika. A very idiotic arrangement.
๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Yani anakuja tu na argument yoyote. Interestingly, the Kenyan plane was the biggest among all the presidents that attended. Sasa sijui ni nini anajaribu kusema.Imagine huyo ndiye role model ya watanzania in this thread๐๐
Acha upumbavu wewe sisi sio size yenu we have a Gulf stream G550 globe trotter ambayo nyie ndio mnafikiria kumnunulia raisi wenu sasa sisi tuliinunua 25 years ago.Ulitaka aje na ndege gani bro? That is the official presidential plane ya Kenya. Najua hapo kwenu Rais anatembelea ndege ya shirika. A very idiotic arrangement.
And yet your President still uses a commercial airline in her businesses.Acha upumbavu wewe sisi sio size yenu we have a Gulf stream G550 globe trotter ambayo nyie ndio mnafikiria kumnunulia raisi wenu sasa sisi tuliinunua 25 years ago.
Ati mpumbavu wa wapi wewe, tuna gulfstream sisi!Ulitaka aje na ndege gani bro? That is the official presidential plane ya Kenya. Najua hapo kwenu Rais anatembelea ndege ya shirika. A very idiotic arrangement.
That is a business plane, not a presidential plane. Nunulieni Rais a proper presidential plane.Acha upumbavu wewe sisi sio size yenu we have a Gulf stream G550 globe trotter ambayo nyie ndio mnafikiria kumnunulia raisi wenu sasa sisi tuliinunua 25 years ago.