Habarini ndugu zangu
Niende kwene mada,nina simu yangu ambayo kutokana na uwezo wake kuwa mdogo niliamua kununua memory card Ili niweze kuongeza storage katika simu yangu.Nilipoweka hio memory card katika simu yangu niliiset kama internal storage hivyo baadhi ya taarifa kama picha...
Katika maisha ya leo ukijionea huruma, utakuja kutia huruma.
Ukikosa nidhamu, utakuwa kuadabishwa na walimwengu
Ukijidanganya utakutana na ukweli muda ukiwa umepita.
Tujifunze na kutia maanani yafuatayo:
1.Thamani yako ndo inaamua mkate unaoingiza. Ikiwa chini, lazima ipande kubadili matokeo...
Pichani:Muanzilishi wa KFC(Kentury Fried Chicken)
HISTORIA YAKE..
Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake...
Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule.
Akiwa na miaka 17 tayari alikua kapoteza ajira 4.
Akiwa na miaka 18 aliamua kuoa.
Akiwa na miaka 19, alifanikiwa kuwa Baba.
Akiwa na miaka 20...
Katika Nchi ndogo iliyopo Ulaya iitwayo Montenegro, mashindano ya kumtafuta Mtu mvivu zaidi hufanyika kila mwaka na mwaka huu washindani saba wamejilaza kwenye mikeka wakipambania kombe hilo katika jitihada za kuvunja rekodi ya awali ya saa 117 iliyowekwa mwaka jana katika kijiji cha mapumziko...
Wakuu humu jf kwema
Naomba ushauri wa simu gani janja (Smart phone) nzuri yenye uwezo mzuri wa kupiga picha,uwezo mkubwa wa kuhifadhi(storage capacity) na uwezo mkubwa wa kukaa na chaji kwa kampuni yoyote ile, ikipendeza bei zake madukani na changamoto za simu hiyo.
Bajet yangu ni 250k...
Wapendwa katika bwana habari zenu, naomba ushauri wa kozi gani nzuri Kati ya bachelor of science in economic policy and planning ((inayotolewa mzumbe))VS agriculture economics and Agri business((inayotolewa sua)).
Na pia UFAfanuzi kwamba kozi hizi zinahusiana na nn,soko la ajira pia baina ya...
Best AEA for those courses,but it depends also with what you like, connection iliopo for such course.. EPP imebase sana kwene sera Sana(pure mchumi)) but AEA imebase kwene kilimo na biashara #kila la kheri kwa watakao soma kozi husika MUNGU awatangulie
Habari wakubwa,mm ni kijana niliehitimu kidato cha sita kuna kozi ya bachelor of science in economics policy and planning(EPP) ninaomba ushauri wa mbinu,mawazo kuhusu kozi hii.na kazi gani anazoweza fanya kijana anaesomea kozi hii???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.