MaT2B
JF-Expert Member
- Jul 12, 2019
- 387
- 970
Nisaidieni mbinu za kupata mdada ile nianzishe nae Urafiki then mahusiano serious.
Nina umri wa miaka 28, sijawahi kuwa kwenye serious relationship. Natamani sana nipate mdada tupendane ila ndio hivyo sijui sina bahati au ni mdomo mzito.
Nipeni mbinu. Jioni hii nimetoka kutafuta sijapata hata mmoja.
Mfano
Kuna huyo nimemuona anakuja upande wangu, alipokaribia nikamuita. Akanikaushia hata hakugeuka kunitazama.
Napata shida na upweke, hapa usiku naona mrefu sana.