UTANGULIZI
Tunamshukuru Mungu kwa neema alotupatia kua hai hadi sasa. Ni jambo lisilopingika kwamba, kumekuwa na changamoto kubwa hasa kwa wahudumu wa Afya kutokujali wagonjwa na mara kadhaa kutojali akina mama wajawazito. Changamoto hii hupelekea baadhi ya wajawazito ama wagonjwa kupoteza...
Utangulizi
Katika kukua kwangu, nimebahatika kusikia na kushuhudia wabunifu wengi katika nchi yetu. Mfano: Kuna mtu alitengeneza umeme wa kinyesi, mwingine gari, mwingine ndege inayoruka kwa injini ya piki piki, mwingine stesheni ya redio na wengine kibao.
Imekuwa ni historia katika nchi yetu...
UTANGULIZI
Uadilifu ni hali ya kuwa mwaminifu na kuzingatia kanuni zote za kimaadili katika jamii inayokuzunguka.
Kwa upande mwingine, utawala bora lazima uwe na uadilifu ndani yake.
Jamii haiwezi kuwa na watawala walio bora ikiwa hawana uadilifu.
UMUHIMU WA UADILIFU KATIKA JAMII
Uadilifu...
Habari ndugu msomaji. Ningependa tukumbushane jambo la muhimu sana tunalopaswa kujifunza na kuzingatia katika maisha.
Kuna baadhi ya misemo inaonekana kama imezoeleka lakini ina maana kubwa sana. Mfano: Maisha ni hapa hapa duniani, dunia ni duara.
Jambo la msingi ninaloweza kusema ni kwamba...
UTANGULIZI
Ni ukweli usiopingika kwamba, siku hizi majanga ya kuporomoka kwa maadili katika jamii yanaongezeka tena kwa kasi sana. Miongoni mwa majanga haya ni pamoja na Ushoga, Usagaji, kuvunjika kwa ndoa na mengine mengi.
Majanga haya ni mambo mabaya sana mblele za Mwenyezi Mungu na hata...
Ni ukweli usiopingika kwamba kila mtu anatamani kufanikiwa katika maisha. Wapo wanaotamani kufanikiwa kifedha, kisiasa, kielimu, kijamii na hata kiafya.
Moja kati ya siri kubwa za mafanikio ni kusikiliza kile moyo wako unachohitaji. Wengi wamejuta kwenye maisha kwa kufanya mambo ambayo yalikuwa...
Utangulizi
Katika karne ya sasa, watu wengi wamekumbwa na misongo ya mawazo kutokana na hali tofauti tofauti wanazokutana nazo katika mahusiano. Baadhi ya watu wamepoteza maisha kutokana na kushindwa kudhibiti kiasi cha msongo. Wengine wapepoteza ndoto zao, familiya, kazi, masomo na hata...
UTANGULIZI
Ni ukweli usiopingika kwamba, Watanzania wengi wamebarikiwa kuwa na vipaji mbalimbali. Mfano, Utengenezaji wa bidhaa, ubunifu wa vyombo vya kielektroniki, uchoraji, uchongaji, matumizi ya compyuta, uimbaji nk.
Licha ya Tanzania kuwa na vijana wengi wenye vipaji, bado kumekuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.