msomalia

New Member
May 9, 2023
2
1
Ndugu samahanini kwa usumbufu,.nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne,ufaulu wake ni Division III(24)

(kiswahili, english, history, geography)-𝐂

(civics, biology, phyisics, chemistry)-D

mathematics-F

Kwa huu ufaulu je aaply coarse ipi yenye uhafadhari kwa hali ya sasa kwenye vyuo vya serikali ambavyo havina garama sana tofauti na dar es salaam
 
Bongo hapasomeki, kwa nini asiende high school?

Shida ya nchi hii kila serikali ikiingia inakuja na sheria zake.
 
Pharmacy, au clinical medicine endapo kama ana D Kweny physics, chemistry, biology, na english/mathematics....!!! Kama hapo hayupo mpelekeni Business administration mje hapa mnishukuru baada ya miaka mitatu mpaka mitano.
 
Tatizo hyo f hapo course nyingi za science zitamtema
 
Back
Top Bottom