Hizo shida dharura haziishi kila mtu anakuletea yake utaweza kuepuka lawama?Bado haujanielewa na unazidi kukosea kwa namna unapanga hoja zako. Mimi sijasema kuwa hauna shida wala sijasema kuwa usifanye mambo yako.
Nilichosema ni pale anapokuja ndugu yako na anajambo ambalo kwake ni la dharula na haliwezi kusubiria linahitaji pesa ya haraka sana, hautamsaidia atatue kwasababu unasave ununue kiwanja mwaka kesho kutwa? Kwani kununua kiwanja ni jambo la dharula, si ni mipango ya muda mrefu na endelevu na inaweza kusubiri?
Usiseme mtu mlalamishi elewa hoja kwanza. Utaelewa siku unadharula tena ya muhimu halafu dogo haipi uzito wala nini, utalaani hadi basi ila ndio mkuki ni kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
Kuna wazazi wengine nao wanakuwa changamoto kwenye maisha yako. Ingawa sio sana hii hali bado wapo ambao wanapata changamoto sana ya kuwa na wazazi marafiki.Ndugu wa maana ni baba na mamayo tu.
Hata dada/kaka yako sio ndugu wakutegemea.
Narudia ndugu wa maana ni baba na mama tu.
Ila kusema ukweli dunia ya sasa marafiki wako too humble kuliko ndugu huwa najiuliza kwa nini iko hivi!?
Kibongo tunalealea sana tabia zinazochochea sana umasikini.Halafu ndipo tunapokuja kujiuliza wenzetu kama waarabu na wahindi wanaendeleaje.
Mtu akiendelea utaskia wabongo tukisema"aagh we waarabu huwajui?Amefeli akaitwa na hami yake(mjombaake) kasimamia duka akamuachia".
Hivyo ndivyo undugu unatakiwa kuwa.
Undugu kubebana kusiwe na njaa/umasikini katika familia.
Ila sisi wabongo hufanya tofauti.
Na mtu akifanikiwa ni waabudu pesa hatari ila akipururuka mnamkimbia tena.
Ni kweli kabisa mkuuUsnitch mwingi, kuna watu hawajakutana na hizo kavu wanaona kama tunayoongea ni tunatunga hapa.
Basi sasa kwa akili hizi ndio utashuhudia umasikini ukikuzunguka kama wewe ndie umepiga hatua kwenu.Hizo shida dharura haziishi kila mtu anakuletea yake utaweza kuepuka lawama?
Mfano mimi mwezi uliopita nimeombwa 700,000 alafu 300,000 na 300,000 hao wote wanadharura
Mimi nitasaidia matibabu labda mtu anaumwa au labda mtu anataka kulala na njaa siwezi acha kumsaidia lakini nakuona mzima hivi afu nina jambo langu nimelitarget utanisamehe tu
Mkuu acha lawama maisha yako jukumu lakoBasi sasa kwa akili hizi ndio utashuhudia umasikini ukikuzunguka kama wewe ndie umepiga hatua kwenu.
Kusaidia watu wa kiumwa au wakifa huwa ina faida gani sasa mwisho wa siku maana unasaidia kwenye jambo ambalo halina mrejesho wa faida kwako na hata kwake.
Na hii ndio akili yetu wa afrika kuchangiana katika matukio ambayo kimsingi watu walitakiwa kujipanga personally mfano misiba, harusi, kuuguzana. Matukio ambayo mtu anatakiwa kujipanga mwenyewe kwanza mapema hata yakimkuta basi awe katika namna ya kujitetea.
Ila mtu anakufuata anashinda ya kianzio cha kufanya jambo lake ambalo soon linaweza kutoboa na kumpa maisha wewe unaona kama anataka kukufuja pesa. Umasikini utaisha kweli?
Wenzetu waarabu, na wahindi, wachina na wanaijeria wamepita huko. Ukiwa na jambo la biashara unapata sapoti haraka sana kuliko ukienda na maswala ya kuuguza au msiba.
Sisi tunapenda sana kuukumbatia umasikini as if ni aina ya mafanikio.
Ndugu huyo unaemuomba mtaji, atakwambia yeye hakusaidiwa na ndugu 😁 ZemandaBasi sasa kwa akili hizi ndio utashuhudia umasikini ukikuzunguka kama wewe ndie umepiga hatua kwenu.
Kusaidia watu wa kiumwa au wakifa huwa ina faida gani sasa mwisho wa siku maana unasaidia kwenye jambo ambalo halina mrejesho wa faida kwako na hata kwake.
Na hii ndio akili yetu wa afrika kuchangiana katika matukio ambayo kimsingi watu walitakiwa kujipanga personally mfano misiba, harusi, kuuguzana. Matukio ambayo mtu anatakiwa kujipanga mwenyewe kwanza mapema hata yakimkuta basi awe katika namna ya kujitetea.
Ila mtu anakufuata anashinda ya kianzio cha kufanya jambo lake ambalo soon linaweza kutoboa na kumpa maisha wewe unaona kama anataka kukufuja pesa. Umasikini utaisha kweli?
Wenzetu waarabu, na wahindi, wachina na wanaijeria wamepita huko. Ukiwa na jambo la biashara unapata sapoti haraka sana kuliko ukienda na maswala ya kuuguza au msiba.
Sisi tunapenda sana kuukumbatia umasikini as if ni aina ya mafanikio.
Wafadhilaka wapundaka.....
🤣🤣Umewaza nini mkuu umenikumbusha mbali sanaWafadhilaka wapundaka.....
Acha tu...hiki kilugha gani hiki?
Nilikutana nayo mtandaoni tuu 😅😅😅😅😅🤣🤣Umewaza nini mkuu umenikumbusha mbali sana
Ndio ndio wachukue hiyoHapo ndio kwenye point ya msingi.
The way unaiweka ni as if mimi bado nahitaji kushikwa mkono, naona haujasoma vema maelezo yangu. Hapa nazungumzia vitu vilivyokwisha kupita.Mkuu acha lawama maisha yako jukumu lako
watoto wako hawataelewa sababu yako isiyo na mashiko kwamba ndugu hawakukusaidia