KidukuliloZinaleta amsha amsha
Kidukulilo
Bill Lugano
Kama sijakosea, hawa watu waliandika vitu vizuri sana ....
Kwa mawazo yangu mimi ukijitafuta ukapata 1 billion hapa tanzania unakua umepiga hatua nzuri sana maana unaweza fanya mambo mengi kwa urahisi,
Imagine gvt bonds unakua na uhakika wa 125,600,000/= kwa mwaka Kisha ukawekeze mashambani huko
Lima parachichi, apples
Panda miti
Tengeneza mabwawa ya samaki
Fanya ufugaji ng'ombe wa maziwa
Ongeza thamani ya mazao yako tafuta masoko ya uhakika
Kisha enjoy matunda ya kazi na pesa zako.
Bilioni ya Zimbabwe??Kila kitu kina Entry point kwenye hii dunia.
Ukiingia utarudia tena na tena historia inaendelea tena na tena.
Tueleze ulitengenezaje Billioni yako ya kwanza!!
View attachment 2861187
Naunga mkono hoja.Nyuzi kama hizi zipewe kipaumbele.....