Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 884
- 1,308
Habarini ndugu zangu
Niende kwene mada,nina simu yangu ambayo kutokana na uwezo wake kuwa mdogo niliamua kununua memory card Ili niweze kuongeza storage katika simu yangu.Nilipoweka hio memory card katika simu yangu niliiset kama internal storage hivyo baadhi ya taarifa kama picha, document,miziki zilihamia huko.
Baada ya muda fulani niliiondoa memory card ghafla na nilipoirejesha taarifa zangu muhimu sikuweza kuziona tena.
Hivyo wataalamu wa hiki kitengo naomba msaada wa mawazo Ili nipate suluhisho la tatizo langu.