Search results

  1. Alejandroz

    Je, kuna uhusiano wowote kati ya mfumo wa gesi na gear box ya lorry?

    Salaam wanafamilia, Naonaga mara nyingi dereva akibadili gear kwenye lorry kuna mlio wa gesi kuwa released kama sauti inayotoka akiapply brakes,, naomba kufahamu kama kuna uhusiano wowote wa gear na mfumo wa gesi kwenye trucks,, 🙏🏽
  2. Alejandroz

    Kama ukianza kufuga ungeanza kufuga mnyama gani

    Salaam ndugu wakulima nawafugaji Husika na mada tajwa hapo juu Twambie wewe ungefuga myama gani? Karibu
  3. Alejandroz

    Ukija kuamua kuanza kufuga utafuga mnyama gani?

    Salaam wakulima na wafugaji Kichwa cha uzi cha husika Karibu tutiririke [emoji846]
  4. Alejandroz

    Nipo dilema: Je, niuze pikipiki yangu Boxer BM 150 ninunue Shineray inayotumia umeme?

    Habari great thinkers Nina boxer bm 150 niliyoitumia kwa takribani miaka 7 (84,000km mileage) sasa kuna mtu katokea anaitaka kwa 1,700,000/= Sasa nilikuwa nafikiria nikiuza ninunue Shineray (1,400,000) yenye shape ya "Scooter" ya kuchaji maana naona ni economy kwenye suala la fuel Sio mtu wa...
  5. Alejandroz

    Je, umewahi nunua uwanja, ukaanza na kajenga kisha baadae ukaanza kujutia kujenga eneo hilo?

    Habari mwanafamilia wa jukwaa la ujenzi, Je, umewahi nunua kiwanja ukaanza na ujenzi kabisa alafu baadae ukagundua ulijichanganya kujenga hapo,, Twambie ilikuaje [emoji848] #Nimeitoa sehemu
  6. Alejandroz

    Mechi za Afcon zinaanza saa ngapi na ni azam sport ngapi

    Habari Wanamichezo, Mechi za Afcon zinaanza saa ngapi na ni azam sport ngapi?
  7. Alejandroz

    Naomba kufahamu juu ya hii mifumo ya gari kubwa

    Muishi milele wanagarage Mifumo ya break, power steering na hata clutch inatumia haudraulic kwenye gari ndogo,, wakati kwenye trucks breaks najua zinatumia gas, vpi mifumo ya power steering na clutch nayo inatumia gas pia?? [emoji1431]
  8. Alejandroz

    Toyota wanawezaje kutengeneza magari zaidi ya Milioni 9.2 kwa mwaka?

    Kichwa cha uzi cha husika Nimesoma sehemu kuwa kampuni ya Toyota wanatengeneza zaidi ya magari 9.2M kwa mwaka na wana viwanda 67 vya utengenezaji duniani kote,, nikapiga hesabu kama ifuatavyo; Kwa mwaka magari 9.2M 9.2M ÷ (Miezi 12) =766,667 kwa mwezi 766,667÷(siku 30) = 25,556 kwa siku 25,556 ÷...
  9. Alejandroz

    Naomba kujua riba inayochajiwa na NMB Pesa fasta

    Habari, Kichwa cha uzi cha husika, Naomba kujua riba inayochajiwa na NMB Pesa fasta. Natanguliza shukurani
  10. Alejandroz

    Kitu gani ulikuwa unamiliki ila ukakiuza ili utatue changamoto ya kifedha?

    Habari wanafamilia Kwenye maisha kuna muda tunaishiwa fedha kabisa lakini bado kuna mambo yanatakiwa yaende. Je, umewahi kuuza kitu gani (mali unayomiliki) ili utatue changamoto fulani yakifedha? Jamaa yangu aliuza tv yake Hisence 43'' ili amlipie mwanae ada. Karibu
  11. Alejandroz

    Nahitaji kufahamu riba ya mkopo wa NMB pesa fasta

    Habari wana jf Naomba kufahamu riba ya mkopo wa NMB pesa fasta. Karibu.
  12. Alejandroz

    Kuna changamoto gani katika kutumia king'amuzi cha Azam cha Malawi?

    Habari wandugu Kichwa cha habari cha husika Kuna changamoto gani katika kutumia king'amuzi cha Azam cha malawi? Asante.
  13. Alejandroz

    Wenye uzoefu tusaidieni jinsi ya kukata tiketi ya ndege kwa bei nafuu

    Naimani mko poa wanafamilia. Usafiri wa anga nimoja ya usafiri wenye bei kubwa ya nauli tukilinganisha na aina zingine za usafiri. Kupitia uzi huu nakaribisha wazoefu wa usafiri huu waje watupe uzoefu na jinsi yakuepukana na gharama kubwa za nauli Nitaanza na swali: Tumekuwa tukisikia...
  14. Alejandroz

    Tunawezaje kupunguza gharama za ufugaji wa kuku ili kuongeza faida

    Naomba kujifunza yafuatayo kabla sijaingia kwenye ufugaji; Nafikiria kufuga kuku chotara (Sasso au Kroiler) kisha niwauze baada ya miezi 3 kwa bei isiyopungua 10,000/= Lakin nimekaa nakupiga hesabu kulingana na ulishaji elekezi kwa kila wiki nikaona nikifuga kuku 100 kwa mwezi wa kwanza...
  15. Alejandroz

    DP world atatoa 35% ya hisa kwa Watanzania, hii maana yake nini?

    Hellow great thinkers Tumeskia kwamba endapo kampuni ya DPW ikiwekeza katika bandari yetu (zetu) itatoa 35% ya hisa zake kwa watanzania ili nao wawe sehemu ya kampuni Naomba kueleweshwa jinsi ambavyo serikali huwa inanufaika kupitia wawekezaji wanaokuja kuwekeza katika nchi Je huwa inanufaika...
  16. Alejandroz

    Karibu tujadili tofauti ya neno "Tovuti" na "Wavuti"

    Nini maana sahihi ya maneno haya Kwa ninavyofahamu mimi,, tovuti ni internet wakati wavuti ni website Karibu utwambie unavyoelewa wewe. Ikumbukwe kuwa internet sio mtandao, mtandao ni network Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
  17. Alejandroz

    Nahitaji apps za hivi vitabu vya dini

    Idumu milele jf Nahitaji app ya vitabu vya Tumwabudu Mungu wetu na Liturgia App ya kitabu cha biblia takatifu nimefanikiwa kuipata Natanguliza shukurani Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
  18. Alejandroz

    Je breki za upepo zinafanyaje kazi?

    Hamjambo wanafamilia wa jf Ningependa kujifunza jinsi breki za gesi zinavofanyakazi Sambamba na hili ningependa nifahamishwe jinsi ya ufanyaji kazi wa "Stop engine" au "stopper" na kwanini zinatumika zaidi kwenye magari makubwa Pia ule mlio kwenye gari zinazotumia breki za gesi hasa wakati...
  19. Alejandroz

    Kwanini "Parachute" sio salama kwa ndege za abiria?

    Watu wengi wamekuwa wakiuliza swali. "Kwanini ndege za abiria wasiweke miamvuli {parachutes} ili kila mtu aweze kuruka inapotokea dharura" Kiuhalisia kwasasa haiwezekani kwasababu zifuatazo: 1> Urukaji kwa kutumia mwamvuli {parachute} unahitaji mafunzo ya saa 4 hadi 5 darasani ikifuatia...
  20. Alejandroz

    Nini tofauti kati ya neno Jaji na Hakimu

    Kichwa cha uzi cha husika. Karibu Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom