Wanaume wenzangu mnaweza ku-deal vipi na mdada uliemtongoza halafu akakukataa, mbaya zaidi unafanya nae kazi ofisi moja

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,758
5,866
Habarini,

Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha ndoano, mbaya zaidi kimoyomoyo unamchukulia serious, kipindi chote ulichokaa nae hapo ofisini, kwa tabia zake unaona huyu akinikubalia tukiendana, anafaa kuoa, unamtongoza halafu anakukataa.

Ukute na hapo ofisini ana marafiki zake wengine wa kike, obviously ukimtongoza akikukataa, kwenye story zao atawaambia rafiki zake wa kike kuwa flani alimtongoza akakataa, hivyo CV/status yako kwa ujumla kwenye hiyo kampuni/mbele ya co-workers inashuka.

Mbaya zaidi unakuwa unaonana nae kila siku, heri angekuwa wa mtaani ukimtongoza akikataa unabadili njia ya kupita, sasa unamuona everyday, mara paap siku zinaenda unaona ameletewa posa, kaolewa, mara kapata ujauzito, na wewe uko hapo hapo. Sipatii picha hiyo awkwardness

How does it feel as a man, that pain, that embarrassment, all that effort uliyoweka, all that respect is flushed down the toilet. Unabaki unacheka usoni, moyoni umejaa maumivu na aibu

Hii scenario mimi binafsi haijanikuta in real life, ila najaribu tu ku-imagine.

Huu uzi bila comment ya Extrovert hautanoga
 
Mbaya zaidi unakua unaonana nae kila siku, heri angekuwa wa mtaani ukimtongoza akikataa unabadili njia ya kupita, sasa unamuona everyday, mara paap siku zinaenda unaona ameletewa posa, kaolewa, mara kapata ujauzito, na wewe uko hapo hapo. Sipatii picha hiyo awkwardness

How does it feel as a man, that pain, that embarrassment, all that effort uliyoweka, all that respect is flushed down the toilet. Unabaki unacheka usoni, moyoni umejaa maumivu na aibu

Hii scenario mimi binafsi haijanikuta in real life, ila najaribu tu ku-imagine.

Huu uzi bila comment ya Extrovert hautanoga
Kwani bado unatongoza hadi sasa si tumekubaliana siku hizi unakula kimasikhara.
 
Siwezi kutongoza mwanamke naefanya nae kazi ofisi moja
p
Habarini,

Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha ndoano, mbaya zaidi kimoyomoyo unamchukulia serious, kipindi chote ulichokaa nae hapo ofisini, kwa tabia zake unaona huyu akinikubalia tukiendana, anafaa kuoa, unamtongoza halafu anakukataa.

Ukute na hapo ofisini ana marafiki zake wengine wa kike, obviously ukimtongoza akikukataa, kwenye story zao atawaambia rafiki zake wa kike kuwa flani alimtongoza akakataa, hivyo CV/status yako kwa ujumla kwenye hiyo kampuni/mbele ya co-workers inashuka.

Mbaya zaidi unakuwa unaonana nae kila siku, heri angekuwa wa mtaani ukimtongoza akikataa unabadili njia ya kupita, sasa unamuona everyday, mara paap siku zinaenda unaona ameletewa posa, kaolewa, mara kapata ujauzito, na wewe uko hapo hapo. Sipatii picha hiyo awkwardness

How does it feel as a man, that pain, that embarrassment, all that effort uliyoweka, all that respect is flushed down the toilet. Unabaki unacheka usoni, moyoni umejaa maumivu na aibu

Hii scenario mimi binafsi haijanikuta in real life, ila najaribu tu ku-imagine.

Huu uzi bila comment ya Extrovert hautanoga
potezea
 
Kuna mambo ukiyachukulia in a positive way wala huwezi kuteseka

Kukataliwa ni kawaida,huwezi kukubaliwa na kila mtu
Sawa kabisa unapoomba kitu kuna mawili upate au aukose... tatizo watu wana complicate sana maisha.. Na kama unateseka kwanini uliamua kutongoza mtu wa ofisini kwako? Ndio maana wanashauri kuacha kutafuta mapenzi ofisini, huwa yanaishia kukuletea udwanzi tu.
 
Back
Top Bottom