Search results

  1. Mwalimu interprises

    Namna ya kutambua yai litakaloanguliwa

    KANUNI KABLA YA KUATAMISHA. 1. Yai liwe limetagwa na kuku aliyepandwa Na jogoo. 2. Yai lisiwe na ufa au mpasuko wowote. 3. Yai liwe na shape inayoeleweka na sio Lililo pinda pinda. 4. Ganda la yai liwe gumu na imara. 5. Mayai yasikae muda mrefu kabla hayajaingia Kwenye mashine kama umehifadhi...
  2. Mwalimu interprises

    INAUZWA Je, unatambua kuwa kutotolesha ni fursa kubwa ya kukuinua kiuchumi?

    SASA Mpango mzima ni kuwa na vifaa vya Kisasa kwa kumiliki bila purukushani kubwa Ni kuwa na nia tu. Lipia kidogo kidogo mpaka utakamilisha malengo yako ya kumiliki mashine bora za Kisasa incubator ya plastiki ya umeme na Solar kuanzia mayai 30 kwa 200,000 na mayai 60 kwa laki 300,000 na mayai...
  3. Mwalimu interprises

    Fahari yangu ni kusikia mfugaji umefanikiwa

    naamini sio ndoto tena kuona waliofanikiwa Kwenye ufugaji ila pia natamani isiwe ndoto Pia kwako uwe mmoja wa waliofanikiwa Kwenye Ufugaji, nipite njia ipi? 1. Kuwa tayari (roho ya kuanza kufuga) 2. Penda mfugo unaohitaji. 3. Jifunze kitu kipya kila siku cha ufugaji 4. Hakikisha unaanza...
  4. Mwalimu interprises

    INAUZWA Je, unatambua kuwa kutotolesha ni fursa kubwa ya kukuinua kiuchumi?

    Sasa jiunge kwenye ajira bora kwako ya KUTOTOLESHEA mayai ya KUKU , KANGA BATA, NJIWA N.K kwa kumiliki incubator au Kitotoreshi kwa ghara nafuu kutoka Kampuni yako pendwa MWALIMU GROUP LTD Na kuwa mwanafamilia ya wafugaji wakubwa. Incubator ya mayai 264 toleo la 2022 1. Inatunza joto masaa...
  5. Mwalimu interprises

    INAUZWA Je, unatambua kuwa kutotolesha ni fursa kubwa ya kukuinua kiuchumi?

    Sio siri tena wafugaji wengi hawapati faida kwa sababu ya Gharama kubwa ya chakula chammifugo yao kama vile Kuku, sungura, nguruwe, samaki,mbuzi Ng'ombe n.k MWALIMU GROUP LIMITED Tumekuja na punguzo katika mashine za kisasa za kutengeneza chakula cha vifaranga mpaka kuku wakubwa. PELLETS...
  6. Mwalimu interprises

    INAUZWA Je, unatambua kuwa kutotolesha ni fursa kubwa ya kukuinua kiuchumi?

    Sasa jiunge kwenye ajira bora kwako ya KUTOTOLESHEA mayai ya KUKU , KANGA, BATA, NJIWA N.K kwa kumiliki incubator au Kitotoreshi kwa ghara nafuu kutoka Kampuni yako pendwa MWALIMU GROUP LTD. Na kuwa mwanafamilia ya wafugaji wakubwa. Incubator ya mayai 1056 toleo la 2022 1. Inatunza joto masaa...
  7. Mwalimu interprises

    Fugia kwenye vizimba (Cages), epuka hasara zisizo za lazima

    Je? Bado kuku wako wanateseka na magonjwa au kula mayai. Ongeza uzalishaji wa mayai pia hata nyama kwa kufugia kwenye. Vizimba (CAGES) za kisasa kutoka mwalimu group ltd hii ni kubwa, Kuliko sasa tumeleta cage zenye material imara na zisizo shika kutu. Faida za cage ni kupunguza magonjwa kwa...
  8. Mwalimu interprises

    Pesa kidogo siyo sababu ya kukosa vifaa vya ufugaji

    JE, SABABU YA KUKOSA INCUBATOR NI PESA PUNGUFU MWALIMU GROUP LIMITED Tunakuletea huduma ya ulipaji kidogo kidogo Na mkopo wa incubators na Pellets machine sasa unaweza chukua mashine Ikiwa umelipia asilimia 30 mpaka 80 na kumalizia deni kidogo kidogo. Pia unaweza lipia kidogo kidogo mpaka...
  9. Mwalimu interprises

    Je, kuku wa kienyeji sio wa kibiashara?

    JEE KUKU WA KIENYEJI SIO KUKU WA KIBIASHARA?? [emoji2369][emoji2369] [emoji2788]NOOO,,,, Leo kampuni MWALIMU GROUP LTD imekuja na jibuuu la swalii hiloo [emoji2788]Kuku wa kienyeji ni kuku wa asiri na mwenye sifa ambazo kuku wengii hawana kama.. 1.Anauwezo wa kustahimili magonjwa 2.Nyama yake...
  10. Mwalimu interprises

    Kuku wa mapambo wanauzwa

    Analiwa pia
  11. Mwalimu interprises

    Kuku wa mapambo wanauzwa

    Sawa boss post za kesho
  12. Mwalimu interprises

    Kuku wa mapambo wanauzwa

    Analiwa pia
  13. Mwalimu interprises

    Kuku wa mapambo wanauzwa

    MWALIMU GROUP LIMITED TUNATOA OFA KWA WATEJA WETU WOTE. [emoji389]OFA YA SIKUKUU [emoji318][emoji268] Ungana nasi katika sherehe za sikukuu kwa kuwa mmoja wa mwanafamilia wa BRAHMA. Sasa unaweza pata vifaranga kwa bei Zifuatazo kama ofa ya sikukuu [emoji268][emoji318][emoji2536] YAI 25,000...
  14. Mwalimu interprises

    Njia rahisi ya kupata mafanikio kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    OFA OFA OFA YA KIBABE. Sasa kukosa umeme sio sababu ya kushindwa kumiliki mashine ya vifaranga (Incubator) Tumekuletea mashine za kisasa zaidi ambazo ni full automatic pia zina tumia solar hata pia betri la gari. Bila kusahau zinageuza mayai zenyewe (automatic eggs turn)pia huitaji kuzungukia...
  15. Mwalimu interprises

    Njia rahisi ya kupata mafanikio kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    VIFARANGA BORA WA BROILER NA LAYERS kunafaida kubwa saana ya kuwa mchunguzi na mdadisi mkubwa kihusu bidhaa unayo ihitaji. Leo nitaongelea hasa kwenye ufugaji wa kuku wa nyama na mayai. KUKU WA NYAMA Uchaguzi wa mbegu bora ni jambo muhimu tena kwa kuzingatia vigezo takikana kama ukuaji na...
  16. Mwalimu interprises

    Njia rahisi ya kupata mafanikio kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Mwalimu Enterprises Huduma saizi yako, unapata unacho kihitaji. Pata machine za incubator uweze kupandisha na kuongeza thamani ya ufugaji wako. Ni rahisi saana kuendesha mradi wako wa kutotolesha na kupata mafanikio makubwa kwenye ufugaji. Utatupunguza gharama za upatikanaji wa vifaranga...
  17. Mwalimu interprises

    Njia rahisi ya kupata mafanikio kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Ni muda sasa wa kufunguka na kuanza kufuga kisasa na sio kimazoea. Ufugaji ni ajira iliyo jikamilisha na sio ziada hivyo inaweza muinua mtu yoyote kutokana ni ajira ambayo iko wazi haichagui umri wala jinsia. Ufugaji ni moja ya vyanzo vikubwa sana vya kipato duniani hasa Ufugaji wa kibiashara...
  18. Mwalimu interprises

    Njia rahisi ya kupata mafanikio kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Vifaranga bora wa bovans brown wenye afya na ubora wa juu unawapata mwalimu interprises bila kuweka oda unalipia na kuchukua chap chap. Kila mtu anataman kufanikiwa kwenye ufugaji ila sisi tunatamani ufanikiwe kwenye ufugaji oda ni chap chap Hakuna kusubiri popote ulipo watafika bei ya ofa ni...
  19. Mwalimu interprises

    Njia rahisi ya kupata mafanikio kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    unapaswa kufuga kibiashara na kuongeza thamani ya ufugaji wako kwa kutumia mbinu rahisi na kisasa ili kuendana na mabadiliko ya kidunia. Incubator ni technology iliyozoeleka ila modern incubator ni technology mpya ya incubator za kisasa zilizo boreshwa na kumrahisishia mfugaji katika...
  20. Mwalimu interprises

    Njia rahisi ya kupata mafanikio kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Cage za kuku wa mayai. Layers Cage. ¹kutokana na mfumo wa cage zetu ulivyo boreshwa kuku watakuwa salama saana na kuepuka magonjwa kwa asilimia zaidi ya 85%. ²Usalama wa mayai ni 100% mfumo uliowekwa ni wa kisasa na kumfanya kuku asiyakalibie mayai. ³utafuga kuku wengi saana katika eneo...
Back
Top Bottom