Search results

  1. Mwalimu interprises

    Namna ya kutambua yai litakaloanguliwa

    KANUNI KABLA YA KUATAMISHA. 1. Yai liwe limetagwa na kuku aliyepandwa Na jogoo. 2. Yai lisiwe na ufa au mpasuko wowote. 3. Yai liwe na shape inayoeleweka na sio Lililo pinda pinda. 4. Ganda la yai liwe gumu na imara. 5. Mayai yasikae muda mrefu kabla hayajaingia Kwenye mashine kama umehifadhi...
  2. Mwalimu interprises

    Fahari yangu ni kusikia mfugaji umefanikiwa

    naamini sio ndoto tena kuona waliofanikiwa Kwenye ufugaji ila pia natamani isiwe ndoto Pia kwako uwe mmoja wa waliofanikiwa Kwenye Ufugaji, nipite njia ipi? 1. Kuwa tayari (roho ya kuanza kufuga) 2. Penda mfugo unaohitaji. 3. Jifunze kitu kipya kila siku cha ufugaji 4. Hakikisha unaanza...
  3. Mwalimu interprises

    INAUZWA Je, unatambua kuwa kutotolesha ni fursa kubwa ya kukuinua kiuchumi?

    Sasa jiunge kwenye ajira bora kwako ya KUTOTOLESHEA mayai ya KUKU , KANGA, BATA, NJIWA N.K kwa kumiliki incubator au Kitotoreshi kwa ghara nafuu kutoka Kampuni yako pendwa MWALIMU GROUP LTD. Na kuwa mwanafamilia ya wafugaji wakubwa. Incubator ya mayai 1056 toleo la 2022 1. Inatunza joto masaa...
  4. Mwalimu interprises

    Fugia kwenye vizimba (Cages), epuka hasara zisizo za lazima

    Je? Bado kuku wako wanateseka na magonjwa au kula mayai. Ongeza uzalishaji wa mayai pia hata nyama kwa kufugia kwenye. Vizimba (CAGES) za kisasa kutoka mwalimu group ltd hii ni kubwa, Kuliko sasa tumeleta cage zenye material imara na zisizo shika kutu. Faida za cage ni kupunguza magonjwa kwa...
  5. Mwalimu interprises

    Pesa kidogo siyo sababu ya kukosa vifaa vya ufugaji

    JE, SABABU YA KUKOSA INCUBATOR NI PESA PUNGUFU MWALIMU GROUP LIMITED Tunakuletea huduma ya ulipaji kidogo kidogo Na mkopo wa incubators na Pellets machine sasa unaweza chukua mashine Ikiwa umelipia asilimia 30 mpaka 80 na kumalizia deni kidogo kidogo. Pia unaweza lipia kidogo kidogo mpaka...
  6. Mwalimu interprises

    Je, kuku wa kienyeji sio wa kibiashara?

    JEE KUKU WA KIENYEJI SIO KUKU WA KIBIASHARA?? [emoji2369][emoji2369] [emoji2788]NOOO,,,, Leo kampuni MWALIMU GROUP LTD imekuja na jibuuu la swalii hiloo [emoji2788]Kuku wa kienyeji ni kuku wa asiri na mwenye sifa ambazo kuku wengii hawana kama.. 1.Anauwezo wa kustahimili magonjwa 2.Nyama yake...
  7. Mwalimu interprises

    Kuku wa mapambo wanauzwa

    MWALIMU GROUP LIMITED TUNATOA OFA KWA WATEJA WETU WOTE. [emoji389]OFA YA SIKUKUU [emoji318][emoji268] Ungana nasi katika sherehe za sikukuu kwa kuwa mmoja wa mwanafamilia wa BRAHMA. Sasa unaweza pata vifaranga kwa bei Zifuatazo kama ofa ya sikukuu [emoji268][emoji318][emoji2536] YAI 25,000...
  8. Mwalimu interprises

    Njia rahisi ya kupata mafanikio kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Cage za kuku wa mayai. Layers Cage. ¹kutokana na mfumo wa cage zetu ulivyo boreshwa kuku watakuwa salama saana na kuepuka magonjwa kwa asilimia zaidi ya 85%. ²Usalama wa mayai ni 100% mfumo uliowekwa ni wa kisasa na kumfanya kuku asiyakalibie mayai. ³utafuga kuku wengi saana katika eneo...
Back
Top Bottom