Baa za Tabata na maeneo yake ya kula bata

Alagwa

Member
May 30, 2012
95
85
Kwa siku za karibuni Tabata imekuwa sehemu ya kula bata sana tofauti na kipindi flani ilijulikana Sinza ndio kuna mambo mengi lakini hivi sasa Tabata ndio inashika namba moja.

Ukianzia 40 40 jirani hapo kuna Smal Planet tembea kidogo unakutana na Kitamaa Cheupe kabla hujakaa sawa unasikia Barakuda huku mziki wa The Great ukikuita ile nyingine ilikuwa inaitwa Kwetu Pazuri sasa inajina jipya Twest.

Unaweza kujiuliza hawa watu wanalala mida gani ila kikubwa usijichanganye ukaiga maisha ya watu utapotea
 
Kwa siku za karibuni Tabata imekuwa sehemu ya kula bata sana tofauti na kipindi flani ilijulikana Sinza ndio kuna mambo mengi lakini hivi sasa tabata ndio inashika namba moja. ukianzia 40 40 jirani hapo kuna smal planet tembea kidogo unakutana na kitamaa cheupe kabla hujakaa sawa unasikia Barakuda huku mziki wa the great ukikuita ile nyingine ilikuwa inaitwa kwetu pazuri sasa inajina jipya twest.
Unaweza kujiuliza hawa watu wanalala mida gani ila kikubwa usijichanganye ukaiga maisha ya watu utapotea
Sinza tumewachapa injili, sasa wamepokea wokovu, tunahamia Tabata, soon utasikia Tabata ni makanisa matupu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom