Search results

  1. Martine Nzwanilo

    Ushauri: Nahitaji kuoa ila mchumba wangu ni muumini wa dini tofauti

    Maana yake nimeyatimbaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  2. Martine Nzwanilo

    Ushauri: Nahitaji kuoa ila mchumba wangu ni muumini wa dini tofauti

    Mwanzo haikua shida kwetu, ila shida kubwa ni kwa wazazi wake
  3. Martine Nzwanilo

    Ushauri: Nahitaji kuoa ila mchumba wangu ni muumini wa dini tofauti

    Nimepata mchumba na nimekuwa nae kwenye mahusiano ya uchumba mwaka sasa, nahitaji kumpeleka nyumbani ila kikwazo inakua dini zetu tofauti. Nifanyeje ili hali tunapendana sana ila dini inakua kikwazo? Ushauri Wana JF
  4. Martine Nzwanilo

    Pesa ya kujikimu kwa wanafunzi ipunguzwe wapewe elfu 5 ikizidi sana elfu 6, pia pesa ya books and stationary iondolewe au nayo ipunguzwe.

    Niliwaza kukujib ila nikakosa jibu la kukufaa,ila kwa ujumla huna point ya msingi
  5. Martine Nzwanilo

    Naomba kuelekezwa: Kwa ufaulu huu naweza soma PCB?

    PCB au PCM naweza kabisa Maana hadi mda huu nimeshasema topics nyingi za A level kwa masomo yote matano. Physics. Geography Mathematics Biology Na Chemistry
  6. Martine Nzwanilo

    Naomba kuelekezwa: Kwa ufaulu huu naweza soma PCB?

    Mimi ni mwanafunzi niliechaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2020 kwa tahasusi ya CBG lakin malengo yangu ilikua PCB au PCM na ufaulu wangu ilikua hivi: CHEMISTRY C PHISCS D BIOLOGY C GEOGRAPHY C B/MATH'S C HISTORY B ENGLISH B KISWAHILI C CIVICS C LITERATURE IN ENGLISH C Ufaulu kwa ujumla two...
Back
Top Bottom