biashara barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    INAUZWA Mashine ya miwa mpya na ya kisasa zaidi

    Mashine ya kukamua na kuchuja juisi ya miwa inauzwa Ipo Mbeya Mjini popote inatumwa Bei yake: 1.6 M. 📞📞 & Whasap 0757687358 Whasap & call 0757687358 Specification zake 1.size 48*38*78 2 voltage 220/50hz 3. Three crushing rollers (Stainless) 4. Ipo na 3HP electric...
  2. LifeMission

    Sababu ya magenge ya chipsi kufa

    SWALI LA KWANZA UNAPENDA AU UMEWEKEZA TU.?? Leo nataka nitoe mfano mmoja kwa kutumia GENGE LA CHIPS tu. Hapa naongea na watu wanaopenda sio wanaowekeza ,ndio unawekeza je unapenda ???? kwanza unapenda ??? Usilaumu Usimamizi wakati hufurahii kukaa kwenye Banda la chips mda mwingi Kuna watu...
  3. Aliko Musa

    Jinsi Ya Kuwa Mwekezaji Kwenye Viwanja Na Majengo Mwenye Mafanikio Mkubwa Mwaka 2022

    Takwimu zinasikitisha sana linapokuja suala la wawekezaji wenye mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye viwanja na nyumba. Si zaidi ya asilimia kumi ya wawekezaji wote waliojenga mafanikio makubwa sana kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Sababu kuu ya wengi kushindwa kujenga utajiri...
  4. jingalao

    Serikali ije na muswada rasmi na katazo la biashara barabarani

    Kuondokana na adha ya ushindani wa kisiasa kupitia wamachinga Serikali ije na muswada rasmi Bungeni utakaokataza biashara kupangwa barabarani. Sheria hiyo iweke fine /adhabu kwa muuzaji na mnunuzi wa barabarani. SAD AND PAIN BUT TRUTH! KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  5. M

    Tusubiri lori liparamie wanaofanya biashara barabarani ndio tuchukue hatua?

    Naandika kwa tahadhari tu. Toka mwaka 2016 kasi ya watu kujenga vibanda, mabanda na kujazana kandokando ya barabara kufanya biashara na shughuli mbalimbali imekua ikiongezeka kila kukicha na kwa kasi kubwa sana.Vijana wanaitana tu toka vijijini kuja mjini kuanzisha misheni town kwa kuuza...
  6. Shoctopus

    Hoja ni msongamano au aina ya msongamano?

    Asalam-aleikoum Wana-JF! Swali hili linahusu tangazo la serikali kuhusu tangazo la Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kupiga marufuku biashara barabarani ambazo ni kinyume na kanuni za town planning. Tangazo la serikali linajaribu 'kufafanua' amri ya Mkurugenzi kwa wahusika ambao inaonekana...
Back
Top Bottom