Search results

  1. Balqior

    Kwa sasa sipo tayari kuolewa, nahitaji kufanya mambo yangu

    Aisee dada unalipwa kubishana na watu humu jf
  2. Balqior

    Sababu kwanini wanawake wanaomba sana Pesa

    Baadhi ya wadada nawashangaa, hawasubiri mpaka uwatongoze ndo waombe hela, utakuta mdada unafanya nae kazi sehemu moja, huna mazoea nae kihivyo, hujawahi kumuomba namba, hujawahi kumtongoza, wala kuonesha nia ya kumtongoza, zaidi mkikutana ni chit chat ya hapa na pale, kama mtu unavoweza kuongea...
  3. Balqior

    Wanaume ushawahi tongoza mdada, baada ya muda ukajishangaa na kujiuliza kwanini ulimtongoza

    Habarini, Unakutana na mdada unamuona mzuri, na personality yake inaridhisha kiasi, unaanza kumtongoza (anakubali) mnakua kwenye courtship phase, jinsi mnavokaa na kuongea nae miezi kadhaa inapita, jinsi muda unavoenda, interest yako kwake inashuka (hapo hujala mzigo) mwishowe mtu unaanza...
  4. Balqior

    Tanzania ukisoma hadi chuo ni kama laana mtaani

    Naona umeandika haya baada ya kushiba ugali maharage. Nyie ndo watu ambao mkifanikiwa mnaona ambao hawajafanikiwa ni wajinga. Maliza chuo, njoo mtaani akili yako ikusaidie kutoboa, ndo uje uandike sera zako hapa Andrew Tate
  5. Balqior

    Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

    Ephen atupe story jinsi alivokutana na Lucas mwashambwa, ilikuaje
  6. Balqior

    Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

    Hauna wanaume wanaokutongoza/boyfriends uwaombe hela 🤔 kadogo2
  7. Balqior

    Katika kizazi cha sasa Wanawake wengi hawatafuti Mapenzi, wanatafuta msaada- Rev lucy natasha

    Hahaa😁 umemaanisha nini hapa, kwamba sahivi mdada ukiomba hela kwa mwanaume, mwanaume anakimbia To yeye
  8. Balqior

    Hii ndio maana ya ndugu lawama

    Ndugu huyo unaemuomba mtaji, atakwambia yeye hakusaidiwa na ndugu 😁 Zemanda
  9. Balqior

    Wanaume wenzangu mnaweza ku-deal vipi na mdada uliemtongoza halafu akakukataa, mbaya zaidi unafanya nae kazi ofisi moja

    Hujanielewa, mimi siwezi anzisha vita/uadui na mdada alienikataa, shida ni emotions zangu binafsi baada ya mimi kukataliwa, kukataliwa ni aibu na kunauma haswa haswa kama mdada alienikataa akiwaambia rafiki zake wa kike, daah, hata kama mmoja wa hao marafiki zake wa kike alikuwa ananipenda...
  10. Balqior

    Wanaume wenzangu mnaweza ku-deal vipi na mdada uliemtongoza halafu akakukataa, mbaya zaidi unafanya nae kazi ofisi moja

    Ushenzi wa kutongoza na kukataliwa, si unaona jamaa kajishobokesha kwako kuwa ufungue pm, ukampa Cha mbavu Kelsea
  11. Balqior

    Wanaume wenzangu mnaweza ku-deal vipi na mdada uliemtongoza halafu akakukataa, mbaya zaidi unafanya nae kazi ofisi moja

    Easier said than done, wewe ukitongoza halafu ukakataliwa utafurahi Mshuza2
  12. Balqior

    Wanaume wenzangu mnaweza ku-deal vipi na mdada uliemtongoza halafu akakukataa, mbaya zaidi unafanya nae kazi ofisi moja

    Habarini, Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha ndoano, mbaya zaidi kimoyomoyo unamchukulia serious, kipindi chote ulichokaa nae hapo ofisini, kwa tabia...
  13. Balqior

    "Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

    Halafu nawashangaaga wadada, mbona hamtuombagi sex, nyie mnajua kutuomba hela tu Nuzulati ephen_ cutelove
Back
Top Bottom