Search results

  1. pancras utenga

    Msaada: Dawa ya Degedege

    Kwa jina jingine huitwa KIVUMBASI
  2. pancras utenga

    Habarini wadau ninayo shida ya kujua je ! Kuna tiba ya mawe kwenye mfuko wa nyongo tofwauti na upasuaji

    Kuna dawa moja ya matunda ya apple za kijani 12, mafuta ya zaituni na juice ya limao nusu glass, yaani siku ya kutumia hiyo dawa mgonjwa hatakula chakula chochote zaidi ya hizo apples za kijani tu, asubh atakula apple 4, mchana pia 4 na uck ndo anamalizia apple Baki pamoja na kunywa nusu glass...
  3. pancras utenga

    Wahuni tunapendwa sana na wanawake

    Mhuni Ni mjanja anapendeza anajijali, ananukia, swagger nini Ila ndo hawezi kuhonga😀😀
  4. pancras utenga

    Wahuni tunapendwa sana na wanawake

    Mwanangu dunga mawe
  5. pancras utenga

    SAUT yafuta degree za Madaktari wa Afya 162 waliohitimu Chuo cha Mt. Francis

    Administrative law hiyo! Hiyo seneti iliwaita wote hao 162 kwa notisi kwa ajili ya defence? Pamoja au mmoja mmoja,... principle za natural justice zimefuatwa? Kama vile Rule against bias, Audi alteram paterm, Nemo judex in causa sua? Au wameamka tu wakawafuatia huko huko...yasije yakatokea Kama...
  6. pancras utenga

    SAUT yafuta degree za Madaktari wa Afya 162 waliohitimu Chuo cha Mt. Francis

    Mahakama kuu ndo pahala sahihi au proper forum
  7. pancras utenga

    SAUT yafuta degree za Madaktari wa Afya 162 waliohitimu Chuo cha Mt. Francis

    Injunction inafanyika pale ambapo jambo linaendelea na bado halijatolewa maamuzi, means linatakiwa lizuiwe ili lisije kuathiri haki ya mtu hapo baadae baada ya maamuzi/judgement...linaweza fanywa au kuombwa ktk mahakama yoyote kutokana tu na Jambo lako linahusu nini, au hata ktk...
  8. pancras utenga

    Miongozo kuhusu In Vitro Fertilization (IVF) hapa Tanzania

    Nachakata sema Kuna kitu nataka kujua tu
  9. pancras utenga

    Miongozo kuhusu In Vitro Fertilization (IVF) hapa Tanzania

    Habari zenu jmn! Nataka kujua Kama Kuna sheria, regulations au rules zozote zinazogovern au kutoa muongozo wa In Vitro Fertilization (IVF) hapa Tanzania.
  10. pancras utenga

    Je, mtu huyu nimfungulie kesi ya aina gani?

    hapana sio Mimi# Ila IAM a lawyer too
  11. pancras utenga

    Je, mtu huyu nimfungulie kesi ya aina gani?

    Haina maana ya kwamba kikao Cha familia au ukoo kikishakaa na kumteua msimamizi wa mirathi ndo Basi kashakuwa, mahakama ndo inayomuidhinisha na kwa sababu walifunga ndoa ya kikristo special forum/court hapo ni mahakama ya wilaya ambapo kunaprocedure za kufuata ambazo mme au watoto lazima...
  12. pancras utenga

    Je, mtu huyu nimfungulie kesi ya aina gani?

    Haina maana ya kwamba kikao Cha familia au ukoo kikishakaa na kumteua msimamizi wa mirathi ndo Basi kashakuwa, mahakama ndo inayomuidhinisha na kwa sababu walifunga ndoa ya kikristo special forum/court hapo ni mahakama ya wilaya ambapo kunaprocedure za kufuata ambazo mme au watoto lazima...
  13. pancras utenga

    Diploma Holder waanza kupata Mkopo wa Elimu ya Juu

    Ahsante Mungu nimepata 100% mkopo,,, sijaamini macho yangu
  14. pancras utenga

    Hivi ni kweli wanafunzi wenye diploma hawastaili kupewa mikopo?

    Chuo gani mkuu? Mimi mwenyewe kesho tunaanza kuripot chuo nasijui hata nianzie wapi mie,,, amakweli hii serikali
  15. pancras utenga

    Maandalizi ya safari ya kurudi nyumbani baada ya kukosa mkopo

    Kuwa nasubira wata release majina any time within this week,,, coz wameshatoa makundi na idadi yaawatakao pata mkopo kati ya watu 3448 ambao hawana mzazi mmoja naamini utakuwemo tu
  16. pancras utenga

    HESLB: Orodha ya Majina ya Waliopata Mkopo (Awamu ya Kwanza) 2016/17

    Hio Hamna kitu,,, nimeingiza namba ya MTU ambaye nilisoma nae O level na hakuendelea lkn inasema hvyo hvyo na kuaply mkopo hakuaply
  17. pancras utenga

    TCU waamua kutoa majina rasmi kwa applicant wote

    Jana ulikuwa ukiingia unaambiwa yaani hata sielewi hivi
Back
Top Bottom