kufuatia utumbo huu (mistakes) uliofanywa na TFF na Bodi ya ligi inaonesha dhahiri kabisa hakuna watu weledi na wanaojua uongozi wa mpira
kitu kama
1) kuamuru mechi ya fainali ya FA kuchezewa Zanzibar wakati mwanzo timu ya TFF ikiongozwa na Karia walikwenda kujiridhisha na kukagua uwanja na...
Huyu hapa Raisi wa Ball Eng. Hers na Azizi Ki (the top scorer) wakichezezea mpira na mpira ukiwatii kama wameutengeneza WAO.
NB: Kwa ball hili la hers Mwakani Kolozidad bila 3.5 bilion hatuwapi Hers.
Sasa ni rasmi msimu ujao Klabu ya Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC licha ya wote kuwa na pointi 69 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara iliyotamatika leo.
Licha ya Simba kushinda mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania lakini...
Kiungo Stephan Aziz Ki amemaliza kinara wa ufungaji kwenye ligi kuu soka Tanzania Bara baada ya kumaliza msimu akiwa na mabao 21 na kumuacha mpinzani wake wa karibu kiungo nyota wa Azam FC, Feisal Salum aliyemaliza na mabao 19
Aziz Ki amepachika mabao matatu kwenye ushindi wa 4-1 walioupata...
DAR ES SALAAM: KAIMU Kocha Mkuu wa @taifastars_ Hemed Suleiman Morocco ameita kikosi cha wachezaji 34 kujiandaa na mchezo wa Juni mwaka huu dhidi ya Zambia, kuwania kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2026 nchini Marekani, Mexico na Canada.
MAONI YANGU : Dicksoni Job na ladack Chasambi wamekua na...
Kanuni inasemema "Taarifa ya mabadiliko ya uwanja inatakiwa kutolewa siku 7 kabla ya mchezo"
lakini imekua tofauti kabisa kwenye mchezo wa Simba sc vs KMC kwani jumamosi iliyopita timu ya KMC ilipewa taarifa kuwa Mchezo wao dhidi ya Simba sc utachezwa kwenye uwanja wa Generali Isamuyo na cha...
Gamondi huu siyo muda tena wakumchezesha Pakome dakika za Majeruhi kwani Pakome ana combination nzuri sana na Azizi ki , endapo Pakome akianza naziona hat trick Kwa Azizi k hii ndiyo furaha yetu Wana Yanga SC.
Akichukua yule mtoto maneno yatakua mengi sana haswa wachambuzi was mchongo na baba...
Shirikisho la soka la Algeria sasa linapanga kujiondoa ndani ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) na kujiunga na Shirikisho la soka la Asia (AFC) kwa kuwa wanaamini CAF haijawahi kuwatendea haki katika maamuzi muhimu katika soka la Afrika.
Pia walitaja kilichotokea hivi juzi kati ya RS Berkane na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.