Search results

  1. Xi jiping

    Natafuta hawa 'Grass cutter' hapa Tanzania

    Natafuta hawa viumbe niwafuge, naona wanaigeria wanakazana kuwafuga, nami nimevutiwa. Anaewajua jina kwa kiswahili anaweza anasema.
  2. Xi jiping

    Ukweli unaouma kuhusu wewe

    Kwa umri uliofika. 1. Kama una miaka 30s Kuwa bilionea sahau/Waza mambo mengine. 2. Kama una 30s na hauko na hujawai kuingia kwene siasa bas we huwezi kuwa Rais hadi unakufa. 3.Wewe siyo Super human : Acha kuwaza kama uko kwene movie : Kamwe usimwambie mtu “Utanifanya nn ww” vyakukufanya...
  3. Xi jiping

    Wapenda kupamba miche ya miti Mwanza tujuane

    Niko mwanza napenda kupanda miti. Tupeane Location na hii bidhaa ya miti 1.Miche ya Bure✅ 2.Miche ya ofa✅ 3.Miche ya hela⚠️✅ Nimeanza na mti mmoja wa maembe. Mwenze miche anipee basi nikapande
  4. Xi jiping

    Nataka nianzishe kabila langu. Je, inawezekana?

    Napata hili wazo baada ya kuona makabila mengi ya Africa yanashindwa kuikomboa nchi kitechnolojia na kiuchumi kisa kua na uwezo mdogo wa kiakili. Nataka nianzishe kabila cha watu wenye akili kama wa Israel (kama unachuki nao kwa kujaliwa akili ruksa kutema povu) Hapa natafuta magenius kama 100...
  5. Xi jiping

    Financial Mania

    Kesho najipanga kupata 200k lakini sina plan Nishaurini MAKOSA YA KIUFUNDI YA LEO: 0.Nimeamka saa4[emoji626] 1.Nimeamka bila plan[emoji626] 2.Nimepanda mnazi[emoji626] 3.Sijaulisha ubongo kwa kitabu[emoji626] 4.Nimeshinda home mwenyewe[emoji626] 5.Bado niko kwene confort zone[emoji626] 6.Nipo...
  6. Xi jiping

    Je, ni lazima kuweka Affidavit kwenye ajira portal?

    Ambao mmepata kazi kupitia hii application site. Naona hii ishu ya affidavit kwene kuattach document!! Ni lazima au option
  7. Xi jiping

    Umasikini unaambukizwa, tuweni makini?

    Wakuu,, Umasikini ni sawa na Ukimwi, fungus, kaswende au Ebola au ugonjwa wa kuambukizwa. Umasikini unaambukizwa kuweni makini. Kama wewe ni masikini kamwe usifungamane na masikini wala kuoa masikini maana mtaambukizana upele tena kama ni mwanaume utakuwa masikini mara mbili kama tujuavyo...
  8. Xi jiping

    Feminism ni tatizo kubwa sana duniani

    Well, kwa msiofahamu Feminism ni idea ya kumuona mwanamke na mwanaume sawa. Yaan kifupi ni wale wapigania haki sawa kwa mwanamke yuko sawa na mwanaume. Watu hawa huamini kuwa mwanamke yuko sawa na mwanaume licha ya kwamba tumeumbwa tofauti kibaolojia na kukuzwa tofauti kijamii. Kibaolojia...
  9. Xi jiping

    Ni wife material lakini sivutiwi kimapenzi. Je, nimuoe au nisioe?

    Tuko kwene mahusiano kwa mwaka sasa, na sasa nataka nimuoe kwani ni mwanamke ambae ni wife material Ila shida ni kwamba si mtu ambae navutiwa nae kiasi kwamba yeye ndo ananipenda. Naenda tu kwa kujilazimisha ila akinipa penzi nakula kifupi mimi ni mzee wa show. Naweza lala na mtu hata...
  10. Xi jiping

    Ulitengenezaje Billioni yako ya kwanza?

    Kila kitu kina Entry point kwenye hii dunia. Ukiingia utarudia tena na tena historia inaendelea tena na tena. Tueleze ulitengenezaje Billioni yako ya kwanza!
  11. Xi jiping

    Ni biashara gani naweza ongezea kwenye Kinyozi changu

    Nimefungua biashara ya kunyoa yaan kinyozi Siyo berbershop bado haina hadhi hiyo Lakini naona mauzo madogo je naweza nikaongeza biadhara gan hapo ili iwe inabust?? Watalamu wa biashara
  12. Xi jiping

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mwanza Nyamagana

    Nauza kiwanja bei 4M ukubwa 60*15 Eneo Fumagila/Nyamagana/Mwanza Maji Yamefika Umeme umepita Barabara zipo Hakijapimwa Contact Dm au ukihitaji nakucheki
  13. Xi jiping

    Natafuta series za black america mwanza

    Kwa wapenzi wa series napata wap vibanda au series za hivi za black america ambazo hazijatafsiriwa Kudownload n gharama bando angalizo: vibanda vingi vipo na za kutafsiriwa za kihindi na kituruki ambazo mm sizielewi
  14. Xi jiping

    Natafuta partner wa chanel ya YouTube

    Niko na interest za kuanzisha chanel ya youtube!!siku nyingi sana. Kama mjuavyo chanel ya youtube ni investment ya muda mrefu na inachukua muda kuanza kuona matunda yake! Inaweza kuchukua hata miaka miwili kufikia hatua ya kuwa Monetised! Kwasababu monetisation inaanza channel inapofikia...
  15. Xi jiping

    Biashara ya kukuza na kunenepesha Mbuzi!!

    Nilikua na wazo hili muda sana. Baada ya kufanya utafitu nikaona Kununua na kuuza mbuzi nikaona kma kununua mbuzi wadogo au waliokonda na kuwanenepesha kisa kuwauza itakua poa!! Je kuna mtu mwenye uzoefu na hii biashara. Kati ya makalannilizosoma soma kuusu zoezi hili pendwa Hatua hii...
  16. Xi jiping

    Vitu gan umevipiga “BAN”

    Ili usonge mbele au uishi kwa raha lazima kuna vitu uvi cut (ondoa),Block, au uvipige ban si kwa ubaya ila kwa afya ya akili yako na amani ya moyo! Vitu hivi vinaweza kuwa vinakutia stress, au vinafanya ujisikie mnyonge, vinakuumiza, au vinakudharirisha au tu vinakurudisha nyuma au kukuzuia...
  17. Xi jiping

    Uliwezaje kutengeneza laki mbili kwa siku?

    Aisee leo nimeshangaa naambiwa kuna jamaa anatengeneza MILLION KWA SIKU MOJA wakati hiyo ni budget yangu miezi 2. Malengo yangu kwa sasa ni kuweza kutengeneza laki 2 tu kwa siku!Mlioweza mliwezaje kutengeneza 200,000/= kwa siku moja?
Back
Top Bottom