Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,095
Ni kawaida sana ukikaribia ama ukizidisha GB 1000 (TB 1) mitandao mingi ya unlimited wanabana speed.GB800
Ni kawaida sana ukikaribia ama ukizidisha GB 1000 (TB 1) mitandao mingi ya unlimited wanabana speed.GB800
Throttling hufanyika mkuu, kwani hiyo 5G unajua unatakiwa upate speed gani na huyo ISP ?Nishatumia voda supa kasi 5g na hawana hio kitu
voda wanatoa 30mbps kwa 120K.Throttling hufanyika mkuu, kwani hiyo 5G unajua unatakiwa upate speed gani na huyo ISP ?
Kama network ya Airtel ipo basi unaweza kutumiaNaomba kujua coverage ya hii 5G ya airtel kwa Dsm ipo vizuri huku maeneo ya Pugu?
5G Router 210,000Nimesoma nimeelewa. Shukrani.
Kujiunga na Airtel bei gani? Na kwa mwezi bei gani?
Kwa ufupi, gharama za kuanzia na gharama za mwezi ni kiasi gani? Matumizi ya kawaida watu watatu hadi 5 maximum, tv, social media, etc kudownload kidogo
Shukrani. Kabla haujalala.5G Router 210,000
Data Plan 70,000
Ipo hivi ukiwa na NIDA, TIN & Leseni ya Biashara utapewa router bure na Airtel kwa kujiunga kifurushi cha 110,000.Shukrani. Kabla haujalala.
Nimeona mitandaoni (Jiji, FB Market) kuna watu wanauza izo router za 5G za Airtel wapo ambao wanauza cheaper (Tsh 110k, 150k etc) mpya kabisa. Na wapo ambao wanagawa bure. Yes, wanasema wanakupa Bure sasa sijui wao wanafaidikaje.
View attachment 2917488
I know it's too good to be true, lakini izo za cheaper zina madhara? Naweza kwenda Airtel nikasajili laini tu ya 70k nikawaambia router ninayo afu nikanunua router izo Cheaper?
Yako ni smart box au?Panel tu ya Router yako ina muonekano tofauti na yangu.
Mi yangu huwa inasoma matumizi ya data kwa wa mfumo wa MB hata nipige 2TB itaandika 2000000MB
Kuanzia 115,000= boss ila kipindi unaaanza utaweka 230,000 then unatumia mwezi mmoja unaendelea na 115 kila mwezi.Un limited Wana bei gani Kaka??
YeahYako ni smart box au?
Hawasemi ila wameandika kwenye Terms and conditions zao kwamba wanaweza kupunguza spidi yako kama unafanya heavy downloads mfululizo kutegemea na eneo lako ili kuwa fair kwa watumiaji wengine ndo maana baadhi mnapata majanga. Sema they know Wabongo hatusomi...Nami yamenikuta sikuwa najua nilihisi ni tatizo la mtandao hasa ukizingatia nipo nje ya dar es salaam wanakoiuza kwamba ndio ilipo 5g.Baada ya kufatilia huduma kwa wateja ndio wananiambia wako na user limit policy.
Mwanzoni kwa speed ya 10mbps cha 70000 kwa Mwezi haikuwa kuwekwa limit hiyo ila baada ya kuongeza speed kuwa 30mbps ndio nimekutana na hayo majanga kabla ya muda niliojiunga kuisha.
Haya hawayaweki wazi kwa mteja ila utakutana nacho baada ya kutumia na kufikia cap yao hiyo.
Im disappointed na hapa naiuza sipo tayari kulipia unlimited iliyo limeted.Hii inawafaa wenye matumizi yakawaida tu acha nirudi Voda.
Nilinunua speed ya 30mbps sasa inasomea 2mbps halafu ndio kwanza wiki ya pili tu.
Kwa anayehitaji hii router ya Airtel njoo unirudishie 200k zangu tu nilizonunulia.
Mbona mimi iko fresh tuView attachment 2916855
Ndugu zangu nilijiunganisha na airtel 5g unlimited internet nikajua kwamba hawana limit ya volume kumbe unahesabiwa gb na GB zikiisha speed ya internet inapungua. Mimi nilitoka kuwa na speed ya download 30Mbps Upload 5OMbps kwenda mpaka 1Mbps download na 2Mbps upload daah nichangamoto kubwa sana.
Nawashauri tu wale ndugu zangu wanaotaka kujiunga na hii airtel 5g unlimited. Kama wewe ni mtu wa kudownload vitu sana hii haifai kabisa na speed ikipungua internet inasumbua yani hata kuchek tu insta shughuli ina stuck sana.
So Beware
Labda kwakoView attachment 2916855
Ndugu zangu nilijiunganisha na airtel 5g unlimited internet nikajua kwamba hawana limit ya volume kumbe unahesabiwa gb na GB zikiisha speed ya internet inapungua. Mimi nilitoka kuwa na speed ya download 30Mbps Upload 5OMbps kwenda mpaka 1Mbps download na 2Mbps upload daah nichangamoto kubwa sana.
Nawashauri tu wale ndugu zangu wanaotaka kujiunga na hii airtel 5g unlimited. Kama wewe ni mtu wa kudownload vitu sana hii haifai kabisa na speed ikipungua internet inasumbua yani hata kuchek tu insta shughuli ina stuck sana.
So Beware
1200Umetumia gb ngapi, kabla ya speed kupunguzwa?
Ukifisha gb 1200 speed inapungua. Airtel wenyewe wanasema hivyoLabda kwako