Miaka ya kustaafu iongezwe

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,868
3,586
Wakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa

- Hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto

- Vikokotoo vyenyewe ndo vile tena bado havisomeki

- Madogo na mamazao bado wanatugemea

- Au mnataka mtuue mapema wazee wenu tuliotumikia taifa kwa uadilifu kabisa
 
Wakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa

- hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto

- vikokotoo vyenyewe ndo vile tena bado havisomeki

- madogo na mamazao bado wanatugemea

- au mnataka mtuue mapema wazee wenu tuliotumikia taifa kwa uadilifu kabisa

Usiache kufanya kazi mkuu unabidi ustaafu na 65 , hii angalau kidogo .
 
Mitaala ya mashule na vyuo ijikite kwenye ufundi, hii itasaidia wengi kujiajiri. Unamiaka zaidi ya 20 kazini na umeshindwa kujisimamia mwenyewe; je yule aliyemaliza chuo leo afanyeje?​
 
Wakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa

- hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto

- vikokotoo vyenyewe ndo vile tena bado havisomeki

- madogo na mamazao bado wanatugemea

- au mnataka mtuue mapema wazee wenu tuliotumikia taifa kwa uadilifu kabisa
Mataifa ya Afrika yanakufa kutokana na kuwepo kwa wingi kwa watu wenye akili mbovu Kama hizi. I feel ashamed to be African!
 
Unataka ufe ukiwa unatembea umebeba faili?
 
Wakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa

- hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto

- vikokotoo vyenyewe ndo vile tena bado havisomeki

- madogo na mamazao bado wanatugemea

- au mnataka mtuue mapema wazee wenu tuliotumikia taifa kwa uadilifu kabisa
Dah! Mkuu wewe bado haujachoka? Sisi wenzio tumechoka sana, tunahitaji kupimzika, maisha yenyewe mafupi sana haya. Umeshindwa kurekebisha muda wote huo iongezwe mingapi ili uweze kurekebisha, imeenda hiyo mkuu we toka tu, tuwaachie wengine keki ya taifa.
 
aise iongezwe au ipunguzwe?
wazee wamejazana huku serikalini hawataki kustaafu wamefoji umri wa kustaafu.

kipindi cha Hayati JPM baada ya kumalizana na wenye vyeti feki alikuwa ainge kwa walio foji umri.

alitoa mfano wa mzee Mtalemwa, aliyekuwa mkurugenzi wa Dawasco.........
 
Mataifa ya Afrika yanakufa kutokana na kuwepo kwa wingi kwa watu wenye akili mbovu Kama hizi. I feel ashamed to be African!
unaongelea wapi uko mkuu maana somalia waliovurugana kwa miaka mingi saivi wako vizuri na presidaa wao saivi anapata gahawa na mama pale mjengoni. seleka wa afrika ya kati na wenzao antibaraka walishakaa sawa au wapi uko unakozungumzia?
 
Wakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa

- hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto

- vikokotoo vyenyewe ndo vile tena bado havisomeki

- madogo na mamazao bado wanatugemea

- au mnataka mtuue mapema wazee wenu tuliotumikia taifa kwa uadilifu kabisa
Acha uoga wa Maisha

NB.

MBWA hanaga kazi Ila anaishi (LOVE)
 
Dah! Mkuu wewe bado haujachoka? Sisi wenzio tumechoka sana, tunahitaji kupimzika, maisha yenyewe mafupi sana haya. Umeshindwa kurekebisha muda wote huo iongezwe mingapi ili uweze kurekebisha, imeenda hiyo mkuu we toka tu, tuwaachie wengine keki ya taifa.
umechoka staafu kwa hiari, umechoka bado unakomaa kwenda kazini huo n uwongo
 
Back
Top Bottom