mbweni

Mbweni, Dar es Salaam is an administrative ward in the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,475.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    House4Rent Nyumba inapangishwa Mbweni JKT

    Nyumba inapangishwa mbweni jkt …laki nane kwa mwez. Kwa atakaehitaji anichek pm
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Habari za Sabato Wakuu! Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa. Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria. Hapa...
  3. bizzle for shizzle

    kiwanja kinauzwa Mbweni malindi estate

    Kiwanja kinauzwa Kipo mbweni malindi , jijini dar es salaam WILAYA ya Kinondoni BARABARA ya bagamoyo road kina UKUBWA wa sqm 1495 ni corner plot na kina Hati miliki safi kutoka wizara ya Ardhi kina uzwa TSH MIL 180 mazungumzo yapo kwa muhitaji KARIBUNI sana Mawasiliano 0712464777 whatsap & call...
  4. bizzle for shizzle

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbweni-Dar

    Kipo kiwanja mbweni jkt block 5 kina sqm 1020. bei 80milion kina hat Kipo kiwanja mbweni malindi block c sqm 1100. Bei 80milion kina hat Kipo kiwanja mbweni mpiji sqm 912 bei milion 55 kina hati Kipo kingine mbweni mpiji block 13 sqm 1090 kina hat bei 50 milion Kipo kingine mbweni...
  5. GENTAMYCINE

    Nimefurahi sana kukutana na 'Makomandoo' wa Chuoni Kiharaka Mapinga Bagamoyo wakiwa Wanafanya mazoezi yao Barabarani Mbweni

    Hakika kwa nilivyowaona wakiwa Vifua wazi wamejengeka Kimwili Wamekomaa na wana Morali ya hali ya Juu ya Kimedani hakika si Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda na hata Israel, Marekani, Cuba na Uingereza ambao watatuweza Tanzania kama wakituchokoza. Hongereni sana JWTZ kwa Uimara!!!!
  6. SAYVILLE

    Je kuna uwezekano wa Simba kuhamia moja kwa moja uwanja wa Mej. General Isamuhyo ulioko Mbweni?

    Nimewaza na kuwazua, kwa muda sasa Simba imeweka kambi yake maeneo ya Mbweni na ni umbali mdogo sana kutoka uwanja wa Meja Generali Isamuhyo ulipo. Yaani umbali wake ni mdogo kiasi kwamba katika mechi inayokuja ya JKT vs Simba, Simba wanaweza kuamua siku ya mechi kutembea kwa miguu kutoka...
  7. Newcastle1234

    Natafuta kiwanja Mbweni, budget Mil.70

    Natafuta kiwanja Mbweni. Bajeti yangu Mil.70. Ukubwa at least 900sqm SITAKI MADALALI. Kwa mmiliki au anaemfahamu mmiliki anitumie picha na location kwenye WHATSAPP 0788 893364. Just Whatsapp. NO CALLS
  8. Hukumuzuku

    Kesho kutakuwa na Mgawo wa Umeme Tena Bahari Beach, Ununio, Boko, Mbweni, Bunju?

    Ukiwapigia TANESCO Call Center watakwambia ni "emergency" imetokea kwenye vituo vyao vya kusambaza umeme, na mafundi wao wabobezi wanalishuglikia tatizo. Wakimaliza marekebisho ya dharura umeme utarudi muda wowote. Wadau walipa LUKU tujiandae kisaikolojia kwa "emergency" ya kesho ya umeme...
  9. GENTAMYCINE

    Mkandarasi anayetakiwa Kujenga Daraja la Mto Mpiji linalounganisha Mbweni na Mapinga anachelewa nini kuanza Ujenzi?

    Kama kuna Wahusika wa Ujenzi wa Daraja hilo hapa JamiiForums nitashukuru nikipata Mrejesho wao kwani GENTAMYCINE nitapenda hata nyakati za Mvua Kubwa na Mafuriko niendelee kuwa Huru Kuvuka hilo Daraja na Kuwatembelea Makomandoo ( Wanamedani Waliotukuka ) walioko Jirani na Daraja hilo na Kukutana...
  10. GENTAMYCINE

    Chatu mkubwa katika pori jirani na 'Chuo Nyeti' Mbweni Malindi adhibitiwe upesi kabla hajaleta madhara

    Mida yake ya kuvuka barabara hiyo ya lami ni kati ya saa 2 hadi Saa 3 usiku na ni mkubwa sana. Nina uhakika wale wote wanaopita hiyo njia wakiwa ama katika Bajaji au Pikipiki za Bodaboda au DalaDala za Mbweni - Makumbusho au hata gari binafsi ama mmeshawahi kukutana nae au nanyi hivi karibuni...
  11. N'yadikwa

    Mkandarasi aliejenga lami ya Ubungo ya Mbweni kazingua ubora

    Yaani kuna kipande cha kuanzia Ununio hadi Ubungo kajenga vizuri, baada ya hapo kamwaga lami chini ya kiwango kabisa, mpaka unajiuliza Injinia wa Halmashauri ya Kinondoni kakagua na kupitisha lami hii lowest grade hivi!? Why quality itofautiane hivyo!?
  12. GENTAMYCINE

    RPC Muliro kuna nini kwa sasa Mbweni mbona kuna Vibaka na Ujambazi mwingi?

    Kama kuna mahala kwa sasa ambako Wakazi wake wanalia kwa Kuibiwa na Vibaka mchana na kuingiliwa na Majambazi nyakati za Usiku ni wale Waishio maeneo ya Mbweni. Kuna maeneo kama Kawe, Mwenge, Kunduchi, Mgulani, Ukonga, Gongo la Mboto, Makumbusho, Mbweni, Oysterbay Msaada Kontena, Kurasini na...
  13. D

    Plot4Sale Eneo linauzwa Mbweni

    Wakuu Kuna boma linauzwa Mbweni Millioni 40 . Mtu ataendeleza tu hilo boma Mita 15.3 kwa mita 23 N.B chenye thamani ni kiwanja sio boma .Call 0759600684
  14. masopakyindi

    Ndugu Gwajima, hii barabara isipotengezwa kiwango cha lami, kura katafute Mbweni!

    Hii barabara ina walalahoi wengi, Hii baabara inaenda baraza la mitihani Hii barabara inaweza kuunganisha Mbezi Ndumbwi na barabara ya Goba Hii barabara ina hudumia shule kubwa ya St Mary's Hii barabara tayari ilishajengwa madaraja mawili kuunganisha vitongoji vya kwa Maranda na dispensary ya...
  15. MrsPablo1

    INAUZWA Nyumba inauzwa Mbweni

    Mbweni Stand alone House, 3 bedrooms, Toilets, Kitchen and Dining, Parkin space up to 5 cars, Dawasa Water supply, Garden space,sqm 460, hati miliki ipo. Price tshs.180million. Dalali pia unaruhusiwa kuleta mteja . 📞 +255 785 335 350. WhatsApp +255 621 142 409
  16. G

    Maeneo ya wazi Mbweni yaanza kuvamiwa na vigogo

    Kama tunavyokumbuka serikali ilifanya zoezi la upimaji wa viwanja maarufu kama 20,000. Zoezi lilienda vizuri na upimaji ulifanyika vizuri kwa kuacha baadhi ya maeneo kuwa ya wazi kama ilivyo katika miji na majiji mengine ulimwenguni. Kuna eneo moja Mbweni karibu na kituo cha polisi liliachwa...
  17. C

    Nahitaji Mwalimu wa Tuition STD 4 - Mbweni Malindi

    Habarini Wakuu Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji msaada wa Mwalimu wa tuition MWENYE UZOEFU kwa Mwanafunzi wa kike wa darasa la 4. Awe anaweza kufika Mbweni Malindi/JKT, Dar es Salaam siyo chini ya mara 3 kwa wiki. Kwa mawasiliano 0625536529. Asanteni
  18. Jidu La Mabambasi

    Mbweni inapendelewa ujenzi wa barabara, Mbezi kwa miaka nenda rudi barabara hazijengwi

    Majuzi nimepita Mbweni nikashangaa kabisa. Barabara nyingi zilizokuwa hazipitiki sasa ni lami tupu. Najua huu ni mkakati wa viongozi wengi kujipendelea maana wengi wamejenga huko. Nimepata tetesi kuwa hata kwa Katibu Mkuu Kiongozi, watu wameamriwa barabara iendayo kwake iwekwe lami. Tofauti...
  19. Nyuki Mdogo

    Plot4Sale Njoo nikuuzie kiwanja Mbweni, DSM 625sqm

    KIWANJA KINAUZWA, MBWENI DARE SALAAM SIZE: 25m*25m dakika 5 kutoka Bagamoyo Road Miundombinu yote ipo na kumeshajengeka sana Bei 8.million (milioni 8 tu za kitanzania) Mawasiliano 0713096076
  20. teri22

    Dawasco rudisheni maji Mbweni JKT!

    Kwani what happened na Dawasco? Maji huku Mbweni JKT hamna tangu last week. Ukipiga Customer Care, hio lugha ni ishara tosha kuwa huduma mbovu. Huyu dada wa customer care kasema tu atamwita Engineer na wala hakupi ticket namba na ameshakata simu. Wakuu wa DAWASCO hebu tupieni jicho hizo huduma...
Back
Top Bottom