Airtel 5G Unlimited Internet

Gb 800, ulikuwa unaidownload Dunia!? Na vyote vilivyomo!?

Tumia TTCL ni unlimited! unlimited kwelikweli!... Sio hao vibaraka wa nape! 20mbps downloading 20mbps uploading speed as well

Natumia wifi router yao mkoani... Ni 55,000 Kwa mwezi.
Hao TTCL sitaki hata kuwasikia

Kwenye Router yangu hakuna kikwazo hiyo 1TB naipasua bila shida na speed bado iko imara

1711885336558.png
 
Nilisha achana nao kitambo niliwarusishia router yao waliniambia ukifisha gb 1200 speed inapingua. Alfu sasa mi ni mtu wakudownload large files daily. So sikuweza kuendelea na huduma yao
 
Siyo kirahisi RAHISI tu ! Eti unafanyiwa configuration Bure Bure!.... hivi hivi tu kama wanavyodai hao TTCL... Waongo!

Fuata protocol... Ukae mwaka unasubiria kufanyiwa configuration...!

Vunja protocol!... Kunjua mkono... Unafungiwa ndani ya siku moja!
Brother nishawatoa 150k wanifungie chap chap wanakataa. Wanadai noma kwa asahiv awapokei ela ivi ivi kma zamani
 
Hao TTCL sitaki hata kuwasikia

Kwenye Router yangu hakuna kikwazo hiyo 1TB naipasua bila shida na speed bado iko imara

View attachment 2950031
Bro bora upate ttcl ata ikitokea changamoto ya mtandao, hujutii sana coz price yao rahisi na speed yao fair kwa kwel 20Mbps kwa 55k we acha. mi rafiki yangu anatumia ttcl (t-fiber) kila siku naendaga kushusha mizigo na speed iko vzuri yani stable
 
Gb 800, ulikuwa unaidownload Dunia!? Na vyote vilivyomo!?

Tumia TTCL ni unlimited! unlimited kwelikweli!... Sio hao vibaraka wa nape! 20mbps downloading 20mbps uploading speed as well

Natumia wifi router yao mkoani... Ni 55,000 Kwa mwezi

Ilipaswa ujaze fomu kwanza ofisini Kwao, ulipie router na radio.... Then hao mafundi ndio unawapooza

Ilipaswa ujaze fomu kwanza ofisini Kwao, ulipie router na radio.... Then hao mafundi ndio unawapooza wanakufungia chap
Bro hawataki ela niamini mimi shop ipo karibu hapa na maskani. Nilishaandika fomu na nikajaza tena na online mafundi walikuja wakafanya survey wakasema vifaa hamna wakipata watufunga nikatoa 150 cash nikawaambia ndugu zungu izi apa siku mbili naomba niwe nishafungiwa wakakataa ela wakaniambia nenda makao makuu uombe kibali ya kununulia vifaa nikaenda nikawaambia wakakataa kunipa kibali wakasema naomba uvute subira utafungiwa aah basi nika give up. Wacha niwasikilizie tu hadi 2028 ndo nahisi nitafungiwa
 
Tumia provider mwingine tu Hawa TTCL ni miyeyusho sana
 
Back
Top Bottom