asante

  1. figganigga

    Asante BAVICHA Mkoa wa Tanga kwa Kuwamaliza Watu Wasiojulikana

    Salaam Wakuu, Kama mnakumbuka, Baraza la Taifa vijana la CHADEMA Mkoa wa Tanga, Walitoa siku nne Watu wasiofahamika Waliompiga risasi Lissu Wajitokeze. Na Wasipojitokeza Watasoma Albadir. Baada ya siku nne kuisha Wasiojulikana hawakujitangaza wakakaa kimya. Hivyo Albadir baada ya siku nne...
  2. C

    Asante Rais Samia kwa miradi hii ya kimkakati Wilaya ya Kahama

    Serikali ya Rais Samia imedhamiria kuifanya Kahama kuwa kitovu cha biashara ukanda wa maziwa makuu, hii inadhihirishwa na miradi mikubwa ya kimkakati alioamua kuiwekeza Kahama. Nikel refinary, hii itajengwa eneo la Buzwagi itasaidia kuchenjua makinikia ya migodi mbalimbali kutoka ndani na nje...
  3. M

    Asanteni Kampuni ya Pepsi (SBC) kwa hii bidhaa yenu mpya sokoni iitwayo Supa Comando

    Ni Kinywaji ambacho hakiishii tu kuwa Kitamu Ulimini na Kooni bali pia huchoki hata Kukinunua na Kunywa mara kwa mara. Hakika Kinywaji kipya cha SUPA COMANDO kinachotengenezwa na Kampuni ya Pepsi (SBC) ndiyo Habari ya Mjini kwa sasa. Na walipomaliza kabisa Mchezo hawajaishia tu Kututengenezea...
  4. Stroke

    Hivi kwanini nyie wake zetu hamsemi Asante

    Daah. Yaani hata ufanye nini huwa wanakuwa kama ni haki yao vile. Sura kaavu.
  5. tpaul

    Asante Rais Samia kwa kuruhusu usawa kwenye elimu

    Habari wakuu! Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Leo nimeona waraka mzuri sana kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (MoEVT) unaoruhusu wanafunzi wenye imani ya Rastafali kuruhusiwa kuvaa kofia kufunika nywele zao kwani hiki kimekuwa kilio cha muda...
  6. Pascal Mayalla

    Asante Rais kuruhusu mikutano, tunakuomba uruhusu haki nyingine ambayo imeporwa ya Watanzania wote kuchagua na kuchaguliwa

    Wanabodi, Hii ni makala ya Leo kwenye Nipashe Jumapili ya June 8, mwaka 2021, katika safu hii, niliandika makala ya kumpongeza Rais Samia, kwa kuwasisitiza watendaji wa serikali kutenda haki, kufuatia baadhi ya haki zilizotolewa na katiba yetu na kugeuzwa ni hisani, Asante Rais Samia kwa...
  7. comte

    Rais Samia katukumbusha kuwa Katiba Mpya ni dhana tu na mkachakato unapaswa kuwahusisha Watanzania wote

    Hivi tumemsikia Mama na kumwelewa kuhusu Katiba Mpya? Neno "KATIBA MPYA" Ni dhana tu, ni neno la kudanganyia watu kujipatia POLITICAL POPULARITY, hakuna jipya tunatakiwa kubadilika kulingana na wakati na ndiyo nasema; Mimi nimemsoma mama mambo matatu (Na ngoja niandike kwa herufi kubwa...
  8. Bundakwetu

    Asante 2022, nilipata mil. 4.5 kimasihara

    Nikiwa nimepitia misukosuko mingi tangu Januari ya mwaka 2022 Nitaikumbuka zaidi siku ya Alhamis tar 29 majira ya saa saba za mchana, nikiwa nimekaa kijiweni na jamaa zangu huku nikiwa sina ramani ya kazi na sikuwa hata na uhakika wa mlo wa mchana kwa siku hiyo iliingia sms ya muamala kwenye...
  9. Billal Saadat

    Asante Rais Samia kwa mwaka 2022

    ASANTE SAMIA 2022. Kwa kipindi cha miaka miwili ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu ikiwa hii ni term yake ya pili, nichukue fursa hii kumpongeza kwa haya aliyoyakamilisha ndani ya Mwaka huu wa 2022. Ni wazi ana Maono makubwa katika kutuletea maendeleo ndani ya nchi yetu tuendelee kumuunga mkono...
  10. DR HAYA LAND

    Daladala bye bye hii namba C inanitosha. Asante Sana Allah

    Sasa daladala bye bye Kaa vizuri na Mungu Muda huu nipo hapa Banana Big John Katika Sheli ya Petro Africa Vijana tuishi Katika Mungu Mimi hii namba C inanitosha
  11. Nigrastratatract nerve

    Ile nchi ya kusadikika itakuwa imeuza vya kutosha majenereta kutokana na zoezi linavyoendeshwa, wameamua kutoa kadogo kama asante

    Nchi ya kusadikika imesikika ikitoa msaada kwa nchi fulani hivi ya kwenye uso wa Dunia ukizingatia hakuna cha bure lakini yote kwa yote watakuwa wanenufaika na yanayoendelea katika nchi ya kisiwa cha wami ambayo iko pande hivi za Dunia Wagawiaji wamenufaika na mikakati yao ya kuiweka Ile nchi...
  12. Kiboko ya Jiwe

    Asante Serikali, soda imepanda kwa 40%

    Soda ambayo kipindi kifupi kilichopita tuliuziwa sh. 500 sasa ni sh. 700. Kwa hesabu za harakahara hapa kuna ongezeko la sh. 200 ambayo ni asilimia 40% ya sh. 500. Ni kweli production costs zimeongezeka kwa 40% au ni mwanya tu wajanja wanautumia kutengeneza fedha watoto wao wapelekwe chekechea...
  13. figganigga

    Rais Samia, Mteue ACP Theopista Mallya awe Mkuu wa Trafiki Nchini, asante kwa kumteua Kaganda

    Salaam Wakuu, Rais Samia ameonesha Ushujaa ukomavu mkubwa na Ushujaa wa nguvu, kumteua Suzan Kaganda kuwa Kamishna wa Utawala na Rasilimali watu wa Jeshi la Polisi. Kutokana na ajali kuongezeka barabarani, ni muda mwafaka rais kumchukua Mkuu wa Polisi Mkoa wa Rukwa Kamishna Msaidizi wa Polisi...
  14. V

    Nakukumbuka, asante sana

    Ni mwaka sasa unakaribia kuisha tangu uamue kuniandikia ujumbe wa kuhitaji talaka baada ya ndoa yetu kudumu kwa miaka miwili na miezi minane tu. Bado nakukumbuka sana mpenzi. Sichoki kukumbuka nyakati nzuri ambazo tulikaa pamoja. I still remember that glorious morning in the church, in that...
  15. S

    CCM wanaipenda sana hii kauli ambayo Rais Hichilema ameipinga

    Mara kibao CCM na wapiga mapambi wamekuwa wakisema "Rais anaangushwa na wateule/wasaidizi wake". Hii kauli Hichilema anaipinga vikali. Anasema uzwazwa wa wateule/wasidizi ndiyo unaakisi uwezo wa aliyewateua.
  16. M

    Asante kwa aliyetuletea Fiston Mayele, Yanga tulikosa mshambuliaji wa aina yake kwa muda mrefu kidogo

    Habari wanamichezo, Juzi niliangalia goli alilofunga Mayele, kasi yake alvyopokea mpira, utulivu wake, akili yake ya kufunga, control yake hakika niseme asante Engineer Hersi kwa kutuletea huyu mtu. Wanayanga tulimkosa huyu mtu kwa muda mrefu sana tangu Yanga ya Donald Ngoma nadhani hatujapata...
  17. R

    Tumetoka pagumu kweye uvuli wa mauti, asante Mungu!

    Tumetoka kwenye tanuru la mauti. Asante bwana Mungu kwa wema wako. Msikilize "Mungu" wa Dunia wa 2015- 2021
  18. Suzy Elias

    Asante Serikali kwa kuliona tatizo pale TFF

    Nilisema hapa bila utashi wa kisiasa soka letu haliwezi kusonga mbele kwa kuendelea kuongozwa na watu wa visasi kama kina Karia. Heko sasa Serikali mmeanza kumtafuta polepole mchawi wa soka letu. NB: Karia dalili ya mvua ni mawingu-jiongeze.
  19. K

    Asante baba, RIP Magufuli

    Naanza kwa kusema mimi ni kijana mdogo pro. CCM chama Mama Tanzania, wengine wanavuma kwa msimu kwa kupokezana wanaondoka. Kitaasisi nakiona chama changu kikitawala miaka mia kadhaa mbele. Acha tu niseme ukweli baada ya kusoma sana elimu dunia hasa ya Mashariki hususani China na Japan...
  20. J

    Asante Rais Samia kwa Sensa ya Kihistoria Tanzania

    Asante Samia kwa Sensa ya Kihistoria Tanzania Na Mwandishi Maalum. Twende Pamoja. Dar es salaam Hatimaye siku iliyokuwa ikingojewa sana na kila Mtanzania, iliwadia, ya tarehe 23 Agosti, 2022, na zoezi adhimu la Sensa likaanza nchini Tanzania. Zoezi hilo limejiri siku 170 tangu Mhe Rais Samia...
Back
Top Bottom