Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,480
7,904
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.

Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana, Shikamoo, Angel Bar, Marahaba, Dagaa Dagaa na nyinginezo nyingi.

Siku hizi Tabata unakutana na Small Planet, Kitambaa Cheupe, Barakuda, The Great, Kwetu Pazuri(Twest) na nyinginezo nyingi zinazoibuka kila mahali.

Leo asubuhi nawahi kazini nakutana na convo imebebana wamelewa chakari na vyupa mkononi, nikasema kweli Tabata imekuwa mpya. Tetesi za mahospitali nimesikia pia imekuwa makao makuu ya UTI sugu.

Baa.png
 
View attachment 2971533
Niliacha kutoka night-club asubuhi baada ya kukutana na wanafunzi wangu barabarani mitaa ya Ben Pub Kinondoni wanaelekea kanisani.
Niko chweeee.....wakanipokea mkoba nayumba balaa.

Mpaka leo, ikifika saa 8 usiku ni mwisho wa kukaa bar/nightclub.
Sitaki dhalili mimi.
 
Wanaoishi Sinza sasa hivi ni vijana wanaofanya kazikwenye saloons na massage parlors, wanafunzi, wanenguaji, bar maids, na wauzaji wa mavazi
 
Niliacha kutoka night-club asubuhi baada ya kukutana na wanafunzi wangu barabarani mitaa ya Ben Pub Kinondoni wanaelekea kanisani.
Niko chweeee.....wakanipokea mkoba nayumba balaa.

Mpaka leo, ikifika saa 8 usiku ni mwisho wa kukaa bar/nightclub.
Sitaki dhalili mimi.
Kilikuwa kiwanja changu cha bata hapo ila ndio ilishafungwa, nikitoka nahamia C PARK kula muziki live wa dansi ambayo nayo ishakufa.
 
Acha tu
C Park Matema na Ben, ilikuwa unavuka tu barabara.
Tukitoka hapo tunakutana PapiChulo.

Hv unakumbuka Ben Pub na ule mlango wa tinted?
Unajua bado hakujakucha, ukifungua mlango tu, saa 4 asubuhi ... nachoka hoi🥴😙😙
 
Acha tu
C Park Matema na Ben, ilikuwa unavuka tu barabara.
Tukitoka hapo tunakutana PapiChulo.

Hv unakumbuka Ben Pub na ule mlango wa tinted?
Unajua bado hakujakucha, ukifungua mlango tu, saa 4 asubuhi ... nachoka hoi
Ilishawahi kunitokea hapo ben pub. Unakula starehe unajisahau unatoka nje unakuta jua kali watu wanaendelea na shughuli zao.
Papii chulo nayo mwendo ilishaumaliza ila kuna mbadala las carinyo.
 
WAcha ziendee
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.

Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana, Shikamoo, Angel Bar, Marahaba, Dagaa Dagaa na nyinginezo nyingi.

Siku hizi Tabata unakutana na Small Planet, Kitambaa Cheupe, Barakuda, The Great, Kwetu Pazuri(Twest) na nyinginezo nyingi zinazoibuka kila mahali.

Leo asubuhi nawahi kazini nakutana na convo imebebana wamelewa chakari na vyupa mkononi, nikasema kweli Tabata imekuwa mpya. Tetesi za mahospitali nimesikia pia imekuwa makao makuu ya UTI sugu.

View attachment 2971533
Zimeuaaa nduguu wengi Sanaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom