Search results

  1. F

    Natafuta mchumba

    Mimi ni kijana umri 36, nina elimu ya college, sijawahi kuoa na sina mtoto, napatikana Dar. Natafuta rafiki wa kike umri 30-34, awe na elimu angalau form 4, asiwe amewahi kuolewa, kama ana mtoto asizidi 1, nahitaji mtu mwenye malengo na mawazo ya kimaendeleo. Nahitaji mtu ambae kama...
  2. F

    Mwenza anahitajika

    Kijana wa kiume, umri 35, sina mtoto na sijawahi kuoa, niko single, najishughulisha na ufundi. Natafuta mwenza wa kike umri 28-34, awe anajishughulisha na shughuli yoyote halali, asiwe na mtoto. Kimaisha bado napambana Kwa hiyo sihitaji mtu anayeangalia maslahi, nahitaji mtu aliye tayari...
  3. F

    Natafuta mchumba aje kuwa mke

    Mimi ni mwnanaume umri miaka 35, sina mtoto na sijawahi kuoa, kabila mchaga, dini mkristo, sina ajira kwa sasa ila nafanya vibarua. Natafuta rafiki wa kike ambaye tukielewana tuje kuwa mke na mume. Awe na umri 28-33, asiwe na mtoto zaidi ya mmoja, awe mkristo, awe anajishughulisha, awe na...
  4. F

    Natafuta mwenza

    Ni kijana umri miaka 35, Elimu yangu diploma, sijawahi kuoa nipo Dar, dini mkristo. Bado natafuta mwenza wa kike umri miaka 28-32, awe anajishughulisha, awe mkristo, awe anakaa Dar. Aliye tayari anitafute inbox
  5. F

    Mwenza anahitajika

    Mimi ni mwanaume miaka 35, sijawahi kuoa, nimejiajiri, dini mkristo, niko Dar. Natafuta mwenza wa kike umri 28-33, awe anajishughulisha, awe mkristo na asiwe na mtoto, awe anakaa Dar.
  6. F

    Natafuta mwenza wa kike wa maisha

    Mimi ni kijana wa miaka 35, Elimu yangu diploma ya biashara, sina mtoto na sijawahi kuoa, nipo Dar, kabila mchaga, najishughulisha na shughuli mdogo mdogo. Natafuta mwenza wa kike umri 28-31, awe na elimu angalau kidato Cha nne, asiwe na mtoto, awe anajishughulisha na shughuli yoyote halali, awe...
  7. F

    Natafuta mwenza wa kike wa maisha

    Mimi ni kijana umri miaka 35, Elimu yangu diploma, ni mjasiriamali mdogo, sina mtoto na sijawahi kuoa, nipo Dar dini ni mkristo. Muonekano wangu ni mrefu kiasi, mwembamba kiasi na mweupe kiasi. Natafuta mwenza wa kike umri 28-31, asiwe na mtoto na awe Dar, awe mkristo na awe na elimu angalau...
Back
Top Bottom