Search results

  1. R

    Shocking: Video inayomuonesha P Didy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

    Marekani watu weusi wamepaharibu vibaya SEMA wazungu wanatulia tu Ila Kuna muda wazungu watachoka Itakua serious business. Kuna beach moja USA yangu 2007 black walikua wakiingia ilikua ni vurugu tu wanaleta wazungu wanasema isiwe tabu tunawachia na kweli wamewachia iyo beach zaiv ni niga tu...
  2. R

    Korea Kusini iliyoendelea kila nyanja watu wake hawazaliani sana lakini Afrika Maskini watu wanazaliana mno

    Nina mtoto wa 2yrs namnywesha pure phsycs mixer mathematics
  3. R

    Mbona hakuna magari ya rangi ya kijani au njano umewahi kuona Harrier ya kijani?

    Umewahi kuona hurrier ya kijani au njano. Au umewahi kuona Land cruiser V8 new modeli ya njano. Kwa kifupi Tanzania sijawahi kuona gari ndogo za kijani.na njano
  4. R

    Korea Kusini iliyoendelea kila nyanja watu wake hawazaliani sana lakini Afrika Maskini watu wanazaliana mno

    Moja ya inch Bora kabsa kichwani haswaa kwenye sayansi na hesabu ni south Korea. . Sadly ni kwamba wanaziliana kwa kiwango kidogo sana hii inapelekea kukosa watu bora kwenye gunduzi mbalimbali hasa za kisayansi Science mathematics na innovations ziko kwenye risky sana kupoteza hawa jamaa...
  5. R

    Ni ubinafsi kuoa mke zaidi ya mmoja kwasababu kuna wanaume watakosa kwa upungufu wa wanawake

    Mzee tumia logics and facts For Tanzania Kuna wanaume 30m na wanawake 31.7m simply hio ndo ratio. Chukulia kila mwanaume aoe wanawake wawili kwa miaka then what Will happen next. Simply ni shortage of female finally shortage of marriage
  6. R

    Binti wa miaka 17 aandika historia baada ya kuhitimu ngazi ya Uzamivu (PhD)

    SEMA hiki chuma haswaa Ila Sura ya miaka 36
  7. R

    Kwenye ndege mnavuta oxygen kutoka wapi wakati ndege inaruka layer ya stratosphere kusiko na hewa

    Ndege za abiria haziruki layer stratosphere Manake ndege zote za abiria zinaruka chini ya layer ya stratosphere. Ambapo Kuna oxygen 21% Ndege inavuta hewa ya oxygen kutoka nje inaingia kwenye Kebin abiria wanavuta kama kawaida
  8. R

    Tetesi: Jiji la Dar kutanuliwa

    Not really naibobi ni jiji dogo sana kieneo
  9. R

    Pamoja na mvua kukata siku chache, Goba maji yanatoka kwa mgao, mnakaa wiki maji hamna

    Ni vile tunaogopa changes watanzania Ila ccm ilitakiwa ipumzike
  10. R

    Ni ubinafsi kuoa mke zaidi ya mmoja kwasababu kuna wanaume watakosa kwa upungufu wa wanawake

    Rat Hampo wengi tatizo hatuna udadisi wa kufatilia mambo labda nitumie namba rahisi kukuelekeze kwakila wanaume 100 Kuna wanawake 102 Chek iyo ratio
  11. R

    Ni ubinafsi kuoa mke zaidi ya mmoja kwasababu kuna wanaume watakosa kwa upungufu wa wanawake

    Sawà pita shu Le Kwa iyo HADI umri huo hujui population ya DUNIA, hujui ratio ya wanawake na wanaume
  12. R

    Ni ubinafsi kuoa mke zaidi ya mmoja kwasababu kuna wanaume watakosa kwa upungufu wa wanawake

    Nmesema endapo kila mwanaume atasema afate ndoa za mitara polygamy reflection ni wanaume kukosa wanawake nimeweka data kila kitu kipo wazi
  13. R

    Ni ubinafsi kuoa mke zaidi ya mmoja kwasababu kuna wanaume watakosa kwa upungufu wa wanawake

    K Kwenye kila padri Kuna sista. Shoga na msagaji. Wherever you say ki idadi lazima usawa uwepo
  14. R

    Ni ubinafsi kuoa mke zaidi ya mmoja kwasababu kuna wanaume watakosa kwa upungufu wa wanawake

    Mzee cheza na statistics nilizoweka hapo na reality DUNIA Huko watu wanacheza na namba wanalete hitimizo sio maneno matupu
  15. R

    Epuka kusambaza maudhui yasiyo na maadili

    Mama ongea na rais tupate ajira vinginevyo chadema itawangoa madarakani
Back
Top Bottom