hospitali ya taifa muhimbili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X men

    Hospitali ya Taifa Muhimbili na urasimu wa kutoa Medical Report

    MUHIMBILI NA URASIMU WA MEDICAL REPORT. Nimekuwa nikiuguza mgonjwa wodini pale Jengo la Watoto Hospitali ya Muhimbili kwa vipindi tofauti tofauti, ilikuwa kuomba Medical Report ni bure, lakini kuanzia Prof. Janabi alipoingia kupata Medical report ya mgonjwa ni lazima ulipie Laki moja (Tsh...
  2. A

    DOKEZO Hali ya Huduma na Mazingira katika Wodi No. 11 Jengo la Kibasila, Hospitali ya Taifa -Muhimbili hairidhishi

    Wodi namba 11 ni miongoni mwa wodi za wanaume zilizopo jengo la Kibasila katika Hospitali ya taifa Muhimbili (Upanga) Hali ya mazingira katika wodi hiyo sio nzuri 1. Sakafu ni chafu 2. Mashuka yamepauka 3. Vitanda vimechoka na vimepangwa kwa kusongamana 4. Vyandarua licha ya kuwa na rangi...
  3. Roving Journalist

    Hospitali ya Taifa Muhimbili yawezesha uanzishwaji wa Kliniki ya Himofilia na Selimundu Kigoma RRH

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Dkt. Jesca Leba ameishukuru Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kuwezesha upatikanaji wa Kliniki ya Himofilia na Selimundu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma - Maweni. Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Tiba - MNH, Dkt. John Rwegasha Dkt. Jesca ambaye...
  4. Diversity

    NADHARIA Huduma ya Pacemaker haipo Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Baadhi ya wanachama wa JamiiForums wamedokeza kudai kwamba huduma ya Pacemaker haipo Muhimbili. Aidha, madai hayo yanabainisha kwamba wagonjwa wamekuwa wakiahidiwa kuletwa kwa huduma hiyo lakini mpaka sasa haijawekwa na kuna taarifa kuwa baadhi wamepoteza maisha kutokana na kukosa huduma hiyo.
  5. BARD AI

    Polisi, Mahakama, Hospitali ya Taifa Muhimbili zina viashiria vya Uvunjifu wa Maadili

    Serikali imetaja taasisi za Polisi, Mahakama na Muhimbili kwamba zinaongoza kwa viashiria vya uvunjifu wa maadili nchini hivyo akaomba viongozi wakutane na kujadili kwa nini taasisi nyeti kama hizo zinatajwa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
  6. Super Handsome

    36 wajitokeza kuuza figo Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imetoa ripoti ya takwimu zinazoonesha kupokea maombi ya wananchi 36 walioomba utaratibu wa kuuza figo zao ili kukabiliana na ugumu wa maisha. Takwimu hiyo imetolewa jana wakati wa maadhimisho ya siku ya kukabiliana na ugonjwa wa Figo duniani. Awali, Ofisa Ustawi wa...
  7. amu

    TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Kwa masikitiko makubwa ninapenda kuwapa taarifa ya mdau mwenzetu humu anayeitwa warumi amefariki usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa anapambana kwa ugonjwa wa figo. Taarifa hii nimepewa na dada yake muda huu, msiba upo Tegeta . Msiba utasafirishwa kwenda Mbeya...
  8. Nyendo

    TANZIA Mtoto wa Masoud Kipanya maarufu Malcolm the Believer amefariki dunia

    Mtoto wa Masoud Kipanya maarufu Malcolm the Believer amefariki jioni hii alipokimbizwa Hospitali Muhimbili kwa matibabu ya dharula ( Emergency) Msiba utakuwa Mwenge kwa Babu yake na mazishi ni kesho. ==== Alichowahi kuandika Malcom: (Masoud Kipanya Story of my life) My name is Malcolm...
  9. Miss Zomboko

    Serikali ya Tanzania imesema inatarajia kuanza kutoa huduma ya upandikizaji wa mimba (IVF)

    Huduma hiyo inaanza ikiwa ni miaka miwili sasa imepita tangu Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuanza maandalizi ya utoaji wa huduma hiyo ikiwemo kusomesha wataalamu na kuandaa jengo litakalotumika kutolea huduma hiyo. Akizungumza bungeni leo Jumanne Mei 11, 2021 wakati akiwasilisha bajeti...
Back
Top Bottom