Search results

  1. Mwande na Mndewa

    CHADEMA inahitaji tume huru ndani ya Chama kabla ya kudai tume huru ya Taifa ya Uchaguzi

    Nimeshuhudia na kushiriki chaguzi nyingi ndani ya Chadema na ndani ya CCM,chaguzi nyingi ndani ya vyama vyetu zinavunja katiba za vyama hivyo kwa makusudi kabisa,wasimamizi wa chaguzi hizo kwa kuwa wanakuwa na mamlaka ya nafasi za uongozi kutoka ngazi za juu,hutumia mwanya huo kufanya kadri...
  2. Mwande na Mndewa

    Mambo matano ya Hayati Rais Magufuli yaliyoshtua Dunia

    1. Acacia Hayati Rais John Magufuli alipiga marufuku usafirishaji mchanga kutoka machimbo ya madini kwenda nje ya nchi, Hayati Rais Magufuli alisema wawekezaji wamekuwa wakikiuka taratibu kwa muda mrefu na kusema Tanzania imeliwa vya kutosha na kumuagiza waziri wa nishati na madini kusimamia...
  3. Mwande na Mndewa

    Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

    Leo kuna mafuriko Kisongo Arusha. Nayo yamesababishwa na Bwawa na Nyerere alilojenga Hayati Rais Magufuli!??
  4. Mwande na Mndewa

    Rufiji: Haijaisha mpaka iishe, mamlaka ya hali ya hewa yatangaza mvua kubwa katika mikoa kadhaa, serikali ichukue tahadhari kuwahamisha wananchi

    Leo kuna mafuriko Kisongo Arusha. Nayo yamesababishwa na Bwawa na Nyerere alilojenga Hayati Rais Magufuli!??
  5. Mwande na Mndewa

    Nimelia sana nilipofika bwawa la Mwalimu Nyerere, kwaheri mgawo wa umeme

    Leo kuna mafuriko Kisongo Arusha. Nayo yamesababishwa na Bwawa na Nyerere alilojenga Hayati Rais Magufuli!??
  6. Mwande na Mndewa

    Bwawa la Mwalimu Nyerere lafikia MITA 185 ujazo, lajaa mpaka kikomo

    Leo kuna mafuriko Kisongo Arusha. Nayo yamesababishwa na Bwawa na Nyerere alilojenga Hayati Rais Magufuli!??
  7. Mwande na Mndewa

    Kufananisha mafuriko ya Rufiji na yanayotokea sehemu nyingine ya nchi ni kutaka kuficha udhaifu wa viongozi na watendaji

    Leo kuna mafuriko Kisongo Arusha. Nayo yamesababishwa na Bwawa na Nyerere alilojenga Hayati Rais Magufuli!??
  8. Mwande na Mndewa

    Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache, wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana

    Ukitaka kujua Dar ni kijiji kikubwa makazi holela shuka JNIA na ndege mchana utaona makazi holela na mabati makuu ya vijumba vyetu Kwa ufupi mji mezungukwa na makazi holela hadi makazi mapya huko pembezoni goba chanika bunju mbande yaani 90% ya makazi mapya ya Dar es Salaam ni makazi holela
  9. Mwande na Mndewa

    Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache, wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana

    Ukitaka kujua Dar ni mji umezungukwa na makazi holela hadi makazi mapya huko pembezoni goba chanika bunju mbande yaani 90% ya makazi mapya ya Dar es Salaam ni makazi holela
  10. Mwande na Mndewa

    Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache, wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana

    Uchumi wa kati tangu lini ?? Kuhusu hii picha imeonyesha ukweli ulivyo wa jiji la Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla wake 85 % ya Dar es Salaam Tanzania ni makazi holela Hadi miaka 60 ya UHURU tunategemea CITY CENTRE ya mkoloni KWA UFUPI DAR ES SALAAM NA TANZANIA NI MORE THAN 85 % UNPLANNED...
  11. Mwande na Mndewa

    Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache, wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana

    Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache,wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana.
  12. Mwande na Mndewa

    CCM Ujamaa vs CCM Upebari

    Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache,wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana.
  13. Mwande na Mndewa

    CCM Ujamaa vs CCM Upebari

    CCM imara ni imani ya kiitikadi ndani ya mioyo ya Wananchi Watanzania,Awamu ya kwanza ya CCM iliyoongozwa na Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ilikuwa ni ya kijamaa,kiongozi wa CCM akifanya ziara eneo fulani, basi Wananchi wanyonge walioonewa waliamini amekuja mkombozi wetu, na kwa hakika...
  14. Mwande na Mndewa

    Wajaluo wakimbeba John Hanning Speke kumpeleka lilipo Ziwa Victoria ili aligundue

    Wajaluo wakimbeba John Hanning Speke kumpeleka lilipo Ziwa Victoria ili aligundue.
  15. Mwande na Mndewa

    Nani kuivunja rekodi ya kiuchumi ya Hayati Rais John Pombe Magufuli?

    Tarehe 1 July 2020 IMF ilisema Tanzania joins middle economy status na Magazeti ikiwemo Citizens yakaandika Magufuli sends Tanzania to middle economy status ahead of it's schedule,Hii ni record ambayo inamhitaji someone wiser to break it,hivyo basi Hayati Rais John Pombe Magufuli ataendea kuwa...
  16. Mwande na Mndewa

    Nani kuivunja rekodi ya kiuchumi ya Hayati Rais John Pombe Magufuli?

    Kikao cha 75 cha mkutano wa 59 wa Umoja wa Mataifa kilichofanyika Aprili 16,2021 kilitambua mchango wa kiuchumi kwa taifa la Tanzania na alama za uongozi za aliyekuwa rais wa Tanzania, Hayati Daktari John Pombe Magufuli.Kikao hicho kiliongozwa na Volkan Bozkir Rais wa baraza kuu la UN kikiwa na...
  17. Mwande na Mndewa

    Makonda: Kuna UJINGA unaendelea wa kumtofautisha Hayati Magufuli na Rais Samia

    Daktari Magufuli aliwaachia madaktari waamue kuhusu chanjo ya Corona lakini Dkt. Samia alihamasisha tena kwa kuchoma hadharani. Dkt. Magufuli hakusafiri sana nje ya nchi na kuwaachia mabalozi wa wakilishe Watanzania, lakini Rais Samia hawaamini mabalozi na anaenda mwenyewe nje ya nchi...
  18. Mwande na Mndewa

    Upinzani Senegal kuelekea ushindi, tunayo ya kujifunza?

    Kama si kuwa chawa basi hivi leo Zito angekuwa Rais wa Tanzania ila sababu ya uchawa hivi leo Zito anasema Mama anaupiga mwingi hadi unamwagika,Vijana wa Senegal wameamua kumchagua kijana mwenzao Bassirou Diomaye Faye kuwa Rais wa Senegal,lakini kwa Tanzania,vijana ndiyo chawa wa Wazee.
Back
Top Bottom