mke wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Mke wangu amekubali nimuadhibu viboko vitano ili yaishe

    Nilivyosafari kuenda kwenye shughuli zangu za biashara takriban mwezi moja na nusu, jana nilirudi nikakuta mke wangu hayupo kasafiri na kuenda kwa Dada yake kukaa huko na nyumbani hamna mtu yeyote kuna giza kote, nikakagua nyumba yote na Kigari changu nikaona vyote viko salama nikamshukuru Mungu...
  2. K

    Mke wangu kaninasa kibao, nifanyeje?

    Habari za leo wananchi wenzangu wanyonge. Poleni na msiba wa kiongozi wetu sisi wanyonge. Ndugu zangu, naombeni ushauri wenu wa mawazo. Leo nilikuwa nimekaa na wife tunacheck tv, ikaingia message kwenye simu yangu, wife akaichukua haraka haraka na kuisoma. Nikashangaa ameniangalia usoni kisha...
  3. C

    Mke wangu kanificha mengi, naomba ushauri

    Ndugu zanguni habari zenu, nimekuja kwa ushauri wenu pamoja nakuweza kupanua mawozo yangu nakupunguza stress za kifamilia. Mimi nina mke na tumejaliwa watoto wawili (2) wakike na wakiume, Mwaka jana mnamo mwezi wa saba (7) mke wangu alinipa taarifa kwamba Mama wake mzazi (mama mkwe) anakuja...
  4. Nzi Chuma

    Mke wangu amekeketwa, nimeshindwa kuendelea kuishi nae

    Habari wakuu, As usual, Nzi Chuma sidhuriwi na uvundo. Siku nyingi sana, nimewamis!. Naomba niwape kisa cha kweli cha kufungua huu mwaka 2021, maana tangu uanze sijaanzisha thread. Miaka kadhaa nyuma nilibahatika kuoa mke ambaye nilihisi kumpenda. Mimi ni muumini wa imani sawa na ya JokaJeusi...
  5. Jeneralis

    Mke wangu ni mkorofi hatari

    Habari wana JF. Nina mke wangu ni mkorofi kupindukia, ana mdomo, muongo, mchonganishi, ana hasira, mropokaji. Halafu yeye ndo wa kwanza kupiga simu kwa ndugu akiwaambia namnyanyasa sana. Kwakuwa mimi siyo mwepesi wa kutoa taarifa za ugomvi wanaamini asemacho mke wangu ananikosesha amani kiasi...
  6. M

    Msaada: Mke wangu anataka tuwe tunaishi na mtoto wa dada yake kila wikiendi na likizo

    Habari wakuu mke wangu ana dada yake ambaye kazalishwa mtoto mmoja na Dada yake hayuko katika ndoa, hajaolewa na aliyemzalisha alikuja akaoa mwanamke mwingine Sasa basi mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa umri sawa na mtoto wa Dada yake.. mke wangu amekuwa akimchukua mtoto wa Dada yake kila...
  7. Okechuku33

    Mke wangu anadai ana ujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

    Mke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine! Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga! Mnanishaurije wadau!?
  8. Bulichekah

    Mke wangu hataki niendeshe gari alilonunua. Nakereka sana

    Mimi ni mwanaume wa kawaida, nimejaaliwa kipato cha wastani tu kinachotokana na juhudi za kujihusisha na hiki na kile kwa kupitia kujiajiri. Mke wangu pia ni mchakarikaji na anaitumikia biashara ya vyombo vya ndani na mapambo ya ndani ambayo kwa pamoja tuliifungua na inafanya vizuri sana...
  9. Baba jayaron

    Alichonitendea mke wangu sitosahau

    Asalaam, Bila kupoteza mda, mimi na mke wangu tuna miaka kadhaa kwenye ndoa ila alhmdulillah ndoa imejaa mazuri meeeengi. ila ya leo kiboko... Tulipishana mida ya kuingia kazni yy aliingia usiku mm mchana tukakutana usiku mwingi asubuhi niliwahi ibadani mapema saana kushughulikia mambo flani...
  10. Mia tisa itapendeza

    Mke wangu ananipiga makofi kila ninapochelewa kurudi nyumbani, nifanyaje jamani nimechoka!

    Mimi ni mwanaume niliejaaliwa kuwa na watoto wawili wakike na wa kiume na mke wangu nimemuoa miaka kumi iliyopita huko mkoani iringa, shughuli zangu ni fundi seremala katika hizi kampuni za ujenzi za kichina zilizotapakaa hapa jijini dar ambazo tunajenga nyumba mbalimbali za miradi ya jamii...
  11. N

    Mke wangu anadai niifukuze familia ya kaka nyumbani

    Wadau nawasalimu, Kuna mgogoro wa kifamilia unafukuta nyumbani kwangu, Ni kwamba kuna kaka yangu ambae alipata matatizo na yupo jela sasa takribani mwaka wa pili akitumikia kifungo cha miaka saba. Huku nje familia yake ilishindwa kumudu kodi ya nyumba baada ya kodi aliyolipa jamaa kuisha...
  12. ibby

    Naomba ushauri, mke wangu anakasirika hovyo

    Habari za hizi saizi wanajamvi, Naombeni ushauri, Kuna jambo fulani nashindwa kulielewa kwa mke wangu, mke wangu ana mambo ya kujigumua. Mfano mmepangilia kwenda sehemu naye (out) ukafanya any kind of mistake as human being tayari anakasirika fasta na anakwambia siendi tena nenda mwenyewe. So...
  13. Huntsman

    Mke wangu kaninyima unyumba, kaniambia nisimsumbue

    Wana MMU, Hasa mlio katika ndoa nishaurini jinsi ya kukabili jambo hili liishe. Iko hivi, mke wangu na mimi tumekuwa tukiishi vizuri tu sasa yapata week moja nzima iliyopita nilikuwa kwenye mihangaiko nje ya Dar. Nilirudi siku ya Jumapili asubuhi nikajiandaa haraka na kwenda Church...
  14. raphael linkala

    Mke wangu hapendi kuongozana na mimi barabarani

    Wadau heri ya mwaka mpya, Wife amekuwa hapendi kuongozana nami katika safari mbali mbali misiba, sherehe, outing na kadhalika, sio kwamba anakataa moja kwa moja bali atatafuta sababu ili twende tofauti, na akikubali kwenda anakuwa uncomfortable na uwepo wangu. Mwezi uliopita wa 12 tulisafiri...
  15. jamii01

    Mke wangu habebeki...

    Niko nasoma nje ya Tanzania huku nifanya kazi katika company fulani nikilipwa mshahara dollar 1,800 kwa mwezi,najigharamia mwenyewe masomo yangu kwa 50% nyingine ni sholarship na gharama nyingine za maisha. Nimeacha mke na mtoto mmoja nyumbani.mke wangu najitahidi kumtumia dollar 1,000 kila...
Back
Top Bottom