Search results

  1. under timer

    Upasuaji kwa wajawazito imekuwa kama lazima, ni kero kubwa

    Leo hii ukienda hospitali za seriakali afu ndo ujauzito wa kwanza ukitoka upasuaji haujakuhusu basi mshukulu Mungu. Enyi watu wa afya wahurumieni akina mama upasuaji usio wa lazima ni faida kwenu sawa., kwa kuwa mnapata posho na uzoefu pia ila madhara ni makubwa kwa wamama majumbani kwao...
  2. under timer

    Naomba kuelewesha kuhusu kutafsiri move za action

    Naamini uzima mnao nyote, kama si hivyo basi pole kwa wewe ambaye hauko sawa kiafya na mungu akujalie upone mapema. Nina shauku na nina sauti safi kwa kutoa matangazo katika vifaa vya muziki [sauti] Sasa juzi juzi nikajalibu kutafasri crip moja ya kizungu, hakika niliipatia kiasi japo sio...
  3. under timer

    Kati ya ndugu wa damu au asiye wa damu yupi wa kushirikiana nae ktk ujasiriamali

    Natumai mko vizuri kiafya, nina kiduka cha bidhaa mchanganyiko kama dona, mchele, mayai, pipi mixer mafuta nauza rejareja na mungu anajalia angalau riziki kidogo naipata. Sasa kuna ndugu nashirikiana nao maana mie ni kijana mwepesi leo utanikuta dukan kesho namwachia shemeji wa kiume apige...
  4. under timer

    Msaada(ushauli) kwa kupotelewa na vitambulisho

    habari waungwana? mwezi wa 12/2023 mama ang alisafiri Musoma kwenda Chato Geita, alipofika mwanza stand akagundua kua tayari kapoteza pochi yake ambayo ndani ilikuwa na kadi ya mpiga kura, nida , bima ya afya na fedha kadhaa. sasa leo kanitumia baadhi ya taarifa za hivyo vilivopotea akitaka...
  5. under timer

    Madhara ya mimba kukaa kifuani

    Natumai nyote mko poa. Mke wangu kawa mjamzito yapata wiki 3 mimi na yeye tunavutana akidai ujauzito umekimbilia kifuani na ipo dawa ma mkwe anataka alete ivaliwe kuzunguka kifua km ilizi vile et ndo inashusha mimba kuludi tumboni! Je, hii ni kweli? Je, kuna shida gan asipotumia hiyo dawa...
  6. under timer

    Uke unabana hata uume haupiti ila sio bikla, au kalogwa?

    Habari, siku nne zimepita tangu nipate jiko(mke) Siku ya kwanza tumeshiliki bila shida yoyote, siku iliyofata uke ukabana kiasi kwamba hata vidole viwili haviwezi kupita, tukajipa moyo kesho ake tukaweka hadi mate lakn hakuna kitu tumewashilikisha mashangazi wao pia hawaelewi nini cha kufanya...
  7. under timer

    Waudumu wa maabara kutojaza majina yao ni nini maana yao?

    Habari wapendwa? Kama mada ilivo hapo juu yakuwa tuna baadhi ya wahudumu wa mahabara akikuhudumia haweki jina lake kabisa pale panapotakiwa jina lake, je huu ni wizi pia au kuna nini nyuma ya pazia? Nawasilisha
  8. under timer

    Namna buibui anavotengeneza wavu(nyumba) yake?

    Habari zenu wanachama? Nina imani yakuwa mpo salama Iko wazi na wengi tumewahi kuona jinsi ambavyo buibui anajitengenezea wavu(makazi) yake bila shida kabisa. Sasa nikifikilia zile nyuzi zinavopatikana ndo naanza kukuna bichwa langu kama madenge? SWALI 1-ule uzi anautoa wapi? 2-upo mweupe na...
Back
Top Bottom