Ni ubinafsi kuoa mke zaidi ya mmoja kwasababu kuna wanaume watakosa kwa upungufu wa wanawake

Acha wivu...
Baki na Utaratibu unaouamin wewe.
Nioneshe mwanaume 1 aliyetaka kuoa akakosa mke wa kuoa.
Nangojea ushuhuda
 
K
Kuna

1. Mapadri
2. Mashoga
3. Waliofungea jela
4. Wanajeshi Wanaokufa vitani
5. Ma monk wa ki budha
6. Ma jain
7. Baadhi ya madhehebu ya kihindu
8. Makhanithi
9. KATAA NDOA

kwa hayo makundi tu hapo tu apata nyongeza ya wanawake wengi mno ambao hawana wanaume wa kuwaoa SASA NIKIPIGA WENGI hauoni kwamba nakava nafasi za hayo makundi hapo juu?

Na kwanini tupangiane maisha?
Kwenye kila padri Kuna sista.
Shoga na msagaji. Wherever you say ki idadi lazima usawa uwepo
 
Ni kama Mungu ameumba idadi sawà kati ya wanaume na wanawake
Kwa kuzingatia idadi ya wanawake na wanaume Tanzania na hata duniani kwa ujumla
Statistics zinaonesha wanaume ni 50.4% na wanawake ni 49.6% world wide

Roughly unaweza kusema idadi ya wanawake na wanaume ni sawà japo Kuna deviation kidogo kwenye idadi.

Ukienda jela wanaume ni wengi so hii inazid kutengeneza balance kwenye idadi

Manake ni kwamba kwa kila mwanaume mmoja anaingia mwanamke mmoja pia

Simply ukioa wake wawili umekinzana na nature reflection yake Kuna mwanaume sehemu atakosa MKE directly

Possibility ya huyo Mwanaume kua gasho ni kubwa.

Ni vile tu thinking capacity ya majority of Africa iko chini Ila polygamy ni ubinafsi wa kijiangalia wewe pasi kuangalia maslahi ya watu wengine.na future

Imagine mwanaume anaoa wake 4 anajitapa chukulia kila mwanaume angefanya hivyo then what Will happen next.

Tumia logics and facts kama Solomon alioa wake 1000 hii ilitokea kwa sababu ya namba za wanawake zilikua kubwa japo biblia hajia thibitisha
Ma single mom yote hayo mitaani leo unakuja na hoja mufilisi namna hii kweli!

Pangeliwa na ulinganifu wa namna hiyo, pangekuwa na uhaba wa wanawake unaoonekana.

Hata hivyo nadhani kuna kampeni ya makusudi ya upotoshaji wa takwimu wa makusudi na sielewi una lengo gani.

Embu fanya utafiti wako binafsi kupitia cliniki wanakojifungulia kina mama, uone ni kwa jinsi gani siku zote grafu ya watoto wa kike wanaozaliwa kila siku iko juu, haijawahi kuzidiwa na watoto wa kiume.
 
Acha wivu...
Baki na Utaratibu unaouamin wewe.
Nioneshe mwanaume 1 aliyetaka kuoa akakosa mke wa kuoa.
Nangojea ushuh

Acha wivu...
Baki na Utaratibu unaouamin wewe.
Nioneshe mwanaume 1 aliyetaka kuoa akakosa mke wa kuoa.
Nangojea ushuhuda
Nmesema endapo kila mwanaume atasema afate ndoa za mitara polygamy reflection ni wanaume kukosa wanawake nimeweka data kila kitu kipo wazi
 
Mkuu katika hili sina hakika kama umetudanganya, zaidi naamin umejidanganya ww mwenyewe
Kwanza niulize hizo takwimu umezitoa wapi?
Labda nikushauri jiridhishe na hizo research kabla hujapublish mada.
If you're a Christian nenda kasome kitabu cha Nabii Isaya nadhan utapata kujifunza kitu hapo
 
Sawà pita shu
Ma single mom yote hayo mitaani leo unakuja na hoja mufilisi namna hii kweli!

Pangeliwa na ulinganifu wa namna hiyo, pangekuwa na uhaba wa wanawake unaoonekana.

Hata hivyo nadhani kuna kampeni ya makusudi ya upotoshaji wa takwimu wa makusudi na sielewi una lengo gani.

Embu fanya utafiti wako binafsi kupitia cliniki wanakojifungulia kina mama, uone ni kwa jinsi gani siku zote grafu ya watoto wa kike wanaozaliwa kila siku iko juu, haijawahi kuzidiwa na watoto wa kiume.
Le

Nioneshe mwanaume anayelalamika kuwa anazeeka amekosa mke

View attachment 2989300

Mkuu katika hili sina hakika kama umetudanganya, zaidi naamin umejidanganya ww mwenyewe
Kwanza niulize hizo takwimu umezitoa wapi?
Labda nikushauri jiridhishe na hizo research kabla hujapublish mada.
If you're a Christian nenda kasome kitabu cha Nabii Isaya nadhan utapata kujifunza kitu hapo
Kwa iyo HADI umri huo hujui population ya DUNIA,
hujui ratio ya wanawake na wanaume
 
Sawà pita shu

Le

Kwa iyo HADI umri huo hujui population ya DUNIA,
hujui ratio ya wanawake na wanaume
Sijui. Mimi ninaelewa takwimu ya matokeo ya sensa ya Taifa ya 2022. Hiyo ya dunia unieleweshe wewe unayeijua.

Ujue mpaka unaingia kaburini hauwezi kuelewa kila jambo, kwa hiyo umbabu wangu siyo kigezo cha kujua kila kitu.
 
Kw
Ni kama Mungu ameumba idadi sawà kati ya wanaume na wanawake. Kwa kuzingatia idadi ya wanawake na wanaume Tanzania na hata duniani kwa ujumla. Statistics zinaonesha wanaume ni 50.4% na wanawake ni 49.6% world wide.

Roughly unaweza kusema idadi ya wanawake na wanaume ni sawà japo Kuna deviation kidogo kwenye idadi.

Ukienda jela wanaume ni wengi, so hii inazid kutengeneza balance kwenye idadi. Manake ni kwamba kwa kila mwanaume mmoja anaingia mwanamke mmoja pia.

Simply ukioa wake wawili umekinzana na nature reflection yake Kuna mwanaume sehemu atakosa MKE directly. Possibility ya huyo Mwanaume kua gasho ni kubwa.

Ni vile tu thinking capacity ya majority of Africa iko chini Ila polygamy ni ubinafsi wa kijiangalia wewe pasi kuangalia maslahi ya watu wengine na future.

Imagine mwanaume anaoa wake 4 anajitapa chukulia kila mwanaume angefanya hivyo, then what Will happen next.

Tumia logics and facts kama Solomon alioa wake 1000 hii ilitokea kwa sababu ya namba za wanawake zilikua kubwa japo biblia hajia thibitisha.
Kweli kabisa.
 
Rat
Sijui. Mimi ninaelewa takwimu ya matokeo ya sensa ya Taifa ya 2022. Hiyo ya dunia unieleweshe wewe unayeijua.

Ujue mpaka unaingia kaburini hauwezi kuelewa kila jambo, kwa hiyo umbabu wangu siyo kigezo cha kujua kila kit

Tulivyo wengi sasa
Hampo wengi tatizo hatuna udadisi wa kufatilia mambo labda nitumie namba rahisi kukuelekeze kwakila wanaume 100 Kuna wanawake 102
Chek iyo ratio
 
Una kiingereza kibovu sana, hebu chutama
Me? I knew what i was spoken. And you didnt understand how to spoke swahili, sio HEBU chutama, ni embu chutama Unakosoa kingereza kwa kiswahili huku hukijui?
 
Mzee English ya taifa gani hii ambayo kuna tense ya Hitted?
Boss, I understand na nakuelewa unavyosema kuwa hitted does not have a specific definition in standard English, Sikuzungumza standard English, nilikuwa naongea kiswahili nikachomeka na hilo neno hitted nikimaanisha kugongwa kwa mwanamke, yaani kuingiliwa kimwili, hata neno hit na synonym zake sio tafsiri ya nilichomaanisha na najua ulinielewa. Shukraan.
 
Back
Top Bottom