Hivi Kweli Serikali mmeamua Kushusha Mishahara ya Watumishi, kwa kigezo " Mna-ajiri kwa mkataba

MaT2B

JF-Expert Member
Jul 12, 2019
387
969
Kama inavyoonekana kwenye Picha, hilo ni Tangazo la Ajira ya Madaktari( M.O), Afisa wauguzi (N.O) na (ANO).

Hospitali inataka watumishi hao wawe na sifa stahiki,

ila watalipwa 67.6% ya Mshahara wa kada husika.

Kwangu mimi nauona hii ni kama janja janja.
Hamuajiri watu, ili muwachukue kwa mkataba na muwalipe chini ya kiwango kinachotakiwa.
View attachment 2017836
 
Mbona sioni tangazo
Hiyo
Screenshot_20211120-202445.jpg
 
Kwani Polepole anasemaje juu ya hili??
CCM ni ile ile imejipanga wote tuisome namba!

Everyday is Saturday................................:cool:
 
Back
Top Bottom