Search results

  1. Fazzah5x

    Ninahitaji mke

    Habari za leo wana jf mimi ni kijana wa miaka 26 nimejitafuta kwa muda na kwa sasa nashukuru mungu niko tayari kwa ajili ya ndoa,na kifamilia na kimatunzo pia hivyo basi naomba kufahamu kama kuna binti naweza pata humu kwa ajili tufanye maandalizi ya ndoa bila kupotezeana muda SIFA ZA BINTI...
  2. Fazzah5x

    Rushwa kwenye Serikali za Mitaa

    Wakuu hivi ni sheria gani inayoruhusu mtendaji wa mtaa kudai sh.10,000 kwa saia kwaajili ya kugonga muhuri?
  3. Fazzah5x

    Naombeni mnisaidie jina la msanii au wimbo wa zamani wa mdada uliokuwa na maneno kama haya

    Wakuu naombeni mnisaidie jina la msanii au wimbo ule wa zamani wa mdada wa SOUTH AFRIKA sikumbuk vizuri maneno yake ila kibongo bongo tulikuwa tunaimba pale kwenye kiitikio "tamu sana,aaaii enisi eeh"
  4. Fazzah5x

    Nahisi nina gundu maana sipati mpenzi

    Habari wana JF Mimi ni kijana wa miaka 24 nashukuru Mungu nilizaliwa nikiwa mzima wa afya na akili na viungo pia lakini kuna jambo ambalo limekuwa likinitesa sana katika maisha yangu mpaka kufikia hatua ya kuishi maisha kama zombi/vempire kiufupi huwezi amini mpaka sasa sijafanikiwa kupata...
  5. Fazzah5x

    Je, kuna uhusiano wa kuhama kozi au chuo na kupata mkopo?

    Ndugu zanguni hebu nisaidieni Kivi kuna uhusiano kati ya kuhama kozi au chuo na upataji wa mkopo wa elimu?
Back
Top Bottom