Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi huwaletea makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo pia huchapishwa kwenye magazeti mbalimbali ya ndani nchini Tanzania.
Makala ya leo, ni kumpongeza na kumshukuru Rais Magufuli kwa kufundisha somo la "Managing Diversity" kwa wateule...
Ninapenda tumia muda huu kukushukuru Mzee wangu Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya watu watanzania kwa safari ndefu ya miaka mitano kutuongoza wa Tanzania hasa ktk kipindi kigumu chakubadilisha fikra za watanzania nakutufanya kufanya kazi kwa bidii na kutopenda kuwa omba omba. Hii haikuwa Rahisi na...
Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole amesema kwamba Chama Cha Mapinduzi kimezindua kituo maalum cha wananchi kutoa taarifa za Uchaguzi kimaadili ili kuwabaini wala na watoa Rushwa, kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020.
Jana katika pita pita zangu mitandaoni nikakutana na lile sakata la yule Bi. Mkubwa aliechezea vitasa mjini Moshi baada ya kuhusishwa na fumanizi flani.
Katika hali ambayo iliamsha hisia zangu zaidi ni mahojiano ambayo yalifanyika kati yake na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Anna Mghwira...
Watanzania tunayobahati kwa Mungu kuruhusu Magufuli kuwa Raisi wetu. Nakumbuka kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 katika nyumba za ibada kulikuwa na maombi maalum yaliyo kuwa yakifanyika kwa ajili ya kumpata rais ajae wa Tanzania baada ya uongozi wa awamu ya nne. Nipende kusema kuwa sala na maombi...
Hii vita ya Covid19 ukiikurupukia bila kujua tunapelekwa wapi unaweza usimwelewe Rais wetu. Je? Wajua nini kilikuwa kinaendelea kwa nchi zilizo chini ya lockdown? Tafadhali pitia hizi video kwa umakini
1;
2:
3:
Wanabodi,
Hili ni bandiko la kuizindua serikali na Jamii, kuikoa sekta ya media, katika hii vita ya janga la Corona, japo sisi waandishi wa habari ni wadau muhimu sana katika vita hii kama ilivyo kwa madakari, manesi na wauguzi, lakini kiukweli sisi waandishi wa habari, haswa ma freelances, na...
Ni kwamba kutakuwa na barua zinazodaiwa za chadema zinazoonyesha uteuzi wa wagombea, na wagombea halisi kukataliwa kuchukua fomu. Mfano: Chadema inampitisha John Mnyika kugombea kibamba, anaenda kwa DED kuchukua fomu, anaambiwa kuna mwanachama alikuja na barua ya uteuzi ya chama anaitwa Asha...
Msikilize hoja yake hapo chini.
Wabunge wote wanastahili pongezi kwa kutomkatiza Mh.Kitwanga kwa "taarifa" wakati akichangia.
Sina uhakika kama mbunge wa upinzani angeweza kutoa maoni kama ya Mh.Kitwanga bila kusumbuliwa na kubezwa na wabunge wa CCM.
Wamesema kweli wahenga
Baniani mbaya kiatu chake dawa na kiingiacho mjini si haramu
Corona sio siri imeleta majanga hakuna kinachofanyika kwa ufanisi, sio biashara siasa wala burudani kila mtu analia kimya kimya
Pia corona imetupa funzo darasa la bure lenye maumivu ndani yake ambalo bila...
Wakuu habari zenu,
Naomba nitoe shukrani zangu za dhati kwa uongozi mzima wa JamiiForums maana nimekuwa nikifaidika kila mwezi kwa kupata kipato cha kununulia vocha mjini.
Niliweka post humu JF inayohusu kupeleka watu kwenye machimbo mbalimbali original ya bidhaa kwa bei ya jumla nikasema...
Kitendo Cha bongo star search kumualika rayvanny
Kama guest judge kimewafurahisha wengi nikiwemo mimi.Pamoja kwamba Rayvanny ni msanii mkubwa na mwenyekufanya vizuri lakini rayvanny ana kipaji kingine Cha uchekeshaji tangu bongo star search watangaze salama hatakuwemo msimu huu upande wa...
Frederick Sumaye ameita waandishi wa habari leo Jumatano Desemba 4, 2019.
Sumaye ameitisha mkutano huo siku chache baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani.
Licha ya kuwa mgombea pekee, alipigiwa kura 48 za hapana kati ya kura 76.
Kulingana na taratibu za chama hicho...
Kuna mwengi ambayo miji miengine ya Kusini na kati ya Somalia yanaweza yakajifunza kutokana na maendele ya mji mkuu wa Kismayu ambao ndo mji wa Mkubwa Somalia baada ya Mogadishu. Wakati miji miengine ya Somalia ikiwemo Mogadishu inakumbwa na mashambulizi makubwa mara kwa mara, Kwa miaka saba...
Kama nakosea Mungu anisamehe. Nachoamini huyu Mkapa ndio alimpora Maalim Seif urais wa Zanzibar.
Pili huyu ndio mwasisi wa ubavu ubavu na ubabe inakuwaje leo katoka madarakani na anaonekana kachoka ndio anatubu.
Kwanini asiwambie aliowaweka madarakani watende haki? Kwanini alazimishe...
Alinikuta sina kazi nipo nipo tu nikamtongoza akanikubalia akaniambia ananipenda hivyo hivyo,mapenzi yakaanza akaenda chuo akanipatia kiasi cha pesa kutoka kwenye boom lake.
Nikamwambia poa nipe miezi sita faida itaanza kuonekana kweli bhana Allah akajalia mambo yakaanza kuwa mazuri nikazidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.