Search results

  1. Mr George Francis

    Kama ungekuwa wewe ungefanya nini?

    "Kwa muda mrefu mke alikuwa akidhani kuwa mumewe anamsaliti kwa kutoka kimapenzi na (house girl/ maid) mfanyanyakazi wao wa kazi za ndani. Hivyo, akapanga kufanya mtego ili aweze kufanya fumanizi. Sasa alichokifanya siku hiyo akamrudisha house girl wao kijijini, arafu yeye akaenda kulala...
  2. Mr George Francis

    Muhimu kabla ya vyote ijue size ya mpenzi wako

    Dear men, Unapokutana na mwanamke na ukatokea kumpenda, tenga muda wa kumfahamu vizuri ujue size yake. Muhimu kufahamu vitu anavyopenda na gharama zake. Mfano: mavazi, mitindo ya nywele na mambo mengine kadha wa kadha. Muhimu sana kuwa makini na mazungumzo yake. Lugha yake kama ni ya staha au...
  3. Mr George Francis

    Mwanamke mwenye faida na mwanamke mzigo katika mahusiano au ndoa

    Mahusiano mazuri au ndoa imara inategemea na aina ya mtu uliyenae katika mahusiano au ndoa husika. Naomba niwape siri moja ambayo pengine dada yangu umekuwa ukiichukulia kawaida na kuendelea kuwaita wanaume wote mbwa kumbe kosa ni lako mwenyewe. Na kaka yangu pengine na wewe umeendelea...
  4. Mr George Francis

    Mgawanyo wa mali za familia baada ya mume na mke kuachana [sehemu ya 2]

    MGAWANYO WA MALI ZA FAMILIA BAADA YA MUME NA MKE KUACHANA. SEHEMU YA 2 Mgawanyo wa mali za familia baada ya mume na mke kuachana unapaswa ufanyike kwa kuzingatia haki, ili kila mmoja apate kile anachostahili bila upendeleo. Katika kupima mchango au jitihada za mume au mke juu ya upatikanaji...
  5. Mr George Francis

    Mgawanyo wa mali za (wanandoa) familia

    MGAWANYO WA MALI ZA FAMILIA BAADA YA MUME NA MKE KUACHANA. SEHEMU YA 1 Kumekuwa na maswali mengi kuhusu mgawanyo wa mali za familia kwa wanandoa baada ya kuachana. Makala hii inajibu maswali yako unayojiuliza kila siku bila kupata majibu sahihi. Hii inahusu watu wote, wale waliofunga ndoa...
  6. Mr George Francis

    Siku 470 nikiwa na hofu ya kuambukizwa virusi vya Ukimwi

    SIKU 470 NIKIWA NA HOFU YA KUAMBUKIZWA VIRUSI VYA UKIMWI. [Sehemu Ya 1 ] Tarehe 1 mwezi wa 12 ya kila huwa tunaadhimisha siku ya UKIMWI duniani. Katika kutambua umuhimu wa siku hii kwa jamii na taifa letu kwa ujumla, naomba tupate funzo kupitia historia yangu na jinsi nilivyoishi siku 470...
  7. Mr George Francis

    Neno la MUNGU linasema "MSINYIMANE"

    1 WAKORINTHO 7:3-5 "Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake. Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe. Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena...
  8. Mr George Francis

    Money is no more an issue, know how to handle your woman

    MONEY IS NO MORE AN ISSUE, KNOW HOW TO HANDLE YOUR WOMAN. Leo sikwenda kazini, nikaona nipitepite mtaani kwetu nipige story na marafiki. Nilifika kijiwe kimoja cha bodaboda nikakuta ubishani mkubwa sana. Mjadala wao mkubwa ulikuwa ni kwanini vijana wengi hawataki kuoa. Sasa kwenye story za...
  9. Mr George Francis

    Sex is no more an issue, know how to handle your man

    SEX IS NO MORE AN ISSUE, KNOW HOW TO HANDLE YOUR MAN. Leo katika pitapita zangu nimekutana na wadada fulani hivi wanapiga story. Mmoja nilisoma nae sekondari lakini hatukuwahi kuonana tangu siku tumehitimu kidato. Sikuwa na uhakika kama ni yeye, nilisimama kwa muda kiasi nikiwatazama huku...
  10. Mr George Francis

    Mambo yanayochangia kuwa na ndoa tamu na yenye furaha

    CHUNGU na TAMU katika NDOA ndio maisha yenyewe. Tusingeweza kuijua RAHA kama kusingekuwepo na KARAHA. Nyakati ngumu katika maisha huwa zinakuja na kuondoka lakini baada ya yote, FURAHA inapaswa kudumu milele. CHUNGU katika ndoa ni kawaida kutokea, lakini TAMU inapaswa kutawala maisha yote ya...
  11. Mr George Francis

    Swali najiuliza Je, NDOA ni CHUNGU au TAMU?!!

    Bado najiuliza, Je, NDOA ni TAMU au CHUNGU ?!! Ni swali ambalo walio nje ya ndoa wanajiuliza kila siku, lakini hata walio ndani ya ndoa nao bado hawana majibu yaliyokamilika. •Kuna watu wamepoteza maisha yao kwasababu ya NDOA, kutokana na vipigo na manyanyaso yaliyopitiliza na wengine wamejiua...
  12. Mr George Francis

    Paka wako ukimnyima chakula ataenda kula kwa jirani

    PAKA WAKO UKIMNYIMA CHAKULA ATAENDA KULA KWA JIRANI. Sina shaka kuwa unawafahamu PAKA, kama hujawai kufuga, basi hata kwa jirani zako ushawahi kuwaona. PAKA ni miongoni mwa wanyama wa kufugwa wanaoishi vizuri na binadamu, lakini pia wana tabia ya kubadilika na kuwa moja ya viumbe hatari kwa...
  13. Mr George Francis

    Nimeshindwa kukusaidia leo usinichukie, kesho yetu ni fumbo

    NIMESHINDWA KUKUSAIDIA LEO USINICHUKIE, KESHO YETU NI FUMBO. Based On True Story Miaka kadhaa iliyopita, rafiki yangu wa miaka mingi alipata ajali mbaya sana. Ilibidi afanyiwe operation ili kuokoa maisha yake. Nikiwa kama rafiki yake wa karibu, alinipigia simu kuniomba nimtumie kiasi fulani...
  14. Mr George Francis

    Sio kila busu linamaanisha upendo, mengine yanawakilisha usaliti

    BUSU ni ishara moja wapo inayoonesha upendo, mahaba salamu au heshima. Kama neno la Mungu linavyosema.. "Salimianeni kwa busu la upendo. Amani na iwe kwenu nyote, mlio katika Kristo. Amina." 1 PETRO 5:14 Na watu wengi huwa tunajiskia raha na kuwa na furaha tunapopata BUSU kutoka kwa watu...
  15. Mr George Francis

    Kikao cha Wanaume 2023

    Dear Gentlemen, Niaje wakuu? Siku nyingi zimepita hatujakutana kwenye vikao vyetu kujadili mambo yetu. Pamoja na mvua zinazoendelea kunyesha lakini, hakuna namna kikao kitaendelea kama kilivyopangwa. Niombe tuwe wavumilivu, kwani hiki ni kikao muhimu sana. Kwenye kikao kilichopita tulijadili...
  16. Mr George Francis

    Dada uzuri wako usiulete nyumbani kwako, utaachika

    Dada Yangu, Ni kweli wewe ni mzuri sana wa sura, tumekubali. Ni kweli mwonekano wako na shepu lako linaweza kumvutia kila mwanaume rijali, hili pia tumekubali. Ni kweli umesoma sana, elimu nzuri na sasa kimtindo kama umejipata hivi!! Aisee!! tumekubali. Ni kweli umetoka kwenye familia bora...
  17. Mr George Francis

    Fahamu kuhusu talaka na taratibu zake katika Uislam

    FAHAMU kuhusu TALAKA na taratibu zake katika UISLAMU. Sehemu Ya 1 ‏اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ‎) As-salāmu alaikum wa-rahmatullahi wabarakātuh. Peace be upon you as well as God's mercy and blessings. Amani iwe juu yako pamoja na rehema na baraka za Mwenyezi Mungu...
  18. Mr George Francis

    Wazazi na ndugu zako bado wanaishi

    Mwanaume unayetarajia kuoa au ambaye umeshaoa, pamoja na majukumu mengi uliyonayo, lakini unapaswa kukumbuka kuwa wazazi na ndugu zako bado wanaishi. Neno la Mungu linasema, MWANZO 2:24 "Kwa hiyo mwanamume ATAMWACHA baba yake na mama yake naye ATAAMBATANA na mkewe, nao watakuwa MWILI MMOJA."...
  19. Mr George Francis

    Kumcha Mungu kunaongeza siku za mtu za kuishi

    KUMCHA MUNGU KUNAONGEZA SIKU ZA MTU ZA KUISHI. Hakuna shaka kuwa tulizaliwa. Na ni kweli kuwa tunaishi. Na tuna uhakika kuwa kuna siku tutakufa. Maisha ya mwanadamu Yana kikomo, lakini kumcha Mungu kunaweza kuongeza siku za mtu za kuishi. Neno la Mungu linasema, "Kumcha Bwana kwaongeza siku...
  20. Mr George Francis

    Ijue siri ya kumpata mke au mume mwema

    [03/11, 12:18] Mr George Francis: IJUE SIRI YA KUPATA MKE/MUME MWEMA. Ni raha na furaha sana kwa mtu kupata mke au mume mwema. Lakini kwanza tujiulize, ¶Mke au mume mwema ni yupi. ¶Je wawezaje kumpata mke au mume mwema? Soma hapa, kujifunza siri hii iliyojificha katika maandiko matakatifu...
Back
Top Bottom