file

  1. tamsana

    Tangu jana nashindwa kupakua kwenye WhatsApp file aina ya word, pdf na excel

    Wataalam habari ya majukumu. When i want to download pdf, word and excel files i get the pop up message "WhatsApp download failed. Please try again later". Nimetafuta na kujaribu tutorial youtube na google bila mafanikio. Hatua ya mwisho kabisa nime reinstall app lakini bado changamoto iko pale...
  2. NetMaster

    Inachosha kutengeneza mafolder mengi kwa file moja, software gani nzuri ya kubandika tags kwenye mafaili ili kuondoa usumbufu wa kutengeneza folders

    Naweza kuwa na faili muziki, video au pdf ya mashairi mfano wimbo wa zali la mentali wa professor jay, hapa inabidi niuweke kwenye mafolder kama: Bongo flava, Tanzania 2000s Bongo Records Professor Jay Juma Nature Kuna software ambayo naweza kupachika tags kirahisi, yani nikilikuta faili...
  3. Nyuki Mdogo

    Mwanza: Natafuta external hard disk, 1 TB kwa ajili ya kuhamishia FILE zangu

    Habari za sasa wana jf? niko mwanza natafuta bidhaa hio kwa bei nzuri. nipo mwanza Igoma namba: 0744 033 555
  4. poposindege

    Kuhamisha file la YoWhatsApp kwenda simu nyingine

    Habari wakuu, Nimekuwa nikitumia YoWhatsApp kwa simu A na sasa nimepata simu mpya B. Nataka chat zangu zote zihamie simu B pindi nikiweka YoWhatsApp katika simu B. Nimepitia maelezo mitandaoni kila nikijaribu sifanikiwi. Naomba mwenye uelewa anisaidie kwa lugha rahisi na ya kueleweka hatua...
  5. adden

    Simba Panthera - Fact File

    Simba ndiyo mnyama mkubwa kuliko wote katika jamii ya paka. Simba hupatikana Afrika na Asia, idadi yao ikitizamiwa kufikia 23000(elfu 23), huku Tanzania ikiongoza kwa kuwa na idadi ya zaidi kuliko nchi zote. Simba wako katika hatua ya kutoweka (vulnurable). Ndiye mnyama pekee jamii ya paka...
  6. Simeone

    Nimesahau password ZIP FILE

    Habari wakuu, nimesahau password ya ZIP FILE nifanyaje ili niweze ku-extract? Natumia simu ya android.
  7. FOX21

    Phone repair (programs & ma file ya kutengeneza simu)

    Salamu zangu ziwafikie wote walio jaliwa afya njema na pole kwa ndugu zangu wanao pitia wakati mgumu kiafya hasa wenye homa kali na mafua. Niende kwenye mada nisiwachoshe Sana ndugu zangu. Nimeamua rasmi kufanya kazi ya ufundi simu hii ni kutokana na hali ya kiuchumi kuwa tete kwa upande...
  8. Superfly

    Ni android App zipi zinaweza kuedit PSD, EPS file format? kama adobe Photoshop na illustrator?

    Habari wakuu? Hivi Ni android App zipi zinaweza kuedit .psd, .eps file format?? kama adobe Photoshop na illustrator? Nahitaji msaada Wakuu NIMEKWAMA.
  9. RWANTANG

    The Berlin File

    Habari humu ndani. Wakuu ninaomba msaada wa kuipata movie hii ya The BERLIN FILE. Nimeitafuta bila mafanikio. Natanguliza shukran
  10. daraja la kigamboni

    Msaada Wadau:JINSI YA CSV FILE

    Jinsi gani naweza kutengeneza CSV file kwa kutumia simu ya Android? Karibuni kwa michango
  11. Z

    Swali chokonozi: Nikiomba file la matibabu ya hayati Magufuli naweza kupewa?

    Nauliza tu kama mtu akitaka kusoma file la matibabu ya Hayati JP Magufuli anaweza kupewa. lengo ni kufanya utafiti wa sababu ya vifo vya marais wa Tanzania and draw conclusion Research question: Could this death be prevented? Remember: Prevention is better than treatment!!
  12. FRANCIS DA DON

    Je, Ulimwengu ungekuwa ni ‘Computer File’, ungekuwa na GB ngapi?

    Kama ulimwengu ukibadilishwa na kuwa quantified kama computer data, je, ni taarifa kiasi gani zingehitajika kutengeneza programme ya kugenerate ulimwengu, in terms of GB?
  13. Ahmet

    Contact.vcf file ni nini?

    Habari za muda jamani, Samahani kwa usumbufu. kuna email imeingia kwenye simu yangu, ni mtu amenitumia file limeandikwa contact.vcf, nimejaribu kulifungua hilo file naambiwa finished importing vCard contact .vcf. Sasa je hili file lina kazi gani? Ni nani anahusika na kutuma mafile haya? Maana...
  14. SPYMATE

    Msaada kudecypt Aeur file

    Don't worry, you can return all your files! All your files like pictures, databases, documents and other important are encrypted with strongest encryption and unique key. The only method of recovering files is to purchase decrypt tool and unique key for you. This software will decrypt all your...
  15. KENZY

    Wenye draft la dalmax wekeni hapa file lake naona Google play wameshalifuta

    Wakuu msaada tafadhari nataka Tena niumize kichwa na hili gemu.
  16. King Elly

    FILE LA TIGO SMART KITOCHI

    FILE LA SMART KITOCHI FP 789L-T V02., FILE LINA GB 2 NJOO UCHANGIE BANDO TU NIKUTUMIE #0625796805
  17. N

    Hujuma: Nani aliyeiba file la Wawa na Onyango?

    Kila siku nasema yanga inaonewa sana kwa kweli, imagine mshambuliaji hatari aliyemzidi hata Mohamed Salah kwa magoals kwenye kwalifikesheni za afcon anaonekana kituko Bongo. Kumbuka mtambo huo wa magoli toka burundi uliposhuka Bongo ulipewa file la wawa na onyango ila habari za uhakika zinasema...
  18. R

    Nawezaje kuzuia file zenye extension fulani zisisaviwe kwenye folder fulan in window 10

    Habar wadau!!! Naomben mnisaidie hii issue nimekaa chin nimefikiria nikaona hii mbinu yaweza juna bora zaid ili kumanage mafile ktk pc sasa shida ni kuimplement . Shida yangu ni moja tu nataka niweke setting ambazo zitarestrict mafile yenye extension fulan yasiweze kusaviwa kwenye folder...
  19. Extrovert

    Mtu anayejua ku-file hesabu za mwaka kwenye Tally

    Wanangu kuna mchongo nimepewa wa kihasibu ila sasa mie sijui chochote kuhusu Tally, Entry ni chache about 15-17 kila mwaka. Kampuni ni ya supplies kwenye maofisi hasa mahospitali. Wana supply materials zaidi through local purchase na imports. Sasa inatakiwa kufile hesabu za miaka miwili 2019 na...
Back
Top Bottom