Airtel 5G Unlimited Internet

Ishu hawa isp wengine bei sana afu speed ndogo voda na airtel ndo hivyo sitazigusa tena. Kuna ttcl na net solution bei zao rahisi afu speed nzuri zote bei za 55k 20mbps ila maskani kwangu net solution haijafika
Bora hao tu mie hiii router yangu mwezi ujao silipiii Tena
 
Watu wa Dar mna matatizo
Sasa umekula wali wa mama ntilie, ni mbaya ni mzuri. Lazima ulipe
Ungetaka mzuri zaidi ungeenda Hoteliniโ€ฆ
Tajiri depooo huku dar bili tunalipia kwenye maziwa na maji ya kunywa tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜
 
Siyo kirahisi RAHISI tu ! Eti unafanyiwa configuration Bure Bure!.... hivi hivi tu kama wanavyodai hao TTCL... Waongo!

Fuata protocol... Ukae mwaka unasubiria kufanyiwa configuration...!

Vunja protocol!... Kunjua mkono... Unafungiwa ndani ya siku moja!
Sasa unadhani namna hii KAMPUNI itapiga hatua
Lazima itawaliwe na ukiritimba na huduma za hovyo
ndio mana ikitokea SHIDA katika ROUTER zao unaweza ukakaa hata Wiki mbili hujarekebishiwa na ofissin kwao hawaji

First time SUPAKASI VODA(Kabla haijaitwa hvyo) walitufata wenyewe OFISINI na kutuelezea OFA kibao tukijiunga na hiyo HUDUMA even walinipa DEAL kila mteja nitakaewaletea wananipa COMMITION hii ilikuwa 2019 au 2020 hivi
Kipindi hicho OFA ilijiwa unapewa na namba 5 za VODA mnapigiana BURE mwenzi mnzima kwa VODA kwenda VODA walikuwa na kifurushi cha mpka 55
Hvyo hayo mambo ya kutoa RUSHWA hiyo kampuni haitakaa ikue na USHINDANI haitauweza
Ndo mana watu hawaitaji hata kuisikia itaishia kwenye OFISI zao za SERIKALI tu
 
Bro bora upate ttcl ata ikitokea changamoto ya mtandao, hujutii sana coz price yao rahisi na speed yao fair kwa kwel 20Mbps kwa 55k we acha. mi rafiki yangu anatumia ttcl (t-fiber) kila siku naendaga kushusha mizigo na speed iko vzuri yani stable
TTCL siwataki kabisa hata kuwasikia
 
Brother voda jau sana mkuu wana contract ya 24 months alfu huduma yao ni postpaid yani ni lazima ulipie kila mwezi usipo lipa wanakudai

Yeye na mwenzie tigo ndio michezo Yao wanapenda sana kuweka bili

Unajua ndio mana VODA hapo awali walikuwa hawataki kuwafungia watu BINAFSI au vibiashara uchwala
Walikuwa wanataka KAMPUNI tu na ilikuwa lazima uambatanishe TIN na LESENI YA BIASHARA
Wanajua WABONGO wengi magumashi sana katika kulipia HUDUMA za kila mwenzi kwannza hawalipi kwa wakati mpaka wakatiwe HUDUMA

VODA kam una BIASHARA ya kuungaunga au kikampuni UCHWALA SUPAKASI hautaiweza itakutesa tu
Mwisho utawachukia kwenye GHALAMA lakini HUDUMA zao i uhakika hawana mbambamba
 
Natumia 5G ya Airtel ni kero kwwnye speed, nayaka nihamie Vodacom.

Voda wako je?
 
Natumia 5G ya Airtel ni kero kwwnye speed, nayaka nihamie Vodacom.

Voda wako je?
Kama huna shida ya kulipia 120 kila mwezi wako poa. Ila kumbuka hawazimi internet itaendela kuwepo wao watakudai tu hela yao sio kma airtel ukinunua tarehe flani internet itaisha tarehe flani so mpaka ww mwenyewe ukijickia kununua tena, voda wao internet itaendelea kuwepo watakutumia tu bill mwisho wa mwezi yani kiufupi voda ni postpaid na airtel ni prepaid. Nadhani utakua umenielewa mkuu
 
Gb 800, ulikuwa unaidownload Dunia!? Na vyote vilivyomo!?

Tumia TTCL ni unlimited! unlimited kwelikweli!... Sio hao vibaraka wa nape! 20mbps downloading 20mbps uploading speed as well

Natumia wifi router yao mkoani... Ni 55,000 Kwa mwezi.
Hii iko je mkuu?
Upo mkoa gani?
utaratibu wa kuungwa na hii ni upi?
 
Kama huna shida ya kulipia 120 kila mwezi wako poa. Ila kumbuka hawazimi internet itaendela kuwepo wao watakudai tu hela yao sio kma airtel ukinunua tarehe flani internet itaisha tarehe flani so mpaka ww mwenyewe ukijickia kununua tena, voda wao internet itaendelea kuwepo watakutumia tu bill mwisho wa mwezi yani kiufupi voda ni postpaid na airtel ni prepaid. Nadhani utakua umenielewa mkuu
Naunga mkono hoja kaka
 
Back
Top Bottom