under timer
JF-Expert Member
- Dec 25, 2021
- 279
- 407
habari waungwana? mwezi wa 12/2023 mama ang alisafiri Musoma kwenda Chato Geita, alipofika mwanza stand akagundua kua tayari kapoteza pochi yake ambayo ndani ilikuwa na kadi ya mpiga kura, nida , bima ya afya na fedha kadhaa.
sasa leo kanitumia baadhi ya taarifa za hivyo vilivopotea akitaka niende polisi uku mwanza kuwauliza kama wamepata kuviona hivo vitambulisho. NB mimi nipo Mwanza yeye yupo Musoma. HOFU YANGU
1-je ntasikilizwa na polisi ikiwa si mmiliki wa kilichopotea?
maoni yenu tafadhali.