Search results

  1. L

    Kwa kweli hili la boom hatukumtuma kutusemea!

    Salaam wandugu, Mheshimiwa ameongea kwa uchungu kwamba akipata nafasi ya kufanya maamuzi wanafunzi hawatapata boom kwani wanalitumia vibaya na hawasomi. Anasema ikibidi sana watoto hawa wa masikini walipiwe ada tu alafu wazazi(sisi tulomchagua) tulipe garama zote zingine. Nikisema zote...
  2. L

    Binadamu tunalazimisha kuwa na mwenzi mmoja?

    Salaam wandugu, Kumekuwa na malalamiko mengi sana yatokanayo na mambo ya mahusiano,uchumba na ndoa. Malalamiko haya mara nyingi yamesababishwa na kitu kinachoitwa UAMINIFU. Mwanaume anataka mke awe wakwake peke yake na mwanamke anataka mume awe wakwake peke yake. Sasa hayo yameshindikans...
  3. L

    Msaada HESLB

    Salaam, Mimi ni mnufaika wa mkopo wa masomo kwa asilimia 50%. Nimekuta kwenye mfumo wameniandikia deni la 575,690,250.00. Nimeshituka kwani nasoma miaka mi3 masomo ya ya ualimu na kwasasa nipo mwaka wa2. NB: Mimi ni mwajiriwa
Back
Top Bottom