profesa janabi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Profesa Janabi kama Dr. Fauci wa Marekani

    Dr. Anthony Fauci alikuwa ni Mkurugenzi wa taasisi ya kitaifa ya Marekani ya magonjwa ya mzio na kuambukiza(NIAID) kwa takribani miaka 20 na jina kubwa katika masuala ya Afya Marekani kama alivyo Janabi hapa Tanzania. Wakati wa mlipuko wa COVID anakumbukwa zaidi kwa jinsi alivyokuwa akitoa...
  2. tpaul

    Shehe: Profesa Janabi anataka kutuua, atatuvunjia ndoa

    Shehe mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja amesikika akisema kwamba, kwa ulaji ule wa Profesa Janabi, ukiwa muislamu mwenye wake wanne unaweza kushindwa kumlisha mkeo "chakula cha chini" na hatimaye ndoa zikavunjika. Amesema haya akiwa na maana kuwa ukibahatika kuoa mwali...
  3. Mjanja M1

    Profesa Janabi ataka watu wembamba wasinyanyapaliwe

    PROFESA Mohamed Janabi amesema mtu kuwa mwembamba haina maana kwamba ni mgonjwa, akionya unyanyapaa dhidi ya kundi hilo ambalo yeye ni sehemu yake. Mkurugenzi Mtendaji huyo wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ametoa kauli hiyo wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Afua ya Mfumo Jumuishi hospitalini...
  4. D

    Musukuma, Saasisha: Watanzania tusitishike na Janabi

    Ndugu Janabi amekua akitoa ushauri Tata kuhusu lishe,Hali iliyowafanya watanzania wengi kubaki njia panda. Nataka niwaambie ndugu zangu watanzania Huyu Janabi sio wa kwanza, miaka ya nyuma Kuna mtu alijiita DR NDODI Huyu ndio alikuwa balaa alitoa vitisho vyake na kila Aina ya vyakula na...
  5. Mjanja M1

    Profesa Janabi: Ogopa sana vitu vitamu vitamu

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohamed Janabi amesema utumiaji wa sukari kupita kiasi haufai kwa afya ya mwanadamu. “Ukinywa glass moja asubuhi machungwa matano, mchana matano na jioni matano maana yake kwa mwezi ni machungwa 450, unaharibu afya yako, ogopa zaidi...
  6. Mjanja M1

    Profesa Janabi: Bei ya sukari imepanda juu, take advantage

    Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amezungumza kuhusu ongezeko la wagonjwa wa kusafisha figo ambapo amesema kwa siku hospitali hiyo inahudumia wagonjwa 120 hadi 130, hivyo ameihimiza jamii kuchukua tahadhari na kufuata mtindo bora wa maisha. Profesa Janabi...
  7. X men

    Hospitali ya Taifa Muhimbili na urasimu wa kutoa Medical Report

    MUHIMBILI NA URASIMU WA MEDICAL REPORT. Nimekuwa nikiuguza mgonjwa wodini pale Jengo la Watoto Hospitali ya Muhimbili kwa vipindi tofauti tofauti, ilikuwa kuomba Medical Report ni bure, lakini kuanzia Prof. Janabi alipoingia kupata Medical report ya mgonjwa ni lazima ulipie Laki moja (Tsh...
  8. tpaul

    Utafiti: Profesa Janabi yupo sahihi 100%; watu wanajiua wenyewe kwa upumbavu wao

    Baada ya kufuatilia ushauri wa Profesa Janabi kwa watanzania kuhusu aina ya maisha wanayoishi (lifestyle) na ambayo ni kisababishi kikuu cha magonjwa yanayoua lakini yanayoweza kuzuilika, ilinibidi nifanye utafiti kujiridhisha. Katika utafiti wangu nimegundua kuwa watanzania tunajiua wenyewe kwa...
  9. GENTAMYCINE

    Profesa Janabi: Aliyewaambia Watu wawe Wanakunywa Maji Lita 5 kwa Siku kawadanganya sana

    "Unatakiwa kunywa Maji pale tu Mwili wako ukikuambia au ukijisikia kuwa una Kiu. Na hata kama usiposikia Kiu na kutokunywa Maji bado Afya yako itakuwa imara. Huwa nashangaa mno kuwaona na kuwasikia Watu wakisema kuwa Mwanadamu kwa Siku anatakiwa Kunywa Maji Lita 5 hii si sahihi na wengi...
  10. JanguKamaJangu

    Hospitali ya Taifa Muhimbili kuanza huduma ya upandikizaji wa Ini ifikapo Mwaka 2025

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) itaanzisha huduma ya upandikizaji Ini ifikapo mwaka 2025 ikiwa ni mwendelezo wa azma ya Serikali kuhakikisha kwamba huduma za ubingwa bobezi zinapatikana nchini. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Prof. Mohamed Janabi wakati akifungua mafunzo ya...
  11. mwanamwana

    UTEUZI: Rais Samia afanya teuzi za Wakurugenzi Watendaji wa Hospitali ya Muhimbili na JKCI

    UTEUZI: Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mohamed Yakubi Janabi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Muhimbili. Prof. Janabi alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Janabi anachukua nafasi ya Prof. Lawrence Maseru ambaye amestaafu. Aidha Rais...
Back
Top Bottom