Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

Pole kwa bar-fever, saa 2 usiku unatoka bar?
Mie saa 2 ndio naanza kutafuta nguo ya kuvaa.
Tumetofautiana mkuu
Yap naogopa sana mbu hata nyumbani ikifika saa tatu Niko ndani ya net, malaria na typhoid ndo magonjwa ninayoyaogopa nakunywa maji ya kuchemsha au ya chupa tu zaidi ya miaka 25, pia mbu hata akiingia kwenye net lazima nishtuke usingizini na nimtoe ndo nilale.
 
Pole sana mkuu.
Mie kwanza mbu anagusaje na niko high na nimechachuka na pombe.
Dah!
We utakuwa wa kishua...mbu mmoja unaatuka usingizini?
Sasa ukienda selo au mahabusu itakuwaje?🤔
 
Walikuwa wanashinda matomboy pale kipindi fulan na mademu zao uhuni ulikuwa mwingi sana sema barabaran sana pale daaah
😄😄😄
Unamkumbuka Astrda tomboy wa kule Copacabana, akataka niwe mpenzi wake.
Kwanza mie sikujua kama tomboy, siku hiyo tumelewa pale Babuu Bar nikaenda kulala kwake maana alikuwa rafiki yangu.....ile nashtuka usingizini, nakuta ananinyonya kisimi...alooo!!!
Yule tomboy pembeni ya Ben Pub ndie alikuwa don wa matomboy Kinondoni.
Kaachiwa nyumba ya urithi na frem zile.
Ana rasta hv...
 
Ila una moyo.
Hujala mizigo na ukampa dollar 600.

Team Wolper walimvaa sana Harmo, ila Harmo alishikilia msimamo wake akasema kama anabisha aje hapa mumnuse k yake....
Dada yule wala hakuja.
Kwahiyo Rich....
Ungevaa ndom ukajipigia kufidia hasara yako broo!!
Madame, yani ile hela inaniumaga hadi kesho, ila katika mazingira kama haya unafanyaje?

Umemtoa pale mpk Climax, anaendesha gari yake na mm niko na mpwa na gari yetu mbele yake, anafika pale Climax ana-park kwenye parking shade, anashuka, anasema atalala, yani huo usumbufu wote

Nilimpa na hakuamini. Akaniuliza kwani natokea wapi? Nikamwambia nasafirisha nyanya kutoka Lushoto , kumbe nilijisahau, wakati mpwa ananitambulisha Kwa Ridhiwan alisema kabisa huyu ni mpwa wangu Yuko masomoni Norway ndo amekuja likizo

Kweli ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
 
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.

Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana, Shikamoo, Angel Bar, Marahaba, Dagaa Dagaa na nyinginezo nyingi.

Siku hizi Tabata unakutana na Small Planet, Kitambaa Cheupe, Barakuda, The Great, Kwetu Pazuri(Twest) na nyinginezo nyingi zinazoibuka kila mahali.

Leo asubuhi nawahi kazini nakutana na convo imebebana wamelewa chakari na vyupa mkononi, nikasema kweli Tabata imekuwa mpya. Tetesi za mahospitali nimesikia pia imekuwa makao makuu ya UTI sugu.

"Tetesi za mahospitali nimesikia pia imekuwa makao makuu ya UTI sugu" 🏃
 
Kuna watu wabishi sana mpaka wapate ushuhuda kutoka kwa watu kama sisi.

Mwaka 2019, nikiwa nimefika tu Mwl Nyerere Int. airport nikitokea Oslo, Norway; nikaja kupokelewa na mpwa wangu, break ya kwanza nyumbani kwao Europa-Masaki, kituo kimoja kabla ya sea cliff.

Nikajimwagia, nikapumzika kdg. Nilipoamka mpwa akaniambia twende sea cliff. Tulipofika tukachagua eneo zuri la kukaa, wakati tunaendelea na story nikageuka nyuma, nikamuona Wolper. Nakumbuka nilikuwa nakunywa JD, nikavuta muda kdg zilivopanda kichwani nikamuomba muhudumu atuitie. Wolper akamjibu sisi ndio tuhamie pale, mpwa wangu ana kiburi sana, akaniambia hatuamii , na mm sikubisha kwasababu mambo Yao ya Daslam wanayajua wenyewe.

Tumeendelea kukaa pale tukaagiza msosi, wakati tunakula mara Wolper huyu hapa, na kingereza chake cha ugoko eti "can I sit here?"

Tukamwambia Karibu ila sisi tunakula labda na wewe uagize. Akasema ameshakula ila akaagiza cocktail, siikumbuki jina.

Story zikanoga. Ghafla bin Vuu akatokea Ridhwan Kikwete, alikuwa anafahamiana na mpwa wangu, wakasalimiana pale, mpwa wangu akanitambulisha, Ridhwani akasema yeye hakai sana ila tuagize chochote muhudumu wetu akachukue pesa kwake.

Wolper akachanganyikiwa. Mimi simjui Ridhwani Wala nani, nimetoka zangu nje ya nchi Niko likizo na kesho yake nilikuwa naenda zangu mkoani Kuiona familia. Sasa sijui Wolper akajua na mm ni WA kishua

Yeye ndio akaanza kunichombeza Sasa. Huku na huku akakaa sawa, saa 2 usiku nikamwambia sisi tunaondoka, akasema tunaondoka wote, Moja Kwa moja mpk Climax Hotel, Kwa Sasa naona imebadilishwa jina, Iko kulekule masaki.

Picha linaanza, tukaenda kuoga. Tulivorudi kitandani nikawa nasikia harufu mbaya sana yani. Mbaya mno, yani haivumiliki. Mmnh, nikatoka kwenye balcony ya ile hotel kupata upepo kwanza, nilivorudi, chumba chote hakifai. Nilichofanya ni kwenda chooni kujitapisha, nikajifanya naumwa, nikampa Wolper dollar 600, nikamwambia alale kwasababu nimeshalipia nitamtafuta asubuhi.

Nikatoka nje nikachukua cab mpk Europa Kwa mpwa. Aisee kesho yake asubuhi alipiga simu SIKUPOKEA kabisa. Kile kiharufu Wolper anacho Kwa asili, atake asitake. Na kwakweli, kama una roho ndogo, unaweza hata ushindwe kula kabisa.

Ile namba ya simu nadhani alibadilisha ila nimekutana nae siku Moja Amsterdam anasubiri kubadilisha ndege akani-hug as if hakuna kilichotokea. She is a good girl ila afanyie kazi ile harufu.
Daaaaamn, this is facts
 
Madame, yani ile hela inaniumaga hadi kesho, ila katika mazingira kama haya unafanyaje?

Umemtoa pale mpk Climax, anaendesha gari yake na mm niko na mpwa na gari yetu mbele yake, anafika pale Climax ana-park kwenye parking shade, anashuka, anasema atalala, yani huo usumbufu wote

Nilimpa na hakuamini. Akaniuliza kwani natokea wapi? Nikamwambia nasafirisha nyanya kutoka Lushoto , kumbe nilijisahau, wakati mpwa ananitambulisha Kwa Ridhiwan alisema kabisa huyu ni mpwa wangu Yuko masomoni Norway ndo amekuja likizo

Kweli ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
Pole sana.
Ndo ya dunia haya.
 
Nimemuacha Dar, mie niko zangu Dom, ila wananiambia bado anahangaika na tatizo lake.
Unajua mpaka tunamuonea huruma.
Sema ndio hivo ana imani amerogwa.
Nilimwambia akapime kansa ya kizazi, sijui kama alienda
Kama aliwahi iba mume wa mtu unapigwa na kitu cha harufu but aende hospital kubwa kwanza afanyiwe vipimo then ikishindikana tutamsaidia mahala pa kupata tiba mbadala.
 
Kama aliwahi iba mume wa mtu unapigwa na kitu cha harufu but aende hospital kubwa kwanza afanyiwe vipimo then ikishindikana tutamsaidia mahala pa kupata tiba mbadala.
Yaani huyu dada mie ndio namjua kiundani, sio malaya wala si mdangaji wala hana skendo chafu.
Sema nimejuana nae baada ya yeye kuhamia mtaani kwetu akiwa form 3.
Maisha ya huko nyuma sikuyafahamu
 
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.

Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana, Shikamoo, Angel Bar, Marahaba, Dagaa Dagaa na nyinginezo nyingi.

Siku hizi Tabata unakutana na Small Planet, Kitambaa Cheupe, Barakuda, The Great, Kwetu Pazuri(Twest) na nyinginezo nyingi zinazoibuka kila mahali.

Leo asubuhi nawahi kazini nakutana na convo imebebana wamelewa chakari na vyupa mkononi, nikasema kweli Tabata imekuwa mpya. Tetesi za mahospitali nimesikia pia imekuwa makao makuu ya UTI sugu.

Aisee...
So hili nalo ni la kutazama sio!?😂🤣
 
😄😄😄
Unamkumbuka Astrda tomboy wa kule Copacabana, akataka niwe mpenzi wake.
Kwanza mie sikujua kama tomboy, siku hiyo tumelewa pale Babuu Bar nikaenda kulala kwake maana alikuwa rafiki yangu.....ile nashtuka usingizini, nakuta ananinyonya kisimi...alooo!!!
Yule tomboy pembeni ya Ben Pub ndie alikuwa don wa matomboy Kinondoni.
Kaachiwa nyumba ya urithi na frem zile.
Ana rasta hv...
Ila yule tomboy nilikuwa namuelewa sana....hyo siku tupo masai pale kaja na pisi yake baada ya maj kunizidia nilitongoza wote....afu kesho yake nikaandaa mikakat ya kuanza kuwinda mmoja mmoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom