Hii bei inakuwepo toka kitambo, ila inabadilika kutokana na maeneo husika... Mimi nilitozwa 2000/= kwa muhuri tu kwenye barua yangu mwaka 2020. Labda sasa hivi imeongezekaWakuu hivi ni sheria gani inayoruhusu mtendaji wa mtaa kudai sh.10,000 kwa saia kwaajili ya kugonga muhuri?
Ikoovilevilee huyu inaonekana aligonaa hata 2000Hii bei inakuwepo toka kitambo, ila inabadilika kutokana na maeneo husika... Mimi nilitozwa 2000/= kwa muhuri tu kwenye barua yangu mwaka 2020. Labda sasa hivi imeongezeka
mkuu mimi sina hela na nimeenda kwa ajili ndo kwanza natafuta hela sasa nitampa hela gani rushwa uchwaraNi marupurupu hayo, wengine waanaambiwa elfu5, wengine buku3 inategemea unavokuja ofisini... ila sio mbaya waache wapate hela nao hawakusoma buree
Kawaulize ukiwa unahitaji mhuri watakujibu.......kwenye sheria hayo malipo yako wapi?
Mi sina hata 2000 inakuwaje? na ndo nilikuwa naomba kazi sehem wanahtaji utambulisho wa mtendajiilee unachangiaaa zklekaratasi zaoo kuna wengjne wanakuja kuomba barua hawana hela unasaidia kuwachangia na kizuri kula na nduguyakoo unahisi atakula ile
mihuri??
HAPO UNATUHUSIWA KUWAOMBA NA SHIDA NAOMBA MSAAADA SIKO VIZURI WANAKUSAIDIA WENGI TU..YAAN HIZO BK 2 N KUSAIDIA WASIOO NA UWEZOOOOMi sina hata 2000 inakuwaje? na ndo nilikuwa naomba kazi sehem wanahtaji utambulisho wa mtendaji
Mimi sikubaliani na rushwa ila ukitaka hela lazima uwe na hela, Mungu akujalie upate hela nyingi ili siku ingine uone hiyo elfu10 kuwapa watu wa muhuri ni jambo la kawaidamkuu mimi sina hela na nimeenda kwa ajili ndo kwanza natafuta hela sasa nitampa hela gani rushwa uchwara
nisaidie basi hiyo hata nusu yake niwapelekee maana hapa niko nahangaika kupata hko kibarua mkuu tangu asubuhi sijala alaf ana hata huruma kweliMimi sikubaliani na rushwa ila ukitaka hela lazima uwe na hela, Mungu akujalie upate hela nyingi ili siku ingine uone hiyo elfu10 kuwapa watu wa muhuri ni jambo la kawaida