zitto kabwe

Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe (Zitto Kabwe)
Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe, maarufu kama Zitto Kabwe, ni mwanasiasa kutoka Tanzania kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Zitto aliwahi kuwa mwanachama wa Chama Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA) toka mwaka 1992 mpaka 2015 alipoachana na chama hicho.

Zitto ameshika nafasi ya Kiongozi wa Chama ACT-Wazalendo kwa miaka 9, mpaka March 2024 ambapo nafasi hiyo imechukuliwa na Dorothy Semu. Amewahi kuwa Mbunge wa Tanzania kwa vipindi viwili kuanzia 2005 mpaka 2015 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini.
  1. comte

    Uhusiano wa Zitto na upotoshaji ni kama wa damu na nyama

    Mh Zitto akichambua taarifa ya CAG ameishukia wizara ya ujenzi, waziri wake, na wakala wa barabara kwa kudai kuwa walitengewa Trilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa barabara 88 na hakuna hata moja imejengwa hadi kipindi cha fedha tajwa kinaisha. Ukimsikia utaona anahoja lakini ukisikiliza unaona...
  2. sifi leo

    Sisi hatukubaliani na hatua alizochukua Rais dhidi ya wezi wa Fedha za Umma. Hatukubaliani pia na kibaraka wake Zitto Kabwe na ACT

    Sisi umoja wa wezi wasitaafu wa kuku za Wananchi wenzetu, wezi wa unga na mchere dukani Kwa mangi, umoja wafungwa wa kusingiZiwa na watumishi wa jeshi la polisi ambao nao wamekuwa vinara wa kutukamata sisi na kutuswendeka sero ingawa nasi sasa hivi tunawakomoa Kila kukicha tunajinyonga tukiwa...
  3. BARD AI

    Zitto Kabwe: Serikali ilikopa zaidi ya kiwango kilichoidhinishwa na Bunge

    ACTWazalendo imesema Deni la Taifa liliongezeka kwa 11% kutoka Tsh. Trilioni 64.5 mwaka 2020/21 hadi kufikia Tsh. Trilioni 71 Juni 30, 2022 ambapo Serikali ilichukua Mikopo kwa 30% zaidi ya idhini ya Bunge. Vile vile Mikopo ya Nje yenye masharti nafuu iliyochukuliwa na Serikali ilikuwa 33%...
  4. S

    Kwanini Zitto Kabwe anakwepa kuwagusa vigogo waliotajwa ripoti ya CAG

    Zitto Kabwe kwanini anakwepa kuchambua uzembe, ubadhirifu na upigaji mkubwa uliofanywa kwenye Wizara ya Nishati, Wizara ya Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Maji. Ripoti ya CAG imeibua madudu mengi na ya kutisha kwenye wizara hizo lakini jambo la kushangaza Zitto ameshindwa kuchambua...
  5. JackisonDubai

    Zitto Kabwe, Mbowe, Lissu hamuioni ripoti ya CAG?

    Ni masaa sSasa yamepita toka report ya CAG isomwe mbele ya Rais na kuibua madudu kibao lakini mpaka Sasa wanaojiita wachambuzi na wapinga ufisadi wa Serikali ya awamu ya tano wako kimya. Twitter Zitto Kabwe yuko kimya kabisa au ndiyo kusema asali tamu sana?
  6. J

    Mbowe, Zitto, Lissu na Peter Msigwa wanakubaliana Magufuli alijenga Nidhamu Serikalini. Wakumbuke nidhamu haiji kwa kuchekeana!

    Kitu kimoja ambacho Viongozi wakuu wote wa Upinzani wanakubaliana ni kwamba hayati Magufuli aliimarisha nidhamu ya Watumishi wa Umma na nidhamu ya serikali kwa Wananchi Wote. Wanapopongeza hili wajue pia Nidhamu haiji kwa kuchekeana bali hutengenezwa kwa mfumo wa kimkakati. Ni katika...
  7. J

    Selasini asema CHADEMA iliviua vyama vingine 2015, Zitto asema ACT Wazalendo haifanyi siasa za kuachiana Majimbo

    Baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe kusema chama chake hakihitaji ushirikiano au muungano na vyama vingine vya upinzani baadhi ya viongozi wa upinzani wamemshukia kama mwewe. Selasini wa NCCR mageuzi amesema 2015 CHADEMA kupitia UKAWA ulikuwa na mkakati wa kuviuwa vyama vingine vya upinzani na...
  8. M

    Nani anamlinda Zitto Kabwe? Kwanini hakamatwi na kushitakiwa pamoja na kueneza uongo na uchochezi?

    Aliwahi kutamka hadharani kuwa shamba lake la korosho na nyumba yake vilichomwa na serikali chini ya hayati JPM. Aliwahi kusema kuwa serikali imenunua ndege Mbovu na moja tu ndio inafanya kazi. Aliwahi kusema kuwa serikali ina njama za kumuua. Juzi katamka wazi kuwa serikali iliua viongozi wa...
  9. Chizi Maarifa

    Naona kuna Mkakati wa kum-underestimate Zitto Kabwe na ACT Wazalendo. Ni kama wamemdharau

    Why linapokuja suala kubwa la upinzani ni CCM na CHADEMA tu? ACT Wazalendo ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini? Tunamuona Rais na Mbowe kila wakati. Wakizungumzia upinzani na siasa ni ccm na chadema tu. Je ni makusudi kumdogosha Zitto au zitto junior na akina Zitto wengine? Au bado zile pesa...
  10. Mganguzi

    Haya anayofanya Freeman Mbowe ni unafiki mkubwa kuwahi kutokea. Angefanya Zitto Kabwe wa ACT moto ungewaka

    Kwakweli nimechoka na siasa za bongo. Miezi michache iliyopita Zitto Kabwe alikuwa anashambuliwa Kila Kona kwa sababu ya ruzuku. Wakamwita msaliti na matusi chungu nzima. Leo Chadema chini ya Freeman Mbowe wamechukua ruzuku na wamekausha kimyaaa. Unafiki! Miezi michache iliyopita...
  11. J

    Lema aseme ukweli alipataje Ukimbizi Canada vinginevyo Zitto Kabwe ataaminika kuwa alinunuliwa

    Jana Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi ameongea jambo zito sana kuhusu ACT Wazalendo, kwamba ni wapigaji tu walioifilisi Bandari. Nategemea Godbless Lema atafafanua namna alivyopata Ukimbizi. Wednesday, Ubarikiwe sana!
  12. Mayombya Jr

    Hivi ni kweli Zitto Kabwe anauota urais wa Jamhuri ya Tanzania?

    Habari wana JF, Nimshauri ndugu Zitto Kabwe, kwamba raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wanahitaji zaidi kusikia habari zinazohusu katiba mpya na sio gonjera zake hizo. Wanasisasa wa nchii hii wabadilike, watangulize maslahi ya umma mbele kuliko kutanguliza maslahi yao binafsi...
  13. BARD AI

    Zitto Kabwe autaka Urais

    KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema dhamira yake kubwa ya kuwa kwenye ulingo wa siasa ni kuwa Rais wa Tanzania atakayeibadilisha nchi pale ilipo na kupiga hatua kubwa kimaendeleo. Zitto alitoa kauli hiyo jana Dar es Salaam alipohojiwa katika kipindi cha Super Breakfast...
  14. J

    Zitto Kabwe: Mimi na Halima Mdee tumetoka mbali sana hata fomu za kugombea Ubunge mimi ndiye nilimjazia mara ya kwanza!

    KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema yeye na Halima Mdee wametoka mbali sana na hata tofauti za kisiasa haziwezi kuvuruga mahusiano yao kama kaka na dada Zitto Kabwe anasema yeye ndiye alimjazia fomu za kuomba Ubunge Halima Mdee kwa mara ya kwanza na ni yeye ndiye aliyempa taarifa kwamba...
  15. J

    Kufikia 2025 hata Tundu Lissu ataanza kuhubiri mema ya Hayati Magufuli, Zitto Kabwe amefungua

    Hakuna mwanasiasa ataacha kumsifia Shujaa Magufuli wakati wa kuomba kura 2025. Siyo wa CCM wala Upinzani kura zimebebwa na Nyota ya Magufuli. Wale wajanja wameanza mapema na wataongezeka zaidi na zaidi. Yesu akawaambia wale wanafunzi kamwambieni Johnthebaptist kuwa Viwete wanatembea na Vipofu...
  16. USSR

    Zitto amsifia Hayati Magufuli kuleta nidhamu ya kazi kwa kipindi chake

    Mwangalie alivyomsifia kinafiki baada ya kubanwa maswali na wanahabari. Amekubali kuwa watanzania walitaka Rais dikteta tangu awali kutokana na ufisadi na uzembe kazini ila kwa unyonge sana. Zitto anaumia sana kuona watu hata hao wanahabari bado wanamuona Magufuli kama shujaa anakosa amani...
  17. Msanii

    Zitto Kabwe ni mpinzani halisi mwenye contents. Tatizo wapinzani wanapingana

    NIlipata wasaa wa kumsikiliza Zitto kwenye mkutano wa hadhara kwanza wa ACT Wazalendo 2023 pale uwanja wa Zakhem Mbagala. Niseme kwa kukiri kwamba, kiongozi huyu ambaye ameanzia na kukulia Upinzani ana viwango vyote sahihi vya kuitwa mwanasiasa mwenye hoja. Katika kuunda hoja na kuzijengea...
Back
Top Bottom