Search results

  1. MaT2B

    Mayai ya Kuku wa Kienyeji yanauzwaje?

    Mwezi uliopita nilinunua Mayai thelethini ya kuku wa kienyeji. Kwa ajili ya kula. Nimetumia mayai kama 10. Halafu ukapita muda kama wiki. Bila kula mayai. Juzi nikachukua kuchemsha, naona ni kama yameharibika. Yanakuwa yana maji, halafu ile layer nyeupe inakuwa ngumu kweli. Ukikangaa ndio...
  2. MaT2B

    Nipeni mbinu za kudate na Binti anayetoka familia bora

    Moja kwa moja kwenye mada, salamu iko mwisho wa uzi. Katika harakati za kuhangaika na kuishi hapa duniani. Kama binadamu uliyekamilika(isipokua wale wachache), unatakiwa kuwa na mwenza. Awe mke au mpenzi. Mimi mwenzenu nimekutana na binti ambae nimemuelewa. Changamoto sina uzoefu wa kudate na...
  3. MaT2B

    Kati ya Kimara, Kigamboni na Kinondoni wapi ni bora zaidi kuishi?

    Habari za mida hii wakuu Poleni na Majukumu, Poleni pia na maswaibu ya DPworld Nimepata kibarua maeneo ya Posta. Kwa sasa ninaishi Kibaha. Hivyo nataka nihamie sehemu ambayo nitapunguza gharama ya usafiri na muda wa kusafiri. Maeneo ambayo nashawishiwa ni Kimara, Kigamboni na Kinondoni...
  4. MaT2B

    Napata Wivu Nikiona Watu Wako kwenye Mahaba

    Habari za sasa wakuu. Nikutanapo na wawili( Me na Ke) wako kwenye mahaba au mapenzi motomoto, napata wivu mkubwa sana. Wakati mwingine hadi hasira huwa zinanikaba( Hasira za kujiuliza kwanini mimi sina?) Ila ndio hivyo zinatulia, naishia kuwaonea gere. Binafsi mimi sijawahi kuwa na kwenye...
  5. MaT2B

    Upweke unanitesa, nisaidieni.

    Nisaidieni mbinu za kupata mdada ile nianzishe nae Urafiki then mahusiano serious. Nina umri wa miaka 28, sijawahi kuwa kwenye serious relationship. Natamani sana nipate mdada tupendane ila ndio hivyo sijui sina bahati au ni mdomo mzito. Nipeni mbinu. Jioni hii nimetoka kutafuta sijapata hata...
  6. MaT2B

    Jamani mkienda bar, barmaids si wake zenu ni wahudumu

    Nimekuja bar hapa, kuna Barmaid kimechangamka, kiko Vizuri kwa macho. Sasa kuna jamaa amekanunulia bia, amekaa nako, mimi nimemuita huyo barmaid jamaa linageuka linaniangalia kwa Jicho baya! Barmaids ni mhudumu.
  7. MaT2B

    Huyu dada leo kanichana ukweli

    Ndugu zangu itabidi mnielekeze wapi napata Pafyum a.k.a Unyunyu wa kushantoo. Kilichonipata leo kimenibadili. Ila wakuu nipeni jina la pafyum nzuri kwa hela yangu isiyozidi 30K. Sina gari, hata kunukia vizuri nisinukie kweli?
  8. MaT2B

    Tusiotumia Vilevi Twende Wapi Kutuliza akili?

    Hivi ni kwanini Ukienda Pub, Lounge au Bar kama hutumii kilevi wahudumu wanakuona kama Takataka? Ina maana sisi tusiotumia Vilevi hatutakiwi kupata refreshment.
  9. MaT2B

    Ninyi Wenzangu mnakutana na wachumba maeneo gani?

    Wakuu wa MMU habari za sasa, Mimi kijana wenu, nimejaribu kazini, mtaani, stendi(huku wapo ila kila mtu busy) lakin wapi. Labda mnisaidie maeneo gani nitakutana nao. Wakati mwingine natoka Geto natembea tembea lengo nikutane na mdada anaenifaa nimpe ya moyoni, naishia kukutana na wake za watu...
  10. MaT2B

    Hivi Kweli Serikali mmeamua Kushusha Mishahara ya Watumishi, kwa kigezo " Mna-ajiri kwa mkataba

    Kama inavyoonekana kwenye Picha, hilo ni Tangazo la Ajira ya Madaktari( M.O), Afisa wauguzi (N.O) na (ANO). Hospitali inataka watumishi hao wawe na sifa stahiki, ila watalipwa 67.6% ya Mshahara wa kada husika. Kwangu mimi nauona hii ni kama janja janja. Hamuajiri watu, ili muwachukue kwa...
Back
Top Bottom