Naomba kuelekezwa: Kwa ufaulu huu naweza soma PCB?

Aug 25, 2019
5
3
Mimi ni mwanafunzi niliechaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2020 kwa tahasusi ya CBG lakin malengo yangu ilikua PCB au PCM na ufaulu wangu ilikua hivi:

CHEMISTRY C
PHISCS D
BIOLOGY C
GEOGRAPHY C
B/MATH'S C
HISTORY B
ENGLISH B
KISWAHILI C
CIVICS C
LITERATURE IN ENGLISH C
Ufaulu kwa ujumla two pointi 19.

Naomba usaidizi nitakubaliwa kubadili tahasusi hiyo na kwenda ninapotaka.
 
Hujasema una lengo la kuwa nani hapo baadae ili watu wakuchangie mawazo kwa upana zaidi
 
PCB au PCM naweza kabisa
Maana hadi mda huu nimeshasema topics nyingi za A level kwa masomo yote matano.
Physics.
Geography
Mathematics
Biology
Na Chemistry
 
Unawaza uje ufanye kazi gani? Au usomee kiti gani chuoni?
 
Angalia uwezekano wa kubadili hapo shuleni ulipopangiwa mchawi kuwepo comb hizo unazohitaji na kukubaliwa ,japo vigezo vinaruhusu kwa CCD lakini Mara nyingi ni ngumu kukibaliwa kama una D ya Physics .
 
Mimi ni mwanafunzi niliechaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2020 kwa tahasusi ya CBG lakin malengo yangu ilikua PCB au PCM na ufaulu wangu ilikua hivi:

CHEMISTRY C
PHISCS D
BIOLOGY C
GEOGRAPHY C
B/MATH'S C
HISTORY B
ENGLISH B
KISWAHILI C
CIVICS C
LITERATURE IN ENGLISH C
Ufaulu kwa ujumla two pointi 19.

Naomba usaidizi nitakubaliwa kubadili tahasusi hiyo na kwenda ninapotaka.

Unaweza
Ukifika shule uliyopangiwa muone academic au headmaster atatukusaidia
Ndivyo watu wanavyofanya
 
Mimi ni mwanafunzi niliechaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2020 kwa tahasusi ya CBG lakin malengo yangu ilikua PCB au PCM na ufaulu wangu ilikua hivi:

CHEMISTRY C
PHISCS D
BIOLOGY C
GEOGRAPHY C
B/MATH'S C
HISTORY B
ENGLISH B
KISWAHILI C
CIVICS C
LITERATURE IN ENGLISH C
Ufaulu kwa ujumla two pointi 19.

Naomba usaidizi nitakubaliwa kubadili tahasusi hiyo na kwenda ninapotaka.
Nenda HGL au CBG
 
Kama unapenda pcb ukifika shule uliyo pangiwa omba usome, wakikataa tafuta private nenda kasome.

Pia ujue cbg huwezi somea md wala pharmacy.
 
Mimi ni mwanafunzi niliechaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2020 kwa tahasusi ya CBG lakin malengo yangu ilikua PCB au PCM na ufaulu wangu ilikua hivi:

CHEMISTRY C
PHISCS D
BIOLOGY C
GEOGRAPHY C
B/MATH'S C
HISTORY B
ENGLISH B
KISWAHILI C
CIVICS C
LITERATURE IN ENGLISH C
Ufaulu kwa ujumla two pointi 19.

Naomba usaidizi nitakubaliwa kubadili tahasusi hiyo na kwenda ninapotaka.
Unasoma PCB/PCM km shule uliyopangwa ina hizo comb ipo ukienda unabadili, ila km hakuna fanya namna ili uweze kutimiza azma yako.
 
Mimi ni mwanafunzi niliechaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2020 kwa tahasusi ya CBG lakin malengo yangu ilikua PCB au PCM na ufaulu wangu ilikua hivi:

CHEMISTRY C
PHISCS D
BIOLOGY C
GEOGRAPHY C
B/MATH'S C
HISTORY B
ENGLISH B
KISWAHILI C
CIVICS C
LITERATURE IN ENGLISH C
Ufaulu kwa ujumla two pointi 19.

Naomba usaidizi nitakubaliwa kubadili tahasusi hiyo na kwenda ninapotaka.
Hatimae
 
Possible Kabisa Unasoma Advance PC Au PCM Bila Shida... All The Best Kwako, Upambane Maana Hayo Masomo Yanahitaji Juhudi Za Kutosha.
 
Back
Top Bottom